Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Bujibuji mambo gani tena haya kaka yangu? Ile helicopter waliopanda hao viongozi imelipuka angani na kuanguka ikiwa imeharibika, si nzuri kama uliyoonyesha wewe. Na kwa uzuri zaidi mimi kwa wakati huu niko mjini Nairobi katika mihangaiko yangu ya kuitafuta shillingi, na Citizen TV wanaonyesha hiyo crash site ni porini (Kibiku forest, maeneo ya Ngong); na helicopter yenyewe iko nyang'anyang'a.

Ila kuna mambo mengi yanasemwa kuhusu ajali hii hapa Nairobi, mosi, rubani aliyekuwa amepangwa awali kajitoa dakika za mwisho ndipo akateuliwa mwingine (Madam Nancy Githuana) ambaye ndiye amekuja pata ajali na amefariki; pili miili ya waliokuwemo kwenye ndege imeungua haitambulikani, lakini pesa walizokuwa wamebeba kupeleka kwa fund raising hazikuungua kuteketea. Makubwa, lakini ndiyo hivyo, Prof George Saitoti, Naibu wake Orwa Ojode, walinzi wao wawili na marubani wawili wamefariki. Mwenyezi Mungu aweke roho zao mahali pema peponi.


View attachment 56013View attachment 56014
 
RIP Orwa Ojode a.k.a Sirikali,mmoja wa mawaziri waongeaji wazuri sana na ambaye alikuwa haogopi kusema kile anachokiamini,pia wakati akiongea au kujibu maswali pale mjengoni ilikuwa inakuwa burudani tosha,huyu jaruo alikuwa kiboko ajabu pamoja na kuwa ODM alikuwa sio mlamba viatu wa RAO.
Pia RIP le Prof.Saitoti a.k.a Nitakuwa kwa debe,masikini Saitoti ndoto zake za kuwa uraisi ndio zimefikia tamati.Mungu awapumuzishe mahala pema wana Kenya hawa
 
3 hrs sasa hakuna kitu toka kwa jirani. But I am sure ingekuwa mjadala wa pesa au "umaskini" wa Tanzania tungekuwa na mavuvuzela ya nguvu! Very strange!
must you provoke people on a thread like this...why don't you just express your condolences and move on. One of you is even supposed to be a mod!
 
Duh wamasai tumepata pigo ktk eneo la afrika mashariki...R.I.P Ole saitoti.

hili pigo pamoja na kusikitika na pia ni vibaya kuombea mtu kifo, lakini ni heri angekufa kenyata na ruto kenya ingefanya uchaguzi ujao kwa amani bila hawa watu wawili
 
R.I.P George Saitoti and Joshua Ojode, I think it is Joshua not Orwa
Inasemekana aliyekua makamu wa Rais kipindi cha Moi, Prof. George Saitoti na Internal Security Ass. Minister Orwa Ojode wamerudisha jezi katika hii ajali.

R.I.P.
 
must you provoke people on a thread like this...why don't you just express your condolences and move on. One of you is even supposed to be a mod!

I did, very early on just go through the posts. Wondering why it tool you so long! Kila jambo na wakati. Sorry.
 
Duh wamasai tumepata pigo ktk eneo la afrika mashariki...R.I.P Ole saitoti.
Mchagueni Prof Ole Kiyapi ndugu,kwanza Saitoti sio Mmasai ,bali alikulia umasaini baada ya wazazi wake kuwakimbia waingereza enzi za maumau,marehemu alikuwa Mkikuyu ingawaje alikuwa hajui kuongea Kikuyu hata Kimasai
 
habari mbaya sana hii.mungu aZiweke roho za marehemu pema peponi .amina
 
RIP Professor! Im much interested to know the cause of the tragic xdent!!!
 
RIP Professor! Im much interested to know the cause of the tragic xdent!!!
 
SAITOTI NA ORWA
OJODE WAFARIKI DUNIA Waziri wa Usalama wa ndani
Profesa George Saitoti na
Naibu wake Orwa Ojode
wamefariki dunia katika ajali
ya helikopta ya polisi iliyotokea
leo asubuhi katika eneo la Kibiku, karibu na mji wa
Ngong takriban kilometa
ishirini kutoka mji mkuu wa
Nairobi. Abiria wote sita, wakiwemo
marubani wawili na walinzi wa
mawaziri hao waliokuwa
kwenye helikopta hiyo
wamefariki dunia na miili yao
kuteketezwa kwa kiasi cha kutoweza kutambulika. Kilichosababisha ajali hiyo
bado hakijabainika. Bwana Saitoti na maafisa
wengine wa juu katika wizara
ya usalama wa ndani walikuwa
wakielekea katika eneo la
Sotik kwa mkutano wa
usalama. Saitoti alikuwa miongoni mwa wanasiasa
mashuhuri nchini Kenya
waliokuwa wakipania
kugombea kiti cha urais katika
uchaguzi mkuu ujao. Walioshuhudia ajali hiyo
wamesema waliona helikota
hiyo ikizunguka angani kabla
ya kuanguka katika msitu wa
Ngong. Polisi wamezingira eneo la
ajali hiyo na kamishna wa
polisi Mathew Iteere aliyepo
katika eneo la ajali
anatarajiwa kutoa taarifa
kamili kuhusiana na ajali hiyo. Ajali hiyo ya helikopta
imetokea katika siku ambapo
Kenya inaadhimisha miaka
minne tangu kutokea ajali ya
ndege iliyowauwa mawaziri
wengine wa serikali, Kipkalya Kones na Lorna Laboso
 
RIP Saitoti. He has been at the center of Kenya politics for such a long time. Time has come to an end in a very tradegic way
 
Ok, I got it, it is Orwa

Hey Doreen, it is indeed Mheshimiwa Joshua Orwa Ojode.

Best performing Assistant Minister in Kenya's History. Fearless, Frank, Diligent, Independent of Mind (only ODM member of Parliament to Vote against his Party on matters of Conscience), Focus, Objective.

Great kenyan, to say it all. Hon. Ojode, thank you for your selfless service to Kenya, now a deserved rest, dear brother.
 
Ab tichaz you mean pro. Saitoti is gone?
527088_313667162052567_1107458443_n.jpg

Saint Ivuga - where did you get this picture? Do you have others of it? Pls reply!!
 
Back
Top Bottom