Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenyan & Tanzanian Surburbs

UBUNGO DAR ES SALAAM

50220097.jpg

__________________
 
There is a small building between UHURU HEIGHTS and VIVA TOWERS, is it going to be replaced by something taller or is going to be like it is? also the building you said never painted since, it will be out of place since all towers near it are new,
3-12.jpg

__________________
 
Mlimani, but i dont know what is this building for
pict10342.jpg

__________________
 
Do you know what is this building?
4105815516_59943eef02_b.jpg

also down here, are they building a tower? how many storeys?
52-1.jpg

__________________
 
[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<tbody>[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #F5F5FF"]
DSC00214.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: alt2, bgcolor: #E1E4F2"]
user_offline.gif

Uhuru Heights u/c

3-16.jpg


btw this is a temporary car park plot while preparations are ongoing for a 35 floor tower.

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<tbody>[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #F5F5FF"]
6-8.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: alt2, bgcolor: #E1E4F2"]
user_offline.gif


[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #F5F5FF"]DSM u/c every where (Kisutu)

4-11.jpg

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #F5F5FF"]
4-6.jpg


5-6.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: alt2, bgcolor: #E1E4F2"]
user_offline.gif
Wapi hapa wakulu?[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 


The word
suburb refers to a residential area, either existing as part of a city


Hii thread ilikuwa ya suburbs sasa wabongo wengine wanaiharibu na picha za maofisi, na magorofa yaliojengwa jadi. Aibu!

Hakuna suburbs Bongo, epukeni aibu ndogo ndogo, keti kando na utazame miji ya wenzetu! 😛oa
 
my favourite

Respond with Love and ignore the the dude before me, I gather there is great misunderstanding between Kenyans and Tanzanian, Let us show each other the better parts of our countries. Tanzanians have been talking about all these lovely places in their country and so have Kenyans so lets us share for once. Come on FOLKS DONT BE SHY!

NAIROBI, KENYA

Suburb, Nairobi, Kenya by findingnimo, on Flickr

more suburbs..

Suburb, Nairobi, Kenya by findingnimo, on Flickr
 


The word
suburb refers to a residential area, either existing as part of a city


Hii thread ilikuwa ya suburbs sasa wabongo wengine wanaiharibu na picha za maofisi, na magorofa yaliojengwa jadi. Aibu!

Hakuna suburbs Bongo, epukeni aibu ndogo ndogo, keti kando na utazame miji ya wenzetu! 😛oa
Asante Dada
 
Wadau wabongo, hii thread imeanzishwa ili kuonyesha nani ana ubavu katika makazi mazuri, nina uhakika sisi wenyewe tunapost hapa ila kwetu hatukai nyumba za aina hizi na huwa tunaona tuu ukipita karibu, real estate nairobi ni business inayokomaa na ndio unaona haya makazi mazuri, hivyo basi hata hivyo haijaanza siku nyingi ndio maana maeneo yete tunayoona ni mapya na mengine yapo katika hatua za mwisho za ujenzi, naamini bongo kuna maeneo kama haya mengi ila sisi hapa bongo kila mtu huwa anajenga nyumba yake kwa kubangaiza , mfano mtu anaanza na kiwanja au anaanza na kununua tofali moja moja na anadunduliza mpaka ananyanyua chumba kimoja kwanza, kama umeangalia habari hivi juzi juzi, kuna mabenki kama nane yamesign mikataba kuanza kutoa mikopo kwa ajili ya kununua nyumba hivyo basi kwa muda mfupi unaokuja tegemea housing boom tanzania, mambo yanayofanyika nairobi na kenya kwa ujumla yanakuja na dar muda si mrefu ila tu wenzetu wametangulia kidogo, hii isitufanye tunaanza kujidharau wenyewe, angalia maofisi sasa hivi jijini dar kila eneo yanchipuka, na makazi bora pia yanakuja, kuna nyumba zaidi ya 300 kule maeneo ya kijichi au karibu na mbagala ni za nssf kama kuna mtu atapiga picha hakuna tofauti na zile za nairobi, pia kigamboni kuna miradi mingi, ila tu wabongo hata hawapost picha wanashangilia tuu, yaani utafikiri mechi inachezewa kwao na wanashangilia timu ngeni, upanga sasa hivi kuna magorofa kibao ni residential zile, watu wakipost wabongo wanalalamika, pia kariakoo, ngoja niishie hapa kwanza.
 
MLIMANI CITY DAR ES SALAAM
kuna mdau alisema kwanini tunapost mall, mall nyingi hujengwa karibu na makzi ya watu, ukiangalia vizuri hayo maeneo ya kenya katika picha zilizopita hukosi mall karibu na makazi yao, mfano nakumatt hapo juu.


ukiangalia vizuri nyuma ya mlimani mall kuna nyumba ambazo ndio hizo hapo chini

5401491256_6da0d2bc70_b.jpg


DSC06127.jpg

DSC05818.jpg

DSC06143.jpg

DSC05819.jpg
 
Back
Top Bottom