Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
ndahani..nimecheka sana hapo kwenye kupasua yai kwa elimu ya kuungaunga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kutambua mpaka leo ni nani alikuja na wazo la kumtuma Nchimbi kwenye mazishi ya Saitoti, hivi hawa wenzetu wakenya wanatuonaje, wajinga au tahira, speech ambao ata wa darasa la nne hapa Arusha asingeshindwa kusoma. Hapo serikali ya JK linamtuma Nchimbi,huyu mtu alipata udokta wake wapi,siwezi kusema ni aibu sababu tumezoe aibu
Nilichoshangaa kwenye ule msiba ni kwamba sikuona VX V8 kama hizi za hapa kwetu... ule msiba ungekua hapa mngeshangaa jinsi Vx V8 zingepangana..
Hata mimi nashindwa kuelewe nani kakutuma kuja ku post issue ambayo hata wewe mwenyewe hauilewi..
katika mazishi ya prof saitot
waziri nchimbi ndiye alimuwakilisha rais wa tz....katika kusoma salamu
za rambi rambi nchimbi alisoma kwa kingereza....mbali ya kuwa misa ya
kumuombea marehemu kusomwa kwa kiswahili na salamu za pole kwa wageni
kuzitoa kwa kiswahili na shughuli nzima kuendeshwa kwa kiswahili kwa
aslimia kubwa ...bado nchimbi alisoma salamu kwa kimombo...
tatizo sio kusoma salamu kwa kimombo bali aina ya kimombo alichokuwa
anasoma...kilikuwa kibovu sana, alikuwa anatetemeka, hajiamini...kwa
kweli ilileta miguno toka wabaadhi ya watu waliokuwa pale ....
angesom kwa kiswahili angeeleweka pia...kama alivyosema yeye kuwa
amemwakilisha raisi wa nchi basi na hizo ndioz salamuzake basi
inaonyesha kuwa tatizo la lugha ni kubwa sana kuanzia kwa mwandishi hadi
kwa msomaji...nchimbi alianza kusoma salamu hizo akianzia juu kabisa
kwenye anauni ya mwandishi, akashuka chini kwenye tarehe nakuanza kusoma
akiwa anatetemeka na hofu kubwa......kwa kifupi ilikuwa aibu...
nadhani mwandishi wa thread alimaanisha hiki nilichosema...
.
tatizo sio kusoma salamu kwa kimombo bali aina ya kimombo alichokuwa anasoma...kilikuwa kibovu sana, alikuwa anatetemeka, hajiamini...kwa kweli ilileta miguno toka wabaadhi ya watu waliokuwa pale ....
angesom kwa kiswahili angeeleweka pia...kama alivyosema yeye kuwa amemwakilisha raisi wa nchi basi na hizo ndioz salamuzake basi inaonyesha kuwa tatizo la lugha ni kubwa sana kuanzia kwa mwandishi hadi kwa msomaji...nchimbi alianza kusoma salamu hizo akianzia juu kabisa kwenye anauni ya mwandishi, akashuka chini kwenye tarehe nakuanza kusoma akiwa anatetemeka na hofu kubwa......kwa kifupi ilikuwa aibu...
nadhani mwandishi wa thread alimaanisha hiki nilichosema...
Nashindwa kutambua mpaka leo ni nani alikuja na wazo la kumtuma Nchimbi kwenye mazishi ya Saitoti, hivi hawa wenzetu wakenya wanatuonaje, wajinga au tahira, speech ambao ata wa darasa la nne hapa Arusha asingeshindwa kusoma. Hapo serikali ya JK linamtuma Nchimbi,huyu mtu alipata udokta wake wapi,siwezi kusema ni aibu sababu tumezoe aibu
From Kihaya to Kiswahili to Kingoni then finally English!.......OMG!
![]()
Nashindwa kutambua mpaka leo ni nani alikuja na wazo la kumtuma Nchimbi kwenye mazishi ya Saitoti, hivi hawa wenzetu wakenya wanatuonaje, wajinga au tahira, speech ambao ata wa darasa la nne hapa Arusha asingeshindwa kusoma. Hapo serikali ya JK linamtuma Nchimbi,huyu mtu alipata udokta wake wapi,siwezi kusema ni aibu sababu tumezoe aibu
Edson, uko sahihi kabisa. Salam za rambirambi toka Tanzania zilisomwa na Dr Nchimbi kwa kiingereza, tena kiingereza kibovu, na hakuna cha maana kilichokuwa kwenye salam hizo. Lakini jambo lilinipa aibu ni kitendo cha Dr Nchimbi kusoma hadi Anuani ya State House! Nakumbuka alisema hivi "... I will read word for word..." ndipo akaanza ...anuani!
Imeleta aibu kweli, watu wa Foreign Affairs wajitahidi kutoa mafunzo kabla mtu hajavuka mipaka.
Huyu wa kulia ndo aliandika nini?
katika mazishi ya prof saitot waziri nchimbi ndiye alimuwakilisha rais wa tz....katika kusoma salamu za rambi rambi nchimbi alisoma kwa kingereza....mbali ya kuwa misa ya kumuombea marehemu kusomwa kwa kiswahili na salamu za pole kwa wageni kuzitoa kwa kiswahili na shughuli nzima kuendeshwa kwa kiswahili kwa aslimia kubwa ...bado nchimbi alisoma salamu kwa kimombo...
tatizo sio kusoma salamu kwa kimombo bali aina ya kimombo alichokuwa anasoma...kilikuwa kibovu sana, alikuwa anatetemeka, hajiamini...kwa kweli ilileta miguno toka wabaadhi ya watu waliokuwa pale ....
angesom kwa kiswahili angeeleweka pia...kama alivyosema yeye kuwa amemwakilisha raisi wa nchi basi na hizo ndioz salamuzake basi inaonyesha kuwa tatizo la lugha ni kubwa sana kuanzia kwa mwandishi hadi kwa msomaji...nchimbi alianza kusoma salamu hizo akianzia juu kabisa kwenye anauni ya mwandishi, akashuka chini kwenye tarehe nakuanza kusoma akiwa anatetemeka na hofu kubwa......kwa kifupi ilikuwa aibu...
nadhani mwandishi wa thread alimaanisha hiki nilichosema...
Edson, uko sahihi kabisa. Salam za rambirambi toka Tanzania zilisomwa na Dr Nchimbi kwa kiingereza, tena kiingereza kibovu, na hakuna cha maana kilichokuwa kwenye salam hizo. Lakini jambo lilinipa aibu ni kitendo cha Dr Nchimbi kusoma hadi Anuani ya State House! Nakumbuka alisema hivi "... I will read word for word..." ndipo akaanza ...anuani!
Imeleta aibu kweli, watu wa Foreign Affairs wajitahidi kutoa mafunzo kabla mtu hajavuka mipaka.
alivyosoma kwa kitetemeshi wewe ulikosa nini kama sio udaku na um,bea tu.
au angefunguka kiufundi ungepata nini?
sidhani kama pale palikuwa na nia ya kumpata mshindi au gwiji wa confidence