Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenyan & Tanzanian Surburbs

This guy needs to see a doctor on a serious note. Dude claims that it's the structure of a road that determines whether its a ring road or not. And you know what this means? It means for instance if a road with a surface thickness of 100mm is upgraded to 150mm, it becomes a ring road. Lol, it's so hilarious when someone who doesn't know anything starts arguing with people who actually have good knowledge on things but comes in with the attitude that he knows everything and nobody else knows anything.

Unataka na wewe nikufanyie nilichomfanyia ndugu yako Mekatilili? nyie watu hivi mbona mnajidhalilisha kiasi hiki?
swali moja rahisi kwako, unafahamu kitu gani cha msingi ring road zote za ukweli zina-share?
wewe nakupa siku 3, jifarague weee, then mwisho wa-siku nitatoa majibu. nina imani kama hujawahi kutoka nje ya EA, huu ni mtihani mzito. ni sawasawa na kumuuliza mzaramo wa kisarawe ukitoka Heathrow terminal 3 first round-about baada ya tunnel kuna nini?hata awange google miaka 10 hawezi kupata jibu.

countdown begins now...,kazi kwako kujiumbua.
 
Last edited by a moderator:
Mekatilili, its been 2 days sasa jina la barabara moja unayojidai umeendesha imekushinda, nyambafu we, uongo uongo huu peleka nairobi, Kisumu, naivasha. Huku kwenye international space waachie wenyewe.kengeuka we.

Kwa kuwa naamini kabisa hii barabara hata ukeshe unatafuta gugo hutaipata wachina wanaiitaje nakushauri utafute 百度。usishangae naweza kuswitch between kiswahili,kichina, na kingereza at will.nakufanyia hivi makusudi kukupoteza network tapeli we.

kwa wasomaji wengine hii barabara inaitwa wuhuan, hata ukimuuliza bata pale beijing atakutajia jina lake.maeneo makuu yamegawanyika kama beiwuhuan,nawuhuan,dongwuhuan na xiwuhuan. Beijing Jicheng iko upande wa dongbeiwuhuan yiwai,ndani ya dongbeiliuhuan kwa hiyo mtu yoyote anayetokea huko lazima aione.maana unaingilia wuhuanqiao.
NDINDA, Gezaulole, kadoda11 huyu mkibera nimeshamfikisha kibla asiwasumbue tena NairobiWalker Ab-Titchaz, waltham lawmaina78

Checkmate.

uchangiangi wa hali duni kama huu huwa sihusiki kamwe.nahitaji point utu uzima.
 
Unataka na wewe nikufanyie nilichomfanyia ndugu yako Mekatilili? nyie watu hivi mbona mnajidhalilisha kiasi hiki?
swali moja rahisi kwako, unafahamu kitu gani cha msingi ring road zote za ukweli zina-share?
wewe nakupa siku 3, jifarague weee, then mwisho wa-siku nitatoa majibu. nina imani kama hujawahi kutoka nje ya EA, huu ni mtihani mzito. ni sawasawa na kumuuliza mzaramo wa kisarawe ukitoka Heathrow terminal 3 first round-about baada ya tunnel kuna nini?hata awange google miaka 10 hawezi kupata jibu.

countdown begins now...,kazi kwako kujiumbua.

I can't waste my time explaining anything about roads to someone who doesn't understand what a road structure is and thinks what determines whether a road is a ring road or not is it's structure. That's like trying to teach a kindergarten teacher nuclear science. Give me a break.
 
u have 3 days, name the single most basic feature, or forever hold your peace. 3 days..,name it or bust.no ubabishaji sasa, lets call a spade a spade.tumechoka ubabaishaji wenu na maneno mengi.
 
