Kenyan & Tanzanian Surburbs

Kenyan & Tanzanian Surburbs

A ring must cycle a city end of story! be it a road or a railway network! That Thika highway is not a ring!

And where's this one coming from now? LAWD, some guys here can say anything provided it's anti-kenyan. Dude, no one said Thika road is a ring road, can you read English?
 
As expected, you have resorted to name calling. That is your go to defense when cornered!

If you did not know that Chinese is not a language then you really do have a bigger issues to worry about! Please post your evidence and stop talking. You are all talk, no show! Where is your evidence? I am still on the S50 issue. Evidence please.

Evidence please.

The idiot's run away. He always has no evidence to the bullshit he says.
 
kijana wa kibera amekamatika vibaya sana leo.anatapatapa kisa kutaja barabara moja tu, unajua kukamata uongo watu kama hawa watajie vitu ambavyo una uhakika google havipatikani kiurahisi.

sasa kwa china wala sipati shida kwani najua hakuna sehemu kingereza kinatumika na wachina wenyewe zaidi ya hawa watumia google.

Unlike you, we don't depend on Google. We post photos and explain meanings of words we don't understand. We even go professional and explain to you in depth about roads and other infrastructure.
 
uchangiangi wa hali duni kama huu huwa sihusiki kamwe.nahitaji point utu uzima.

we mkamba tuliza mpira wanaume wanapo ongea.nakushauri ubaki kuwa mtazamaji wa kawaida ktk huu "mnakasha".othorwise utapata aibu.
 
hahahaha.....hawatoki hawa round hii.

Yaani nimekaa kimya hapa na kusoma jamaa wenu anavyo tapatapa akitafuta pakutokea lakini wapi. Jamaa wamembana na facts za kiajabu pamoja na hata picha, hata Geza kajaribu kuonyesha pua lake na kupewa kibao cha uso, Wabongo msalimu amri, tutawaelewa tu.
 
mkuu Kimweri mi niko hapa tangu majuzi nakusoma kwa "utuvu" mwingi sana unavyo pangua uongo wa huyu mjuaji Mekatilili anaye kana kuwa yeye si mkenya lakini anatumia ID yenye asili ya mombasa toka ktk kabila la wagiriama.nataka nimtahadharishe huyu "manzi" wake NairobiWalker awe mpole wakati dozi inamuingia barabara huyo "boy" wake.hahaha

Infantile and your barbs are mildly interesting.

Your friend
Kimweri is in hiding because he has been lying all along. You folks talk all day but provide no evidence to back your talk.

hahahaha.....hawatoki hawa round hii.
Wamebaki kuporomosha mijitusi na kiingereza chao uchwara. Oh sijui tumeendesha gari Beijing wakati tukiwa wanafunzi. Mara eti hatutumii Google kutafuta ushahidi, n.k. Jamaa hata aibu hawana. Kila kukicha wanaumbuka kwa kujifanya wajuaji, wakati hamna lolote walijualo!
 
we mkamba tuliza mpira wanaume wanapo ongea.nakushauri ubaki kuwa mtazamaji wa kawaida ktk huu "mnakasha".othorwise utapata aibu.

the usual yapping from you.siwezi poteza muda wangu na wewe.running away .can you take au 2 cent ideas herefrom real issues in tz to bring ya childish xenophobic uncouth ideas abt kenya
mabalozi+px.png

[h=1]Mabalozi 12 EU wamlima Pinda barua kuhusu albino[/h]
Dar es Salaam. Mabalozi 12 wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini wamemtumia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda barua ya wazi wakimtaka kuchukua hatua stahiki kwa watu waliofanya mauaji ya albino wilayani Bariadi, mkoani Simiyu.

"Tumesikitishwa na mauaji ya kikatili ya albino Munghu Lugata yaliyotokea Mei 12, 2014 wilayani Bariadi," ilieleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mabalozi 12 wa nchi wanachama wa EU Tanzania, wakiongozwa na Balozi wa Umoja huo nchini, Filiberto Sebregondi.

