Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kuna ishu inaleta utata japo sitaki kuleta speculations hapa...there was an explosion/explosions before the chopper came down crashing...What caused the explosion?

...these are fairly brand new helicopters to just fall off the sky like that!

Tusubiri jeshi la polisi la Kenya waje na porojo zao za kila siku.

hahaha.sasa unaadhani ni alshabaab?!!!..kuna mtu mmoja aliyekuwa anaenda kanisani mdawa saa tatu asubuhi ..aliiona hiyo helkopta ikiyumba huko angani na baadae kidogo ikaanza kutoa cheche kisha ikaanguka na kulipuka kwenye huo msitu wa kibiko ,Ngong......hata ukiona eneo ilipoangukia inaonekana kweli imelipuka na kuwaka moto....huo mlipuko umesikia ikiwa imeanguka na sio ikiwa angani
 
Kuna ishu inaleta utata japo sitaki kuleta speculations hapa...there was an explosion/explosions before the chopper came down crashing...What caused the explosion?

...these are fairly brand new helicopters to just fall off the sky like that!

Tusubiri jeshi la polisi la Kenya waje na porojo zao za kila siku.

Inawezekana AL SHABAB? maana hawa jamaa nao si wadogo!!!
 
Hizi ajali zinatumaliza jamani!!..poleni sana wakenya!bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.
 
Jamani ni msiba mkubwa sana. Prof Saitoti alikuwa siyo machine tu bali engine ya Kenya. RIP Saitoti na wenzako. Amen
 
Alikuwa mshirika wa Laila odinga, ni very influential na icon ya Jamii ya kimasai ya Kenya, rip prof. Saitot

La!! Hakuwa Mshirika wa Raila Odinga, lakini Mshirika wa karibu sana wa Rais Kibaki, icon ya pamoja kwa Jamii zote mbili za Gikuyu na Masai, na kwa hivyo haswa kama Presidential alternative ya Uhuru Kenyatta kama kweli ICC haitamruhusi Uhuru kuwania Urais uchaguzi ujao.
 
Mpaka mjadala uwe ligi nd'o utaona vigugumizi vya nguvu....:glasses-nerdy:

3 hrs sasa hakuna kitu toka kwa jirani. But I am sure ingekuwa mjadala wa pesa au "umaskini" wa Tanzania tungekuwa na mavuvuzela ya nguvu! Very strange!
 
Kwanza R.I.P. marehemu wote na pole sana serikali, familia za marehemu na Wakenya kwa jumla.

Pili, kwa wanaojua vyeo vya mawaziri wa Kenya naomba msaada kwa hii:
Minister of Internal Security ni = Waziri wa Usalama wa Ndani, Waziri wa Usalama wa Raia au Waziri wa Mambo ya Ndani?
Thanx in advance.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Kaka.

Tena, hivi sana hakuna chochote kina indicate sabotage, au terrorism, na mambo kama hayo. Pia kwaheshima it would be important to avoid such speculations.

That Minister Kones and Minister Laboso (RIP) also perished by similar fashion on the same day five years ago is purely coincidental.

Their tribes and political leanings of Ministers Kones, Laboso, Orwa and Saitoti (RIP)too have nothing to do with this National calamity at all.
 
RIP Prof Saitoti, tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi!
 
600881_239415939507639_2104302763_n.jpg
 
hii ni habari kweli.imetokea leo? urais ndio basi tena!
 
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kaka.

Tena, hivi sana hakuna chochote kina indicate sabotage, au terrorism, na mambo kama hayo. Pia kwaheshima it would be important to avoid such speculations.

That Minister Kones and Minister Laboso (RIP) also perished by similar fashion on the same day five years ago is purely coincidental.

Their tribes and political leanings of Ministers Kones, Laboso, Orwa and Saitoti (RIP)too have nothing to do with this National calamity at all.
Asante sana Mkuu, Delta4 kwa kunipa maana ya cheo cha waziri kwa Kiswahili.
Kuhusu hilo la watu kuzusha na ku"speculate" wachawi ni ujinga. Tuamini na kukubali matakwa ya Muumba wetu, ikiwa kuna jengine sio sisi wa kupigia debe bali kuviacha vyombo vya dola kufanya kazi yao.
 
Back
Top Bottom