Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanaochomwa moto kabisa?Hii ni kinyume kabisa na sheria za nchi, hapo amehukumiwa kabla hata ya kufikishwa mahakamani. Haijalishi ni raia wa nchi gani lakini kitendo hicho ni kinyume na sheria, kuchukua sheria mkononi. What if amesingiziwa?
Huyo jamaa hapo pembeni ni Askari Polisi naona alijishtukia akasogea pembeni...Haikuwa sahihi kumdhalilisha, wangempeleka polisi tu
Sioni makosa kumdhalilisha lakini kuhusisha taifa na wizi wa mmoja wao ni akili finyuHaikuwa sahihi kumdhalilisha, wangempeleka polisi tu
Hahahaha... Wenyewe wanapenda kujitangaza ata visivyo vyao... Tumewasaidia kujitangaza!ondoa shaka MkuuNaona hii safi
Japo itazua kelele hahaha
vp kuhusu wale ombaomba miliodai Watanzania na kuwatangaza kwenye media?Wow.............this is a new low from our Tanzanian brothers. Halafu wakifanyiwa unyama kule Afrika Kusini ni wao wa kwanza kulalamika.
Hawakuvalishwa mabango yaliyoandikwa 'Mimi Ni Omba Omba Kutoka Tanzania". Hiyo sii ustaarabu.vp kuhusu wale ombaomba miliodai Watanzania na kuwatangaza kwenye media?
ila waliwaweka kwenye main stream media na kuwatangaza nchi nzima yet hawakuonyesha a proof kwamba ni Watanzania! uache upumbavu wa Kinyang'au!Hawakuvalishwa mabango yaliyoandikwa 'Mimi Ni Omba Omba Kutoka Tanzania". Hiyo sii ustaarabu.
ila waliwaweka kwenye main stream media na kuwatangaza nchi nzima yet hawakuonyesha a proof kwamba ni Watanzania! uache upumbavu wa Kinyang'au!
Hate speech.Ngoja nione kenya watajibuje
Maana kwao wizi kawaida
Kuna mtu kasema wanapenda sana kujitangaza wanatangaza hata visivyo vya kwao so tumewasaidia kuwatangaza, kua pande zile wapo na wezi pia watalii waende wakajionee! Ahahahaha mbavu zangu.