Mabalozi wengine waliosaini barua hiyo ni Dianna Melrose wa Uingereza, Koenraad Adam wa Ubeligiji, Johnny Flento wa Denmark, Sinikka Antila wa Finland, Marcel Escure wa Ufaransa, Fionnuala Gilsenan wa Ireland, Luigi Scotto wa Italia, Jaap Frederiks wa Uholanzi, Luis Manuel Cuesta Civis wa Uhispania, Lennarth Hjelmaker wa Sweden na Kaimu Balozi wa Ujerumani, Hans Koeppel.

Katika tukio hilo linalohusishwa na ushirikina, watu wasiofahamika walimuua Lugata na mwili wake ulikutwa nje ya nyumba yake ukiwa umejeruhiwa vibaya.

Barua hiyo ilisema kuwa Pinda amekuwa mstari wa mbele kupambana na vitendo hivyo, bila shaka atahamasisha mamlaka za chini yake kuchukua hatua za kisheria.

"Tunakuomba kwa mara nyingine kuhamasisha mamlaka zako kutokomeza vitendo hivi vya kikatili kwa kuhakikisha havijirudii tena na kufanya uchunguzi makini na kuwafungulia mashtaka wale wote waliohusika," ilisema.

Kwa mujibu wa barua hiyo, Lugata ni albino wa 73 kuuawa nchini tangu mwaka 2000 na wa kwanza kwa mwaka 2014.

Katika barua hiyo ambayo pia ilithibitishwa na Mkuu wa Idara ya Siasa, Habari na Mawasiliano ya EU, Tom Vens, mabalozi hao 12 wanafahamu fika kuwa waganga wawili wa jadi wanahusika katika mauaji hayo.

Wakati huohuo; Ubalozi wa Uingereza nchini umezungumzia suala la uchunguzi wa uchotaji wa zaidi ya Sh200 bilioni katika Akaunti ya Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ukisisitiza kuwa suala hilo lishughulikiwe ipasavyo na wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria.

Pia ubalozi huo umekanusha madai ya balozi wake nchini kuhusika katika mkakati wa kujaribu kukwamisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.

Taarifa ya ubalozi huo iliyotolewa jana, ilieleza kwamba unafuatilia kwa karibu kuhusu taarifa za ubadhirifu uliofanywa kupitia Kampuni ya IPTL, ikihusisha Akaunti ya Escrow na BoT, lakini hauna sababu ya kuingilia kukwamisha bajeti ya Wizara ya Madini kama ilivyotajwa na baadhi ya vyombo vya habari.
 
Unlike you, we don't depend on Google. We post photos and explain meanings of words we don't understand. We even go professional and explain to you in depth about roads and other infrastructure.

Says the guys who searched "S50 Beijing" on Google from a Kenyan Location, guess what, google sold you out, by revealing the fact that you aren't in china, and all those querries were made outside china. So you pretty much depended on china, So much for not using Google huh! You should alert Mekatilili before taking a stand.

mie niliwaambia mapema, mnaingia choo cha kike hiki mkaleta ujanja ujanja wenu wa kibera. mwambie Mekatilili, unaonaje tukashift thread to chinese kabisa?ili tuone nani kakaa semester 2 China?i guess u don't even efn know how to switch your damn laptop to Chinese Typeface.
bwana Mekatilili ameulizwa swali moja rahisi sana, hiyo S50 haiitwi hivyo na wachina, sasa kwa kuwa wewe ulikuwa Beijing kwa mwaka mzima, na umeendesha gari kwenye hiyo barabara inaitwaje?oooh, google vimeenda vimeshuka.
all he neede to say, unajua hii barabara locally inaitwa wuhuan, Plain and simple. the more alivyojifanya mjuaji, ndio the more nilivyozidi kumuumbua. na nilimuache atapetape kwa kuwa nilijua vitu local kama hivyo huwezi kuvipata google kama hujui kichina, au kama hujawahi kuishi beijing. Yani huyu tapeli Mekatilili hata kama angewahi ishi hunan huko hata kwa mwezi mmoja tu, ingetosha kujua nini cha kufanya kupata hilo jina. HAJAWAHI. jamani hizi lugha za watu sio za kuziletea usanii, huchelewi kugeuka kama yule tapeli wa msiba wa mandela. kujifanya anajua sign language kumbe famba mwanzo mwisho.
Mekatilili 和 NairobiWalker 如果你不会说中文,就不会没办法骗别人!!(ruguo ni buhui shuo zhongwen jiu buhui, meibanfe pianbieren)
 
Your friend [/FONT]Kimweri is in hiding because he has been lying all along. You folks talk all day but provide no evidence to back your talk.

