Kenyan & Tanzanian Surburbs

These are Suburbs, kwa hiyo post picha za Suburbs sio maofisi, Bongo people dont live maofisini.
:lol:

Stop being a lazy ass, just because Nairobi suburbs don't have high rise apartment houses that doesn't mean all suburbs in other cities are flat like pancakes. Dar es salaam is more of a business commercial residential kinda city so you'd expect something like that. If you've ever been in a city like Houston, Texas you'd understand what I mean.
 
tatizo watanzania tukipata hela tunafikilia kujenga guest, bar, business commercial residential au hotel, dah kenya wako mbali sana. sijui hawa matajiri wa tanzania kwa nini hawaigi mfano wa kenya wakashirikiana na mipango mji wakajenga apartment nzuri watu wakapata mahali pazuri pa kuishi ila kwa bei nafuu. ingawa baadhi ya apartments zimejengwa lakini wamejaa wahindi na waharabu mana mbongo uwezi gusa kutokana na bei kubwa ya rent. sijui nani katuloga watanzania. ni majonzi tu.
 
Kwa swala la suburbs Kenya wemetupiga tatu bila. Tukubali yaishe tujipange upya na viongozi makini.
 
Kila mtu apige nyumba anayoishi picha aweke apa. maendeleo ya mji si maendeleo yako.
 
hivi kenya ni nairobi tuuuuuuuu hakuna miji mingine huko kenya, mbona naona Tz kuna hadi mtwara imewekwa hapa.....vp kenyans mwageni na hivyo vingine.....au kwa vile vichafu....msihofu mbona wenzenu wamemwaga tu:focus:
 

Mbona hasira na matusi? Pole, pumua mwenzangu.

Ukweli ni kwamba watu wanaweka picha za maofisi, milima, mabonde, misitu, bahari na proposed projects. Nimeishi Dar na nafahamu sehemu hizo zote, ukweli hata wewe wafahamu. Cha pili, ni wazi wewe hujatembea Nairobi kulingana na yale unayoyasema. Mwenzangu wew haujui niko wapi sasa hivi, Houston nitakutembeza mimi ili ufahamu suburbs ziko wapi. Kama umetembea Harris County ama Fort Bend basi suburbia huko!πŸ˜›oa
 
hivi kenya ni nairobi tuuuuuuuu hakuna miji mingine huko kenya, mbona naona Tz kuna hadi mtwara imewekwa hapa.....vp kenyans mwageni na hivyo vingine.....au kwa vile vichafu....msihofu mbona wenzenu wamemwaga tu:focus:

Tazama uzi vizuri! wameweka picha za :


  1. [*=left]Nakuru

    [*=left]Nairobi

    [*=left]Mombasa

    [*=left]Lamu

    [*=left]Kisumu

    [*=left]Eldoret

    [*=left]Athi River

    [*=left]Kisii
    [*=left]Nyeri
    [*=left]Kakamega
    [*=left]Thika

mfano...



I dont think most of you have been to Nakuru, Kenya but it is Africa's fastest growing city and the fourth fastest in the world.

NAKURU, KENYA

NAKURU, KENYA by findingnimo, on Flickr


NAKURU, KENYA by findingnimo, on Flickr

 
Kakamega: Kenya



Nyeri: Central Province




Apartment Blocks: Nyeri




More apartments being constructed: Nyeri

 
Tatizo Bongo ukipiga picha viota vya watu mfano Mbezi Beach, Mikocheni au Masaki watakuburuzaburuza mpaka ujute ila kuna maeneo mazuri na ya kuvutia hapa Dar, Arusha na Mwanza... La City planning bado tunahitaji tuition kwani kama mji ukiwa umepangwa unapendeza tu bila hata ya vikolombwezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…