kadoda11 mtazame na huyu Engineer mwengine anavyoumbuka.
Sipendi kudharau watu , na mara chache sana nitaongea kuhusu qualifications zangu au uwezo wangu binafsi, ila umefika sasa wakati wa ku-eliminate noise from useful signal.
Its been many years since i have gone through this path,but i take it whenever necessary.
Sasa ndungu @
NairobiWalker Ili nijue naongea na Engineer Genuine na sio Kishoka, au faker and wannabe, kindly provide me with a simple screenshot of the page after you click on Book Online. Mind you only registered Engineers with the IET can go through that page, if you are a non member all you would get is the request for Logging in, and guess what, you would need 4 good years of Engineering Education from a Qualified Engineering School.
Security of Communications in Road Transport Seminar - IET Conferences
au kama hiyo itakuwa kazi sana, naomba unitajie ticket ya mtu mmoja Individual IIA na ya watu 12. (kama utachagua option hii, naomba unitajie sehemu ya event information kuna vipengele vingapi.na kipengele cha mwisho kinahusu nini( hakipo kwenye downloaded form, ila kipo kwenye online form behind membership paywall)
If you are not even the IET member then we are really not in the same league,and i would suggest you deal with your fellow mafundi mchundo hapo Kibera. Maana nitakuwa napoteza muda na wewe, kama utaweza hii simple test then karibu London next month, i will pay for you the fee, since you are a road expert the theme on this conference will suit your ante.
Ndugu zangu watanzania
NDINDA Gezaulole Askari Kanzu na wengine, hawa wapiga kelele wasiwasumbue kabisa, hamna kitu humu.
*angalizo, kwa kuwa nimechoka kuumbua watu humu ndani, tafadhali usichukue bei za kwenye download form,kwani sio nilizouliza, na nilizouliza kwenye form hazipo.
Karibuni mmuone Injinia wenu wa vichochoroni
Mekatilili,
waltham,
lawmaina78