Kimweri will be back soon.
actually we've a lot of things to do outta jf.unlike you smart-asses ,you've been spending most of your safaricom bundles in jf and google finding anything negative that disses tanzania.btw pass my regard to your girlfreind NairobiWalker
 
Last edited by a moderator:
Wamebaki kuporomosha mijitusi na kiingereza chao uchwara. Oh sijui tumeendesha gari Beijing wakati tukiwa wanafunzi. Mara eti hatutumii Google kutafuta ushahidi, n.k. Jamaa hata aibu hawana. Kila kukicha wanaumbuka kwa kujifanya wajuaji, wakati hamna lolote walijualo!
Ukiandika kwa Kiswahili naona huogopi, unajishaua sana, yaani unajaribu mistari kadhaa, kingereza tu ndio tatizo, huwa hata paragraph huwezijimudu. Halafu hata Kiswahili, naona una matatizo na "alama ya kituo", ama punctuation mark.
 
hahahaaa!
 
Says the guys who searched "S50 Beijing" on Google from a Kenyan Location, guess what, google sold you out, by revealing the fact that you aren't in china, and all those querries were made outside china. So you pretty much depended on china, So much for not using Google huh! You should alert Mekatilili before taking a stand.

mie niliwaambia mapema, mnaingia choo cha kike hiki mkaleta ujanja ujanja wenu wa kibera. mwambie Mekatilili, unaonaje tukashift thread to chinese kabisa?ili tuone nani kakaa semester 2 China?i guess u don't even efn know how to switch your damn laptop to Chinese Typeface.
bwana Mekatilili ameulizwa swali moja rahisi sana, hiyo S50 haiitwi hivyo na wachina, sasa kwa kuwa wewe ulikuwa Beijing kwa mwaka mzima, na umeendesha gari kwenye hiyo barabara inaitwaje?oooh, google vimeenda vimeshuka.
all he neede to say, unajua hii barabara locally inaitwa wuhuan, Plain and simple. the more alivyojifanya mjuaji, ndio the more nilivyozidi kumuumbua. na nilimuache atapetape kwa kuwa nilijua vitu local kama hivyo huwezi kuvipata google kama hujui kichina, au kama hujawahi kuishi beijing. Yani huyu tapeli Mekatilili hata kama angewahi ishi hunan huko hata kwa mwezi mmoja tu, ingetosha kujua nini cha kufanya kupata hilo jina. HAJAWAHI. jamani hizi lugha za watu sio za kuziletea usanii, huchelewi kugeuka kama yule tapeli wa msiba wa mandela. kujifanya anajua sign language kumbe famba mwanzo mwisho.
Mekatilili 和 NairobiWalker 如果你不会说中文,就不会没办法骗别人!!(ruguo ni buhui shuo zhongwen jiu buhui, meibanfe pianbieren)

hahaha this is DOPE as f*ck .i'm proud of you man.keep pounding them hard.
 
1. I haven't said anything about S50. This post is the first that am writing the word S50 in it in this thread. You keep dragging all discussions into this S50 thing yet Mekatilili already handed your ass to yourself on the matter already. You're the biggest liar yet keep calling other people liars. Stop embarrassing yourself more retard.

2. The discussion was about ring roads, I got you so locked up when I exposed your stupidity and complete lack of knowledge on ring roads that's why you keep on bringing up unnecessary off topic stuff with Chinese characters in an attempt to impress people. We are not impressed. You already proved to everyone that you're dumb, typing in Chinese characters doesn't make you any smarter.

Stop being pathetic already.
 
Kimweri will be back soon.
actually we've a lot of things to do outta jf.unlike you smart-asses ,you've been spending most of your safaricom bundles in jf and google finding anything negative that disses tanzania.btw pass my regard to your girlfreind NairobiWalker

Stop including yourself in it buddy. You haven't posted anything related to this topic just stop using that 'we'. You clearly don't have anything to contribute other than being Kimweri's sycophant. Peace
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimekaa kimya hapa na kusoma jamaa wenu anavyo tapatapa akitafuta pakutokea lakini wapi. Jamaa wamembana na facts za kiajabu pamoja na hata picha, hata Geza kajaribu kuonyesha pua lake na kupewa kibao cha uso, Wabongo msalimu amri, tutawaelewa tu.

Alitakiwa amshukuru Gezaulole kwa kumsaidia kujibu,la sivyo angekuwa bado yuko field work google. In short, a ring road is just that a RING. it's not even that hard to comprehend, taking a semi circle and calling it a ring is insult to mathematicians.
Additionally one vital feature of a Ring road is it lacking a starting or ending point causing it to form an infinite loop, that is to say, if you entered a ring road, and decided to go nuts by driving forward without exiting, you would come back to the location where you entered without meeting a traffic light or an intersection in between. all intersections in ring roads are positioned at exits, in beijing they call these Qiao (&#26725😉. so if you were from the airport, and heading towards center of the city you would first enter wuhuanlu, through wuhuanqiao (五环桥 ) , sasa kama wewe umetokea Kenya halafu ndio mara yako ya kwanza kuingia humo, hujui kuwa unatakiwa u-exit, ukidrive continuously after 90 damn kilometers unajikuta umerudi palepale.unaona mchezo ulivyo?

sasa hawa vimbulukutu wanatuletea vichochoro vyao vya nairobi sijui Kilimani ring road, kibera ring road, ilimradi ttu kuna mnywa chang'aa kaamka nazo kichwani, anataka sifa za kijinga na kubandika majina hovyo. kuna vipicha vya hiyo sijui kilimani Ring road, kaitizameni kwenye thread yao ya Kenyan highways etc etc,yani ni vichekesho vitupu, ushaona wapi ring road ina Zebra sign?phew. you guys are beyond pathetic

Yani hakuna tofauti na kukuta daladalal imeandikwa Emirates, au gesti bubu tandika imeandikwa Sheraton hotel.

ndugu, fact zenu za kutegemea Google sio kila sehemu zinafanya kazi, muulizeni yule tapeli wa mazishi ya Mandela, alijua akirusha mikono hovyo ndio ameongea sign language, ndio mnakifanya nyie hapa.
cc kadoda11, NDINDA, Askari Kanzu
 
Last edited by a moderator:
the usual yapping from you.siwezi poteza muda wangu na wewe.running away .

scaredy-cat ,you can run away from me,but you cant run way from the shabaab's vanquish.round hii mtapata kichapo mpaka mchanganyikiwe.hahahaha
 
1. I haven't said anything about S50. This post is the first that am writing the word S50 in it in this thread. You keep dragging all discussions into this S50 thing yet Mekatilili already handed your ass to yourself on the matter already. You're the biggest liar yet keep calling other people liars. Stop embarrassing yourself more retard.
2. The discussion was about ring roads, I got you so locked up when I exposed your stupidity and complete lack of knowledge on ring roads that's why you keep on bringing up unnecessary off topic stuff with Chinese characters in an attempt to impress people. We are not impressed. You already proved to everyone that you're dumb, typing in Chinese characters doesn't make you any smarter.
Stop being pathetic already.

don't be scare by Hanzi, yeah no one in china calls their written language Chinese charaters. U didn't know that, as google can't tell you that, unless you ask nicely.lol
i said guys, for you including S50 in your reply without knowing shit regarding the context and for your boy Mekatilili for assuming posting random pictures of Chinese highways answers the simple question of the damn name of the road as called by anyone in Beijing. If you can find login button in JF you sure as hell know your friend Mekatilili is out of his depth, yani lada mrudi kuweka picha za neighbourhod za mabosi zenu, otherwise hii level mnayotaka kujileta sio size yenu, ni energy level ya juu sana kwenye, impossible to stay in it stably.
 
Back
Top Bottom