Hivi huyu si yule aliyewahi kitajwa sana kuhusu yale mauaji ya waziri fulani
Hivi ni mimi peke yangu au kuna mtu mwingine hapa jamvini anaona very odd kwamba wale wadau wa Kenya hawaja-post chochote? Au pengine ni utamaduni wa jirani zetu kuomboleza 'kimya kimya'.
Alikuwa mshirika wa Laila odinga, ni very influential na icon ya Jamii ya kimasai ya Kenya, rip prof. Saitot
Mola awalaze pema peponi. AMINA. Sasa uchaguzi itakuwaje? Jamani Wakenya poleni.