Kenyan Soldier (Ph.D holder) Working for US Billionaire Elon Musk

Kenyan Soldier (Ph.D holder) Working for US Billionaire Elon Musk

Middle income country na bado watoto hawavai viatu. Huko Kenya mnamatatizo gani?
 
Wakenya mnashobokea wazungu hadi mnatia aibu. Umenikumbusha ile mall yenu ilipovamiwa na alshabab na raia kuuwawa nyie mkawa busy kumpamba mzungu mmoja kwa kubaki eneo la tukio kisa tu ni mzungu na kuacha kuongelea raia wenu.

Anyhow sio jambo la ajabu watu wenye asili ya nje ya US kufanya kazi hayo mashirika, nawajua watu kadhaa na wengine wengi ambao wamefanya kazi Lockheed Martin, CIA, Honeywell Aerospace nk. Ni jambo la kawaida sana, tembeeni mjionee acheni ushamba.

Kadhalika huyu bwana ni mwanajeshi wa US yani he has pledged his allegiance to the USA ila wakenya wapo hapa kushangiliana as though kuna kitu wanafaidika nacho. Smh

Saidieni watoto viatu sio mtu hadi miaka 14 hana viatu tena kaokotwa barabarani. Mnatia aibu sana.
 
Kwa hivyo akiwa kwetu anapata uhuru wa kutumia ubongo, ila akishavuka mpaka na kurudi kwenu anakua zezeta kama wengine, itabidi utafiti ufanywe kuna nini kwenu huko, aidha hewa mnayopumua au ubwabwa mnaokula, kuna kitu husababaisha mgande kabisa kwenye matumizi ya ubongo.
Oyaa iza bana! 🤣 🤣 🤣🤣 🤣 Duh hii kali aisee!
✌️
 
Sitashangaa nikisikia Jeshi la Kenya likifanya sherehe baada ya MMAREKANI mwenye asili ya Kenya kufanya kazi kwa Elon!! Hii mijamaa ilivyo mazwazwa ilijipa break baada ya Obama kuchaguliwa kuwa rais!! Na Obama kwa ushenzi tu, akamaliza muhula wa kwanza bila kwenda Kenya kama ujumbe kwamba "acheni kujipendekeza"
Hivi kwani ilkuwa 'bucket list' ya Obama na gorvernance yake ni kuja Kenya katika mwaka wa kwanza wa muhula wake ka rais wa Marekani, sababu ana damu ya kikenya? Mbona fikra finyu hivi mkulu, yeye ni Mwamerika na anaongoza Waamerika sio Wakenya so lazima atengeneze kwake kwanza kabla hajafuata mengine. Au alikuja Tz na sikujua? 😂 😂 😂
✌️
 
Hali ya hewa, maji na Mazingira ya kibera yanaweza kuwa sawa na hali ya hewa, maji na mazingira ya Tz??., chakula kipi unachozungumzia, kwani nyie mnachakula gani??!, karibu sehemu kubwa ya chakula chenu chatoka Tz au wajifanya zwazwa kutojua??!, ama Kweli "mla kunde husahau bali mtupa maganda".

"Jalala" limewafundisha utu (humanity) that implies in case of humanity you are worse than Jalala na ndio maana hata huyo phd holder wenu mnayejivunia amekimbia Kenya kwenda US kuwa korokoroni kwani ukabila wenu umemforce akimbie.
Hajakibia, amefuata 'grenier pastures', you feel me bro. Hata wewe hapo ulipo upate kazi poa Mamtoni, waenda wewe na hata usipinge. Kila mtu ana mind mafanikio ya mbeleni ndio atunze familia yake kwanza
 
Hata Jeff koinange aliwaiga hao "Mazombies" kwa yeye naye kunywa Tangawizi na limao pale alipougua Corona inaonekana hawa Mazombie wa Tz wana akili nyingi kuliko Academicians wa Kenya.

Kama "Zombie" anazo akili za kuigwa basi your academicians and intellectuals are worse than the Zombies.