Unataka na wewe nikufanyie nilichomfanyia ndugu yako Mekatilili? nyie watu hivi mbona mnajidhalilisha kiasi hiki?
swali moja rahisi kwako, unafahamu kitu gani cha msingi ring road zote za ukweli zina-share?
wewe nakupa siku 3, jifarague weee, then mwisho wa-siku nitatoa majibu. nina imani kama hujawahi kutoka nje ya EA, huu ni mtihani mzito. ni sawasawa na kumuuliza mzaramo wa kisarawe ukitoka Heathrow terminal 3 first round-about baada ya tunnel kuna nini?hata awange google miaka 10 hawezi kupata jibu.

countdown begins now...,kazi kwako kujiumbua.

Are you afraid of addressing me? I have provided evidence to the effect that the fifth ring road is officially known as the S50, in maps, GPS systems and even signage. You claimed that Chinese highways are not numbered, I have provided pictures with the numbering system. Show us the evidence to the contrary! Nairobiwalker has humbled you and you are now afraid of addressing me. Come on Kimwere show the evidence to the contrary. You are trying to save face, show the evidence!

14228516111_7d44fcb97e.jpg

14231843845_8edb41f785.jpg

empty-road-in-china.jpg

Nairobiwalker has already
 
u have 3 days, name the single most basic feature, or forever hold your peace. 3 days..,name it or bust.no ubabishaji sasa, lets call a spade a spade.tumechoka ubabaishaji wenu na maneno mengi.

If someone who thinks the brake pedal of a car is used to accelerate a car asked you to explain to them how to start a car to prove that you can drive, would you explain to them? Explaining to you anything about roads ni Kama kupigia mbuzi guitar - you're blank on this topic and I would rather you stop discussing it to save yourself from embarrassment.
 
Are you afraid of addressing me? I have provided evidence to the effect that the fifth ring road is officially known as the S50, in maps, GPS systems and even signage. You claimed that Chinese highways are not numbered, I have provided pictures with the numbering system. Show us the evidence to the contrary! Nairobiwalker has humbled you and you are now afraid of addressing me. Come on Kimwere show the evidence to the contrary. You are trying to save face, show the evidence!
Nairobiwalker has already

Nimeandika hapo juu, nimeandika in chinese, suprisingly umesoma semester mbili hujaambulia hata kimoja!!lol.,hizi lugha za watu mzione hivi hivi tu. kidume unaweza kumwaga chozi mbele ya watu.

Nishakuwambia hakuna picha hata moja ya GPS uliyoweka ambayo iko from within china. hizo ni results umesearch wewe Mekatilili hapo kibera, ulichokiandika sicho anachokiandika mtu aliyekuwepo Beijing, kama hukubali hiki basi wewe ni helpless liar.Hakuna mchina nayesearch kitu chochote Beijing akaandika kwa kiingereza. Hakuna mchina anayeaga nyumbani kwake xizhimen akasema naenda huilongguan nitapitia S50, hakuna.

Nilikuachia siku 2 umeshindwa kitu rahisi kama hivho wewe hujawahi ishi beijing bwana, kwani kuna tatizo gani ukikubali yaishe?kwanini unataka uendelee kudhalilika na kung'ang'ania vitu visivyo na sababu za msingi?
 
Last edited by a moderator:
If someone who thinks the brake pedal of a car is used to accelerate a car asked you to explain to them how to start a car to prove that you can drive, would you explain to them? Explaining to you anything about roads ni Kama kupigia mbuzi guitar - you're blank on this topic and I would rather you stop discussing it to save yourself from embarrassment.

dude, time is running out, 3 days..,ring road, is this week homework for you.google hadi upewe nishani.
 
I can assure you the guy will never produce any proof, apart from using Google maps and images, to show that he has been "driving" in Beijing as he claimed in one of his posts earlier on!
 
dude, time is running out, 3 days..,ring road, is this week homework for you.google hadi upewe nishani.

Go learn what the structure of a road is first then come back to me so that I can teach you what a ring road is then I'll give you time to ask me (your teacher) questions.
 
