manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,320
Mkuu si unaona wapo wawili hao. Lazima walibebeshana hao. Ila hawa wadada kiboko, nawapa saluteSasa hapo inashangaza alijifungaje huo mzigo wote bila hata kuonekana, maana huo mzigo jinsi ulivyofungwa atakuwa alitumia mda kidogo! Au alishirikiana na mwenzake...?!!