Nikija kutalii Kenya nitakwenda Kibera na kuona ukabila wenu uliosababisha the Phd holder kukimbia Kenya and end up in the US securing gate keeping job ili japo apate chapaa.
Acheni miti shamba isiyoeleweka!
Alafu huyo mkenya sio wa kwanza, tumejaa kwote duniani wakenya na sio siri, hivi nikuulize yule jamaa wenu mkali wa mpira wa kikapu(NBA) kule USA mbona hakubaki kwa awachezee timu yenyu ya taifa, atleast sahi tungekuwa na majirani zetu kule Afro Basketball tournaments tuliwakilisha, fanya utafiti utajua namaanisha nini.
#KenyaMoransToTheWorld
 
Nilikuwa sijui kama najadiliana na idiot, wewe hujui kuwa tangawizi ni anti viral na pia antibacterial???!!, Covid ina stage 3, katika stage ya kwanza na ya pili unaweza kuiangamiza kwa kutumia anti virals kama Tangawizi, Camphor (Vaporub), Mafuta ya karafuu nk, spikes za Corona Virus ni protein ambayo ikikutana na hizo antivirals huyeyushwa (dissolved) na hivyo huyo virus huangamia, katika stage ya 3 ni ngumu sana kuangamiza huyo virus sababu anakuwa kisha jichimbia ndani ya mapafu katika hali hiyo ni ngumu kuingiza hizo dawa ndani ya mapafu, kwahiyo Tangawizi in any form at preliminary stage while mixed with other antivirals can cure Covid 19 na ndiyo maana huyo Mkenya mwenzako alipona Covid 19 kwa kutumia Concoction yenye tangawizi, itakuwa ni UJUHA KALULU kubeza na kukejeli jambo lenye ukweli kisa tu sababu Maprof wa Tz wameshadidia kwamba Tangawizi iliyochanganywa na dawa zingine katika hatua za awali za Covid inaweza kutibu.

Njoo na hoja nyingine na sio hiyo ya Tangawizi iliyomponyesha nduguyo Covid.

Mwambieni huyo Phd holder wenu arudi Kenya na aache kazi ya ukororokoroni kwani kazi hiyo itaua TALANTA yake ya Astrophysics, na kwa upumbavu wenu mnamshabikia.
Itauwa talanta vipi ilhali vifaa bombadier vya SpaceX unavyona vikirushwa angani bila shida? Hata kama Kenya tungekuwa na Elon Musk basi huwa soldier boy angekuwa huku home akifanya mambo yake ya physici humu humu, sema tu hatujafika huko.
✌️
 
You idiot, angalia gazeti lenu linasemaje juu ya Covid home remedy, bila shaka wameiga Tz.View attachment 1720845

View attachment 1720845
Mkuu hayo ya tangawizi, saumu, limau, sijui nn, twayajua toka enzi hizooo so ata usihofie ila hichi kirusi ni 'Brand new' na bado kina 'mutate' kila kukicha hivyo inamaana kinajikomaza na kuwa hatari zaidi kusambaa na kuangamiza raia kwa haraka kushinda mwanzoni. Ndio tukaambiwa, ukijihisi tu na vidalili visivyo vya kawaida, tumia huo mchanganyiko kwanza lakini uhakikishe umejilinda kwa kufanya hayo ya barakoa,, kuosha mikono, social distancing na kdh na uhakikishe umewaarifu watu wa health walio karibu yako ikiwa dalili zitaendelea kuwa konki. So kuna watu hiyo mix itawasaidia kama miili yao iko sawa ki immune na kuna wale bado miili hafifu ka watoto na wazee ndio wanaopaswa kuchungwa sana sababu hata hiyo mix yaeza isimsaidie ukikosa kumpeleka hospitali kwa muda ufaao. So think before acting, follow your guts and stay safe. Mungu mbele.
✌️
 
Oyaa iza bana! 🤣 🤣 🤣🤣 🤣 Duh hii kali aisee!
✌️

Kuna watu humu nikijadili nao huwa inabidi nihamishe akili pembeni ili niwe kwenye level yao kisha nazikusanya baadaye. Maana wao huwa na uzombi fulani hata ukijaribu kumpa nondo zenye mantiki anajitia upofu kama chizi, hivyo ni kwenda nao kwa mwendo wao.

Akija mtu mwenye kutumia akili vizuri huwa nakwenda naye vizuri...
 
