Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Kuna ishu inaleta utata japo sitaki kuleta speculations hapa...there was an explosion/explosions before the chopper came down crashing...What caused the explosion?
...these are fairly brand new helicopters to just fall off the sky like that!
Tusubiri jeshi la polisi la Kenya waje na porojo zao za kila siku.
hahaha.sasa unaadhani ni alshabaab?!!!..kuna mtu mmoja aliyekuwa anaenda kanisani mdawa saa tatu asubuhi ..aliiona hiyo helkopta ikiyumba huko angani na baadae kidogo ikaanza kutoa cheche kisha ikaanguka na kulipuka kwenye huo msitu wa kibiko ,Ngong......hata ukiona eneo ilipoangukia inaonekana kweli imelipuka na kuwaka moto....huo mlipuko umesikia ikiwa imeanguka na sio ikiwa angani