eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kwani unafikiria mkini ban ntalala njaa?as if im getting paid to contribute in jamii forums
Hapa hatuongelei kula au kutokula. Tunaongelea kufuata kanuni za mijadala za hapa JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unafikiria mkini ban ntalala njaa?as if im getting paid to contribute in jamii forums
Wantanzania wangapi wamejaa huku kenya wanauza nguo na wamejaza vinyozi uku nairobi nani amewapeleka jela??? Nyiyi ni wanafiki sanaWe ulitaka huyo mama na bendi yake waachwe waendelee na shughuli zao wakati hawana necessary documents?
How many artists do we support from your country? From diamond, kiba and the rest.... Mbona hatujawai washika ii utoto mtaacha ama we reciprocate the same.Hapa hatuongelei kula au kutokula. Tunaongelea kufuata kanuni za mijadala za hapa JF.
Povuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Welcome tulikumiss sana hatukupigi ban usilazimishe banTanzani na magufuli kumanina kunenini mnipige ban
Yaani thats the reason you give? Dont you also support American artists? Em jaribu kwenda huko without papers uoneHow many artists do we support from your country? From diamond, kiba and the rest.... Mbona hatujawai washika ii utoto mtaacha ama we reciprocate the same.
Walikubaliana na BillnassProtocol hiyo mlikubaliana na nani?
Kumbe ni Luo[emoji24][emoji24] nikafkiri kuyuLady Maureen. Huyu madam anachapa live music ya Luo Benga bila mchezo. Sijui kwanini yeye na wenzake waliamua kuingia ndani ya nchi za wenyewe bila vibali.![]()
Kwa hiyo tumewapiga chini mambo ya East Africa protocol and free movement of people, labor, goods and all that crap. Screw the protocol!
Omera stop harrasing the Queen of Ohangla, yawa you people have no respect. Kuna siku alichapa show kule Malindi nilikuwa ndani ya nyumba. Sauti anayo talanta kupindukia. Real musician.Kumbe ni Luo[emoji24][emoji24] nikafkiri kuyu
Jumuiya ipi hiyo ikiwa hata muungano wenu na Zanzibar umejaa vioja na sintofahamu, hebu ona Wazanzibari wanavyolia mnachowafanyia, sembuse nchi majirani
Tatizo ni vibali nothing else.. Huku wakenya wapo wengi tu na wanaishi vizuri, wanachokataa immigration ni Kutofuata Utaratibu..Omera stop harrasing the Queen of Ohangla, yawa you people have no respect. Kuna siku alichapa show kule Malindi nilikuwa ndani ya nyumba. Sauti anayo talanta kupindukia. Real musician.
Jumuiya ipi hiyo ikiwa hata muungano wenu na Zanzibar umejaa vioja na sintofahamu, hebu ona Wazanzibari wanavyolia mnachowafanyia, sembuse nchi majirani
Usijali jombaa tutarivenji na Mondi. Akiingia huku Kenya bila cheti cha chanjo ya Yellow Fever, atalala ndane! 😀Tatizo ni vibali nothing else.. Huku wakenya wapo wengi tu na wanaishi vizuri, wanachokataa immigration ni Kutofuata Utaratibu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I thought Diamond was a Kenyan .. Si nimesikia mmempa nyumba huko..Usijali jombaa tutarivenji na Mondi. Akiingia Kenya bila cheti cha chanjo ya Yellow Fever.😀
Huyo alikuwa Mr. Takeu style. Huyo kumkamata itakuwa ni dhambi kubwa zaidi ya kumkamata Munishi. Hatutaki mwenzake aibuke na remix ya Mark Muga. 🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I thought Diamond was a Kenyan .. Si nimesikia mmempa nyumba huko..
Acha zako hata tz huku eakenya wamejaa kila konaWantanzania wangapi wamejaa huku kenya wanauza nguo na wamejaza vinyozi uku nairobi nani amewapeleka jela??? Nyiyi ni wanafiki sana
Acha ukoma mkuuHow many artists do we support from your country? From diamond, kiba and the rest.... Mbona hatujawai washika ii utoto mtaacha ama we reciprocate the same.