Nimeandika hapo juu, nimeandika in chinese, suprisingly umesoma semester mbili hujaambulia hata kimoja!!lol.,hizi lugha za watu mzione hivi hivi tu. kidume unaweza kumwaga chozi mbele ya watu.

Nishakuwambia hakuna picha hata moja ya GPS uliyoweka ambayo iko from within china. hizo ni results umesearch wewe Mekatilili hapo kibera, ulichokiandika sicho anachokiandika mtu aliyekuwepo Beijing, kama hukubali hiki basi wewe ni helpless liar.Hakuna mchina nayesearch kitu chochote Beijing akaandika kwa kiingereza. Hakuna mchina anayeaga nyumbani kwake xizhimen akasema naenda huilongguan nitapitia S50, hakuna.

Nilikuachia siku 2 umeshindwa kitu rahisi kama hivho wewe hujawahi ishi beijing bwana, kwani kuna tatizo gani ukikubali yaishe?kwanini unataka uendelee kudhalilika na kung'ang'ania vitu visivyo na sababu za msingi?

First, let me inform you that "Chinese" is not a language. If Beijing was your second home then you would know that simple fact. It is akin to saying Americans speak American or Tanzanians speak Tanzanian. Second, I do not speak, Mandarin, the predominant dialect, and if you have attended any university then you would know the nature of a study abroad program and not make those ridiculous assumptions.

Now you are claiming to know the conversations of all 12 million residents of Beijing and you assume that all of them speak Chinese. You are trying to evade the fact that you are wrong!

Again, show us the evidence! I have provided maps, GPS directions and they all refer to the fifth ring road as the S50. Show us evidence to the contrary! If you do not have evidence, eat the humble pie and stop messing up this thread!

You talk, but you have nothing to back your talk! Evidence please.

14231843845_8edb41f785.jpg

First, let me inform you that "Chinese" is not a language...

Now you are claiming to know the conversations of all 12 million residents of Beijing and you assume that all of them speak Chinese...
Aren't you contradicting yourself here?
 
Aren't you contradicting yourself here?

kijana wa kibera amekamatika vibaya sana leo.anatapatapa kisa kutaja barabara moja tu, unajua kukamata uongo watu kama hawa watajie vitu ambavyo una uhakika google havipatikani kiurahisi.

sasa kwa china wala sipati shida kwani najua hakuna sehemu kingereza kinatumika na wachina wenyewe zaidi ya hawa watumia google.
 
First, let me inform you that "Chinese" is not a language. If Beijing was your second home then you would know that simple fact. It is akin to saying Americans speak American or Tanzanians speak Tanzanian. Second, I do not speak, Mandarin, the predominant dialect, and if you have attended any university then you would know the nature of a study abroad program and not make those ridiculous assumptions.

Now you are claiming to know the conversations of all 12 million residents of Beijing and you assume that all of them speak Chinese. You are trying to evade the fact that you are wrong!

Again, show us the evidence! I have provided maps, GPS directions and they all refer to the fifth ring road as the S50. Show us evidence to the contrary! If you do not have evidence, eat the humble pie and stop messing up this thread!

You talk, but you have nothing to back your talk! Evidence please.

14231843845_8edb41f785.jpg

Those GPS direction zinazidi kukuumbua zaidi, uko KENYA hivyo utapewa version ambayo mchina wa kawaida haitumii akiwa beijing.Kumbuka claim yako ni kuishi beijing kwa semester 2. Study abroad program my ***. sasa ulienda kusoma nini kama hata neno la herufi mbili hulijui. nimetoa clue nyingi sana kwenye post zangu kwa kutumia kichina ila kwa kuwa hujawahi kufika kule, let alone kusoma hata nusu saa, ndio maana umeambulia kutupu.

