Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hiyo choper si kama ile ya chadema.!!!
Nao hawana muda, utasikia siku moja, Mbowe, Slaa, Zitto, Lema na Tundu Lissu is no..................due to helicopter cra........., they were going to loot M4C spirits in western zone.!
Mchagueni Prof Ole Kiyapi ndugu,kwanza Saitoti sio Mmasai ,bali alikulia umasaini baada ya wazazi wake kuwakimbia waingereza enzi za maumau,marehemu alikuwa Mkikuyu ingawaje alikuwa hajui kuongea Kikuyu hata Kimasai
Saitoti alikuwa mmoja kati ya watakao gombea urais 2012 LALA SALAMA SAITOTI[Alikuwa pnu au odm? Naomba kujua coz serikali yao ni ya umoja wa kitaifa
PNU iliotokana na malumbano ya uchaguzi wa 2007, lakini kw lengo la kuwania uchaguzi mwaka ujao yeye pia ni Mwenyekiti was chama cha PNU na candidate kwa uchaguzi ujao. Confusion, I know, but that is the nature of our politics in Kenya.
PNU ya uchaguzi was 2007 imesambaratika kuwa viama kathaa, na Saitoti akarithi moja tuu ya viama hivyo
Hata mimi nimesikia BBC wanasema waliokuwemo kwenye helicopter ni Waziri wa Usalama wa ndani Prof. George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode na maafisa wengine wa Wizara yao,na wote wamekufa...
Kifo cha Prof. Saitoti ni pigo kubwa sana kwa Siasa za Kenya na nchi ya Kenya kwa ujumla..
Bujibuji mambo gani tena haya kaka yangu? Ile helicopter waliopanda hao viongozi imelipuka angani na kuanguka ikiwa imeharibika, si nzuri kama uliyoonyesha wewe. Na kwa uzuri zaidi mimi kwa wakati huu niko mjini Nairobi katika mihangaiko yangu ya kuitafuta shillingi, na Citizen TV wanaonyesha hiyo crash site ni porini (Kibiku forest, maeneo ya Ngong); na helicopter yenyewe iko nyang'anyang'a.
Ila kuna mambo mengi yanasemwa kuhusu ajali hii hapa Nairobi, mosi, rubani aliyekuwa amepangwa awali kajitoa dakika za mwisho ndipo akateuliwa mwingine (Madam Nancy Githuana) ambaye ndiye amekuja pata ajali na amefariki; pili miili ya waliokuwemo kwenye ndege imeungua haitambulikani, lakini pesa walizokuwa wamebeba kupeleka kwa fund raising hazikuungua kuteketea. Makubwa, lakini ndiyo hivyo, Prof George Saitoti, Naibu wake Orwa Ojode, walinzi wao wawili na marubani wawili wamefariki. Mwenyezi Mungu aweke roho zao mahali pema peponi.
View attachment 56013View attachment 56014
Eeh, hizi ni hela?!, ingekuwa Bongo, sidhani hata kama zingepata nafasi ya kupigwa picha!
Eeh, hizi ni hela?!, ingekuwa Bongo, sidhani hata kama zingepata nafasi ya kupigwa picha!