Hivi kwani ilkuwa 'bucket list' ya Obama na gorvernance yake ni kuja Kenya katika mwaka wa kwanza wa muhula wake ka rais wa Marekani, sababu ana damu ya kikenya? Mbona fikra finyu hivi mkulu, yeye ni Mwamerika na anaongoza Waamerika sio Wakenya so lazima atengeneze kwake kwanza kabla hajafuata mengine. Au alikuja Tz na sikujua? 😂 😂 😂
✌️
Kuna fikra finyu kama hizi:-
President Mwai Kibaki declared a national holiday following Obama's election victory in November. The mood on Tuesday was again festive as Kenyans celebrated the latest step in a career that many here have long followed with great interest.
BBC nao hawakuwa nyuma:-
Kenya has declared Thursday a public holiday to celebrate the election of Barack Obama to the US presidency.
Sasa nani mwenye akili finyu kati yangu na rais wenu aliyekuwa ametangaza public holiday kusherehekea uchaguzi wa rais wa taifa lingine, huku raia nanyi mkiwa kama mazuzu mkawa mnajimwaga barabarani kushangilia!!Na bado nakumbuka vizuri jinsi mlivyokuwa mnatoa mapovu baada ya Obama kumfungia vioo Odinga na badala yake akakutana na Kikwete; yote hiyo kuwaambia "acheni kujikomba"!
 
Immanuel Gitamo, a US Kenyan military soldier working on US Billionaire Elon Musks' Project SpaceX.' Project SpaceX.

Immanuel Gitamo, a US Kenyan military soldier working on US Billionaire Elon Musks Project SpaceX.
FILE

Immanuel Gitamo, a Kenyan soldier in the US army working on billionaire Elon Musk's SpaceX project, has come a long way from Kitale, Transzoia County, where he was born, overcoming adversity to achieve what only a few dream of.

"My brother and I were found abandoned by the roadside by a couple. I didn't know my real father and mother," said Gitamo during an interview with the Nation.

The couple adopted the two and raised them even though they struggled as they were not well off. In an interview with the Army journal in the US, he shared that he owned his first pair of shoes at 14 years.

US Billionaire and CEO of SpaceX Elon Musk

US Billionaire and CEO of SpaceX Elon Musk
FILE
Teachers at the local schools he attended allowed him to study for free, and in return, Gitamo helped with chores in the school.

After high school in 2006, he got a green card and moved to the US for further studies. He graduated with a Bachelors's degree in Aeronautics and Astronautics Engineering and later pursued a Master's degree in Nuclear Physics at the California Institute of Technology.

Joining the US army helped him access military benefits to fund his schooling which would also see him get a roof over his head and the experience he needed. He later enrolled in a Ph.D. program to pursue astrophysics and was required to write a thesis and his choice was electric propulsion to space.

“My dissertation was about electric propulsion. That’s why I joined the Army. I was doing my dissertation for my Ph.D., and I needed to be able to defend it. I was creating electric engine propulsion for spacecraft. In order to get to know how electric propellant works, I needed to know how solid propellant works. That's what the Army uses to eject missiles, so I joined the Army,” said Gitamo.

In 2019 he cleared his Ph.D. in Astrophysics being the only soldier in the US military to have it.
He is currently pursuing another Ph.D. in Atomic physics.

Gitamo says aerospace is encompassed in two engineering disciplines. - Aeronautics entails Aircraft in the earth's atmosphere and Astronautics involves things outside the earth, an interest that has seen him work with Musk's SpaceX, a company that designs, manufactures and launches advanced rockets and spacecraft

The scope of his degree is research, design, science, and technology behind aircraft Construction and testing.

"This is how I came to be part of the Space X project Falcon 9 which has been launched 107 times with 67 landings and 50 times having reflown tickets. 2027 SpaceX is a complete mission which we are still planning. It is meant to go to Mars," he revealed. It is through this project that he met US Billionaire Elon Musk, a man he says, he admires a lot due to what he has accomplished.

He is currently an Air Defense Battle Management System operator assigned to the 2nd Stryker Brigade Combat Team, 7th Infantry Division on Joint Base Lewis _MCchord Washington State.

Dr. Immanuel Gatimo has a Ph.D. in Astrophysics and is pursuing a second Ph.D. in Atomic Physics.

Dr. Immanuel Gatimo has a Ph.D. in Astrophysics and is pursuing a second Ph.D. in Atomic Physics.

Haya bana hongera zake, ila nasi Wadanganyika tunao kama hao, ila hatuna muda wa kujigamba kama nyinyi!
Mna fujo kama nini! Typical cases of noise neighbours 🤫🤐
 
Ili kujuwa u zombie wenu kweli TZ wafikiri yaweza kuipa nchi Military base?!
 
Wakenya bana kwa masifa.kwahiyo mnataka na sisi tuweke matangazo ya watanzania wanaofanya kazi marekani? Na warwanda waweke na waganda waweke. Hii kwangu naona siyo habari kabisaa aisee
Mimi naona ni habari kuona Mkenya Askari mwenye phd anafanya kazi ya uaskari katika Jeshi la Marekani ( rejea title na contents za uzi)
 
Back
Top Bottom