wewe kimeo nilichoandika hapo rearding Tanzanian speaking Tanznaian and chinese not speaking chinese is the worst gibberish i have read in a very long time. YOU do realise Chinese ni direct translation ya 中文 which is derived from 中国- China? Notice the character 中, yeah right, the middle kingdom, the central kingdom, that's how chinese refer to their country, and Chinese- 中文, is simply a language 文 ,spoken in the middle kingdom.Ndugu hiki ni kina kirefu, i can tutor you all day long regarding these things, sema u arent worth it, kwa kuwa ni mbishi, mjeuri, muongo na unajifanya mjuaji-worst properties of a student.
naomba uchukue uchukue simu yako ubadilishe lugha, je itakuja mandarin au itakuja Chinese?najua nakukeep busy vya kutosha na google kujaribu kupata vijiinformation vya kukufanya usionekane muongo. You wont have this one dude. umeingia choo cha kike.
So, these days sppanish inaitwaje?catalunian?na italian inaitwaje?roman language?stupid as stupid comes.sio kwa kuwa American English is generally refered to as english basi ujumuishe hivyo kwa lugha zote.
you do realise kuwa mandarin is simply how non chinese refer to chinese spoken within china as opposed to chinese spoken in HK or Taiwan?you do realise that mchina wa kawaida, anarefer mandarin kama 普通话-putonghua, meaning standard dielect. you do realise kuwa standard dielect does not affect how wuhuan is written?
i can go on and on to explain the innard of chinese as a language, but you are not worth it, as by the looks of it, you will only abuse the priviledge.

Ndugu, Google can not replace the actual experience of living somewhere, same way flight simulator doesn't make a real pilot.you have to have hands on experience.
I can talk about Beijing and China all day and you wont find shit about that in google, kimeo we.
U keep asking for evidence, wakati nimeshakutajia kila kitu in Chinese, sasa ulitaka mie nikufundishe jinsi ya kusoma Chinese?i even made things easy for you by simply typing in pinyin lakini huelewi. what use of providing chinese proof if you can't read it?those S50 Beijing -google querries you made on google can be made by anyone,from anywhere in the world. they do not prove that that's how a chinese calls the road.Nimekutajia jina lake the way all Beijingren calls it, ila unajiafanya Chizi. And that name is not a secret, it's a very standard name, actually the only name for that road.same way kila mdaslam anaita morogoror road -na sio A2.

Looks like the only China you have been to is a Nairobi China Town.
 
This guy needs to see a doctor on a serious note. Dude claims that it's the structure of a road that determines whether its a ring road or not. And you know what this means? It means for instance if a road with a surface course thickness of 100mm is upgraded to 150mm, it becomes a ring road. Lol, it's so hilarious when someone who doesn't know anything starts arguing with people who actually have good knowledge on things but comes in with the attitude that he knows everything and nobody else knows anything.
A ring must cycle a city end of story! be it a road or a railway network! That Thika highway is not a ring!
 
Those GPS direction zinazidi kukuumbua zaidi, uko KENYA hivyo utapewa version ambayo mchina wa kawaida haitumii akiwa beijing.Kumbuka claim yako ni kuishi beijing kwa semester 2. Study abroad program my ***. sasa ulienda kusoma nini kama hata neno la herufi mbili hulijui. nimetoa clue nyingi sana kwenye post zangu kwa kutumia kichina ila kwa kuwa hujawahi kufika kule, let alone kusoma hata nusu saa, ndio maana umeambulia kutupu.

As expected, you have resorted to name calling. That is your go to defense when cornered!

If you did not know that Chinese is not a language then you really do have a bigger issues to worry about! Please post your evidence and stop talking. You are all talk, no show! Where is your evidence? I am still on the S50 issue. Evidence please.

Evidence please.
 
mkuu Kimweri mi niko hapa tangu majuzi nakusoma kwa "utuvu" mwingi sana unavyo pangua uongo wa huyu mjuaji Mekatilili anaye kana kuwa yeye si mkenya lakini anatumia ID yenye asili ya mombasa toka ktk kabila la wagiriama.nataka nimtahadharishe huyu "manzi" wake NairobiWalker awe mpole wakati dozi inamuingia barabara huyo "boy" wake.hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom