Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,835
- 4,464
Udom , Hazina ndogo na jengo la LAPF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whaaaaat?!!!!! Did you say Tibaijuka? Stooop it.i guess mama tibaijuka did a very great job for kenya!!
Yap...Tibaijuka kipindi yuko UN HABITATWhaaaaat?!!!!! Did you say Tibaijuka? Stooop it.
Hapo sindio wameshoot video ya Sauti Soul ft Kiba" Salute.
English point marina, Mombasa county
..![]()
Huwezi linganisha dar na Mombasa hata roboMombasa na Dar Tofauti!!!!
Dar iko Juuu zaidi!
Mombasa labda walichotuzidi ni tuk tuk na probox lakini hakuna mpyaHuwezi linganisha dar na Mombasa hata robo
Dar inabadilika bwana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Daraja la kigamboni limekwisha![]()
Niupumbavu kulinganisha dar Na Mombasa
Tatizo Watanzania hatupendi sifa za kipumbavu
Mombasa tuna kwenda kila mwaka hakuna lolote
Toll gates at kigamboni bridgeMOTOCHINI lakini MSA has more dollar millionaires than Dar
Good but we want to see the suburbs ama kweli kizungu ni noma??????Toll gates at kigamboni bridge![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Serikali ya Nigeria walikuja kujifunza na kujionea Daraja la kigamboni
Nahapo lilikuwa bado kukamilika![]()
![]()
![]()
Nyie endeleeni kutudharau
Tupo kimyakimya
Kila kitu tunacho
Kilicho salia kwetu ni kuamua
Na kwa sasa tumeamua
Kizungu ndio niniGood but we want to see the suburbs ama kweli kizungu ni noma??????
English you twat!Kizungu ndio nini
Limbukeni wewe!!
Ewe Ostadh kubali tu English umekupiga chenga...Kizungu ndio nini
Limbukeni wewe!!