Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Pole Kenya na Afrika. Mungu awape nguvu na faraja wafiwa wote
 
Is it too hard for you Tz guys to give us time to mourn?:A S thumbs_down:
 
Amefariki kwa ajali ya chopper ktk milima Ngong. Source Kbc, citizen tv.
 
R.I.P Prof. George Saitoti. I came to know you long time ago.
 
lee funeral home ndipo miili ilipo......ndugu wanafika na bada ya taratibu kukamilka ndugu wataichukua miili hiyo....
 
Too bad. Hakuna mkono wa mtu jamani, tusianzishe hisia za ushirikina. Ndege hainaga ushirikina, ni utaalam tu.
 
Nasikitika sana huyu Saitoti nilikuwa nina mua appreciate sana sikuwa fikiri kama mwisho wa maisha yake ungekuwa wa namna hii. Ni tajiri sana kwa maana ya matariji wa ardhi na hata wa vitu vingine hebu angalia alivyokufa na kaucha everything.

Jamani vifo vya watu wengine vitusaidie ku-shape mtindo wa maisha yetu na tuishi maisha ya kumtegemea Mungu kwani hata ghafla ikitokea bado uko katika mikono yake.
 
Acha kudanganya watu helcopter waliodondoka nayo hata vipande havionekani yaani vipo vidogo sana.Wameonyesha citzen exclusive picture ya helcopter yenyewe yaani ni imeisha kabisa.Wewe hiyo ya kwako umeitoa maktaba ya ajali nyingine
 
Hiyo ajali ni kama hile iliyowaua kina chrispian ntayamira na abeyirimana miaka hyo,hilo chezo tu la kimafia.
 
3.jpg

2.jpg

8.jpg

1.jpg
 
Si wana jukwaa lao?Why hapa.

R.I.p George
 
Acha kudanganya watu helcopter waliodondoka nayo hata vipande havionekani yaani vipo vidogo sana.Wameonyesha citzen exclusive picture ya helcopter yenyewe yaani ni imeisha kabisa.Wewe hiyo ya kwako umeitoa maktaba ya ajali nyingine

Bujibuji umetupiga changa asee, hizi ndo picha zenyewe..!
Crash.jpg
George-Saitoti_2244321b.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom