Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

RIP waliopoteza maisha, pole kwa wafiwa na wakenya wote
 
saitoti-300x151.jpg

Pichani Profesa George Saitoti na naibu wake Orwa Ojode

Ni msiba mkubwa kwa WAKENYA
RIP Prof. George Saitoti na naibu wako Orwa Ojode na wote waliopoteza maisha katika ajali hiyo mbaya
 
R. I. P. Saitoti. Umekuwa waziri tangu nipo primary hadi nimemaliza chuo na kazi kwa miaka ya kutosha. Angalau Mungu amekuondoa Madarakani maana hata ungefikia miaka mia bado usingeridhika! Umetuthibitishia kuwa ni kweli "binadamu hatosheki" na "Mungu ndiye muweza wa yote". Byebye.

Mkuu Prof. Saitoti is a hardworking leader, na ni moja wa watu ambao wamesimamia utekelezaji wa sera kwa maslahi ya nchi na watu wake! Orwa too the same!
Saitoti would forever be remembered as a hardworking and determined public servant who dedicated his time to the service of the Kenyan people.
Watu wa aina ya akina Saitoti ni wachache sana, ambao wanasimama katika kweli!
R.I.P. Saitoti & Ojode
 
Waziri wa Usalama wa ndani Profesa George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode wamefariki dunia katika ajali ya helikopta ya polisi iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Kibiku, karibu na mji wa Ngong takriban kilometa ishirini kutoka mji mkuu wa Nairobi.
120311111028_bbc_breaking_news_304x171_bbc_nocredit.jpg


Abiria wote saba waliokuwa kwenye ndege hiyo wanaarifiwa kuteketezwa kwa kiasi cha kutoweza kutambulika.
Bwana Saitoti na maafisa wengine wa juu katika wizara ya usalama wa ndani walikuwa wakielekea katika eneo la Sotik kwa mkutano wa usalama. Saitoti alikuwa miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini Kenya waliokuwa wakipania kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Walioshuhudia ajali hiyo wamesema waliona helikota hiyo ikizunguka angani kabla ya kuanguka katika msitu wa Ngong. Polisi wamezingira eneo la ajali hiyo na kamishna wa polisi Mathew Iteere aliyepo katika eneo la ajali anatarajiwa kutoa taarifa kamili kuhusiana na ajali hiyi

RIP Saitoti..
 
Nancy Gitanjwa ni mmoja wa marubani waliopoteza maisha.....rubani wa kike huyu
 
George-Saitoti.jpgWaziri wa Mambo ya ndani wa kenya Prof George Saitoti na naibu wake Mr. Joshue Ojode wamefariki dunia asubuhi ya leo around saa tatu kutokana na ajali ya helcopta iliyotokea huko kenya. Watch breaking news now at Citizen TV
 
Innalillah wainna ilayhi raj'uun.

Hakika huu ni ukumbusho na mawaidha makubwa kabisa,

Wajameni tumrudie muumba wetu, wajameni tufanye ibada wajameni, wajameni tuacheni maasi ya kumuudhi muumba.

Mungu awaweke pahala wanapostahili-By Almarhum hemed bin jumaa bin hemed
 
Mheshimiwa George Saitoti afariki kwa ajali ya helcoptar R.I.P G. Saitoti
 
Waziri wa Mambo ya ndani wa kenya Prof George Saitoti na naibu wake Mr. Joshue Odoje wamefariki dunia mchana huu kutokana na ajali ya helcopta iliyotokea huko kenya. Watch breaking news now at Citizen TV

Mola awalaze pema peponi. AMINA. Sasa uchaguzi itakuwaje? Jamani Wakenya poleni.
 
Mods tafadhali tuungie hizi threads za Saitoti ziko nyingi sana
PKA Saitoti na wengine wote waliopoteza maisha yao kwenye ajali hii
 
As i promised to bring more details about chop crash which killed Saitoti and assistant,try to follow an article and source of crash.



News

[h=1]Ministers Saitoti, Ojode killed in chopper crash[/h]
shareH.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating
Alternative text.
ojode.jpg
Internal Security ministers Orwa Ojode (left) and Prof George Saitoti. Photos/FILE
By EMMANUEL TOILI etoili@ke.nationmedia.com and LUCAS BARASA lbarasa@ke.nationmedia.com
Posted Sunday, June 10 2012 at 10:03

Kenya's Internal Security minister Prof George Saitoti, his deputy Orwa Ojode and four others were killed when a Police chopper crashed in Kibiku area in Ngong forest reportedly at 9am on Sunday, according to police sources. (For live stream, follow the link (www.ntv.co.ke/live)



Vice-President Kalonzo Musyoka who arrived at the scene with Police Commissioner Mathew Iteere confirmed that the two ministers died in the crash along with Prof Saitoti's two bodyguards and two pilots.

"Its unbelievable and painful to Kenya and I send my condolences to President Kibaki, families and friends of Prof Saitoti and Orwa Ojode," he said.

Meanwhile, President Mwai Kibaki has also sent a message of condolences to the families and friends of Prof Saitoti and Orwa Ojode.

"It is with great sadness that this morning I learnt of the tragic deaths of the Minister for Internal Security and Provincial Administration Prof
George Saitoti and the Assistant Minister in the ministry Hon Orwa Ojode, their body guards and the pilot and co-pilot of the police helicopter that they were travelling in. The deaths of the six Kenyans is a devastating loss to our country," he said.

"On behalf of the Government and the people of Kenya I send my heartfelt condolences to the family, friends and relatives of the six Kenyans.
Minister Saitoti will forever be remembered as a hardworking and determined public servant who dedicated his time to the service of the
Kenyan people," he said.

He added: "At this moment of great national grief my prayers are with the families of those who perished."

Prime Minister Raila Odinga on Sunday cancelled all his engagements in Nakuru and rushed to the scene of the plane crash.

Share This Story
41Share



"Investigations will be conducted to establish the cause of the crash and the Cabinet will determine the number of days for mourning," he said at the scene of the accident.

"It is a bad coincidence that the deaths of Prof Saitoti and Mr Ojode have occurred on the fourth anniversary of the deaths of the late Minister Kipkalia Kones and the late MP for Sotik Lorna Laboso who also perished in plane crash," he said.

The bodies of the deceased have been taken to Lee Funeral for post-mortem.

Others who perished included Pilots Luke Oyugi and Nancy Gituanja together with two bodyguards Joshua Tonkei and Thomas Murimi

The two were heading to Orwa Ojode's Ndhiwa Constituency for a church fundraising activity.

It is exactly four years when a chopper carrying MPs Kipkalya Kones and Lorna Laboso crashed in Narok.

According to an eye witness, the helicopter was seen diving from the sky and full of smoke before crushing and exploding into flames.

"The Chopper was filled with smoke before it crashed. I heard two explosions as it went up in flames," said Rose Kwamboka.

Another eye witness Leonard Njoroge said he saw the chopper sway one kilometre away from his homestead before it crashed between 8am and 8:30am.

"The chopper crashed and exploded on impact scattering money and books and only its tail seemed intact," he said. The plane destroyed trees as it missed my homestead."
 
Back
Top Bottom