Kenyan woman caught stealing meat in South Africa

Kenyan woman caught stealing meat in South Africa

Sasa hapo inashangaza alijifungaje huo mzigo wote bila hata kuonekana, maana huo mzigo jinsi ulivyofungwa atakuwa alitumia mda kidogo! Au alishirikiana na mwenzake...?!!
Mkuu si unaona wapo wawili hao. Lazima walibebeshana hao. Ila hawa wadada kiboko, nawapa salute
 
kuna watanzania zaidi ya 100 wameshikwa kenya tangu 2012, kila baada ya miezi miwili wengine wanashikwa, lakini haujawai ona mkenya anapoint finger kwa watz, na hii ni serious kuliko mwizi wa handbag au simu

http://allafrica.com/stories/201504050343.html

Two Tanzanian terror suspects arrested at Migori border - Capital News

Kenya arrests Tanzanians in terror dragnet

Tanzanians arrested in anti-terror operation

View attachment 367713

THESE WOMEN ARE BRAVE!
THEY ARE THE GO GETTAS.

Hizi ni habari za mwaka uliopita! 2015. Mnazileta sahii ili muendelee na campaign yenu ya propaganda didhi ya kenya... mmekosa kazi
 
The worst thing about this incident is that the women were not Kenyan but because we have sites in Kenya that perpetually want to validate the stereotypes that some communities are thieves, the thieves had to be Kenyan
 
kuna watanzania zaidi ya 100 wameshikwa kenya tangu 2012, kila baada ya miezi miwili wengine wanashikwa, lakini haujawai ona mkenya anapoint finger kwa watz, na hii ni serious kuliko mwizi wa handbag au simu

http://allafrica.com/stories/201504050343.html

Two Tanzanian terror suspects arrested at Migori border - Capital News

Kenya arrests Tanzanians in terror dragnet

Tanzanians arrested in anti-terror operation

Hizi ni habari za mwaka uliopita! 2015. Mnazileta sahii ili muendelee na campaign yenu ya propaganda didhi ya kenya... mmekosa kazi

Chief, you can't reason with fools, there are deliberate attempts to paint Kenyans as thieves/ liars by some folks in these forums and Tanzania in general. There has been a xenophobic drive especially against us since Magufuli took power, people are being riled, and eventually something sinister will be done targeting Kenyans in Dar (MARK MY WORDS). He who wants his dog killed has only to say he's mad. If y'all fruits think you can dish it to us and we stay down, you got us twisted, keep up with what you are doing and we see how it all unfolds.
 
Endeleeni kusema, choko zenyu mmezihamishia toka Rwanda mnaziileta Kenya!
Mtavuna mnalopanda tu!.....with time!
What goes around must surely come around!

Hata ninyi mnavuna mlichopanda!
What goes around comes around.
Miroho mibayaaaaaa!
 
YES BUT NONE OF THEM WERE WOMEN!
Your female terrorists were also caught the other day!....mlikoroge kabisa!.mtalinywa wenyewe!
Mnafikiri Kenya ni Malawi ?......mtaziona roho zetu mbaya mnazoshinda mkizisema mitandaoni!
 
Your female terrorists were also caught the other day!....mlikoroge kabisa!.mtalinywa wenyewe!
Mnafikiri Kenya ni Malawi ?......mtaziona roho zetu mbaya mnazoshinda mkizisema mitandaoni!

Puuuff!
Who fears the Kenyan army?
When was the last time you actually won a war?
 
Your female terrorists were also caught the other day!....mlikoroge kabisa!.mtalinywa wenyewe!
Mnafikiri Kenya ni Malawi ?......mtaziona roho zetu mbaya mnazoshinda mkizisema mitandaoni!
Tehe tehe tehe!
Povu lakutoka madam!!!
Unadhani utafanya nini labda??
 
Kenya hatari.. Mugabe hana hamu nao.

Hii dunia nani ana hamu na Mugabe isipokua nyie wadanganyika? a senile cleptocrat clinging to power after his time was up 40 years back, fuatilia movement ya THIS FLAG uone wananchi wake walivyomchoka na wewe unakalia hapa uki quote non existing speech zake.
 
Tehe tehe tehe!
Povu lakutoka madam!!!
Unadhani utafanya nini labda??

Si msumbue wa Kenya hapo Dar kisha mweke mitandaoni ndio mtajua roho zetu mbaya zita fanyaje.. Nyie ndio mnaanza kutuchokoza, endeleeni kabisa wala msipunguze, kisha tuone mambo yatakavyoenda. This is not a threat ama kujipiga kifua, jaribuni tu japo kidogo nawaomba.
 
Endeleeni kusema, choko zenyu mmezihamishia toka Rwanda mnaziileta Kenya!
Mtavuna mnalopanda tu!.....with time!
What goes around must surely come around!
Sura mbaya wizi mnaongoza yaani nyie mnajulikana dunia nzima Kwa ukora
 
Endeleeni kusema, choko zenyu mmezihamishia toka Rwanda mnaziileta Kenya!
Mtavuna mnalopanda tu!.....with time!
What goes around must surely come around!
unahisi tutavuna nn mkuu?? ukweli ubaki kuwa ukweli mkitenda mema mtasifiwa ila mkitenda mabaya mtaambiwa tuu hata kama inawauma mbona mkisifiwa hamkatai?
 
Your female terrorists were also caught the other day!....mlikoroge kabisa!.mtalinywa wenyewe!
Mnafikiri Kenya ni Malawi ?......mtaziona roho zetu mbaya mnazoshinda mkizisema mitandaoni!
You cant beat even migambo wa kisomali at, the same time you're dreaming of beating JWTZ..... Ni ndoto za mchana nyang'auzs
 
Back
Top Bottom