Kenyan Soldier (Ph.D holder) Working for US Billionaire Elon Musk

Middle income country na bado watoto hawavai viatu. Huko Kenya mnamatatizo gani?
 
Wakenya mnashobokea wazungu hadi mnatia aibu. Umenikumbusha ile mall yenu ilipovamiwa na alshabab na raia kuuwawa nyie mkawa busy kumpamba mzungu mmoja kwa kubaki eneo la tukio kisa tu ni mzungu na kuacha kuongelea raia wenu.

Anyhow sio jambo la ajabu watu wenye asili ya nje ya US kufanya kazi hayo mashirika, nawajua watu kadhaa na wengine wengi ambao wamefanya kazi Lockheed Martin, CIA, Honeywell Aerospace nk. Ni jambo la kawaida sana, tembeeni mjionee acheni ushamba.

Kadhalika huyu bwana ni mwanajeshi wa US yani he has pledged his allegiance to the USA ila wakenya wapo hapa kushangiliana as though kuna kitu wanafaidika nacho. Smh

Saidieni watoto viatu sio mtu hadi miaka 14 hana viatu tena kaokotwa barabarani. Mnatia aibu sana.
 
Oyaa iza bana! 🤣 🤣 🤣🤣 🤣 Duh hii kali aisee!
✌️
 
Hivi kwani ilkuwa 'bucket list' ya Obama na gorvernance yake ni kuja Kenya katika mwaka wa kwanza wa muhula wake ka rais wa Marekani, sababu ana damu ya kikenya? Mbona fikra finyu hivi mkulu, yeye ni Mwamerika na anaongoza Waamerika sio Wakenya so lazima atengeneze kwake kwanza kabla hajafuata mengine. Au alikuja Tz na sikujua? 😂 😂 😂
✌️
 
Hajakibia, amefuata 'grenier pastures', you feel me bro. Hata wewe hapo ulipo upate kazi poa Mamtoni, waenda wewe na hata usipinge. Kila mtu ana mind mafanikio ya mbeleni ndio atunze familia yake kwanza
 
Acheni miti shamba isiyoeleweka!
Alafu huyo mkenya sio wa kwanza, tumejaa kwote duniani wakenya na sio siri, hivi nikuulize yule jamaa wenu mkali wa mpira wa kikapu(NBA) kule USA mbona hakubaki kwa awachezee timu yenyu ya taifa, atleast sahi tungekuwa na majirani zetu kule Afro Basketball tournaments tuliwakilisha, fanya utafiti utajua namaanisha nini.
#KenyaMoransToTheWorld
 
Itauwa talanta vipi ilhali vifaa bombadier vya SpaceX unavyona vikirushwa angani bila shida? Hata kama Kenya tungekuwa na Elon Musk basi huwa soldier boy angekuwa huku home akifanya mambo yake ya physici humu humu, sema tu hatujafika huko.
✌️
 
You idiot, angalia gazeti lenu linasemaje juu ya Covid home remedy, bila shaka wameiga Tz.View attachment 1720845

View attachment 1720845
Mkuu hayo ya tangawizi, saumu, limau, sijui nn, twayajua toka enzi hizooo so ata usihofie ila hichi kirusi ni 'Brand new' na bado kina 'mutate' kila kukicha hivyo inamaana kinajikomaza na kuwa hatari zaidi kusambaa na kuangamiza raia kwa haraka kushinda mwanzoni. Ndio tukaambiwa, ukijihisi tu na vidalili visivyo vya kawaida, tumia huo mchanganyiko kwanza lakini uhakikishe umejilinda kwa kufanya hayo ya barakoa,, kuosha mikono, social distancing na kdh na uhakikishe umewaarifu watu wa health walio karibu yako ikiwa dalili zitaendelea kuwa konki. So kuna watu hiyo mix itawasaidia kama miili yao iko sawa ki immune na kuna wale bado miili hafifu ka watoto na wazee ndio wanaopaswa kuchungwa sana sababu hata hiyo mix yaeza isimsaidie ukikosa kumpeleka hospitali kwa muda ufaao. So think before acting, follow your guts and stay safe. Mungu mbele.
✌️
 
Oyaa iza bana! 🤣 🤣 🤣🤣 🤣 Duh hii kali aisee!
✌️

Kuna watu humu nikijadili nao huwa inabidi nihamishe akili pembeni ili niwe kwenye level yao kisha nazikusanya baadaye. Maana wao huwa na uzombi fulani hata ukijaribu kumpa nondo zenye mantiki anajitia upofu kama chizi, hivyo ni kwenda nao kwa mwendo wao.

Akija mtu mwenye kutumia akili vizuri huwa nakwenda naye vizuri...
 
Kuna fikra finyu kama hizi:-
President Mwai Kibaki declared a national holiday following Obama's election victory in November. The mood on Tuesday was again festive as Kenyans celebrated the latest step in a career that many here have long followed with great interest.
BBC nao hawakuwa nyuma:-
Kenya has declared Thursday a public holiday to celebrate the election of Barack Obama to the US presidency.
Sasa nani mwenye akili finyu kati yangu na rais wenu aliyekuwa ametangaza public holiday kusherehekea uchaguzi wa rais wa taifa lingine, huku raia nanyi mkiwa kama mazuzu mkawa mnajimwaga barabarani kushangilia!!Na bado nakumbuka vizuri jinsi mlivyokuwa mnatoa mapovu baada ya Obama kumfungia vioo Odinga na badala yake akakutana na Kikwete; yote hiyo kuwaambia "acheni kujikomba"!
 
Haya bana hongera zake, ila nasi Wadanganyika tunao kama hao, ila hatuna muda wa kujigamba kama nyinyi!
Mna fujo kama nini! Typical cases of noise neighbours 🤫🤐
 
Ili kujuwa u zombie wenu kweli TZ wafikiri yaweza kuipa nchi Military base?!
 
Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee
Mimi naona ni habari kuona Mkenya Askari mwenye phd anafanya kazi ya uaskari katika Jeshi la Marekani ( rejea title na contents za uzi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…