Kenyan woman caught stealing paraded on the streets in Dar es Salaam

Kenyan woman caught stealing paraded on the streets in Dar es Salaam

Udhalilishaji huu na ni kinyume na haki za binadamu.... Mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kuhukumu na si hao..
 
Hii ni kinyume kabisa na sheria za nchi, hapo amehukumiwa kabla hata ya kufikishwa mahakamani. Haijalishi ni raia wa nchi gani lakini kitendo hicho ni kinyume na sheria, kuchukua sheria mkononi. What if amesingiziwa?
Na wanaochomwa moto kabisa?
 
Wizi ni asili ya mtu hauhusiani na Taifa, hii sijapenda kiukweli, hapakuwa na sababu kumfanyia hayo, wangempeleka polisi ilitosha,
 
Walofanya hivyo hawana akili ya kawaida. Kwani hapo mlimani city hamna polis?
 
Utabiri wa Mgabe unaendelea kutimia...wakenya sio wa kuwaamini hata kidogo
 
Hii sio sawa kabsa yan kila naongea na watanzania na akil za kishabiki
Zina gharim sana hili taifa
Aya mambo ya mwizi na kuusisha taifa wap na wap!
Watanzania wangap wanakamatwa na madawa ya kulevya china, brazil na nchi nying mbona awajapewa mabango?
Ya nchi.
WizI ni tabia ya mtu na sio taifa
Pathetic minds
Very much deppressed
 
Wow.............this is a new low from our Tanzanian brothers. Halafu wakifanyiwa unyama kule Afrika Kusini ni wao wa kwanza kulalamika.
vp kuhusu wale ombaomba miliodai Watanzania na kuwatangaza kwenye media?
 
Hawakuvalishwa mabango yaliyoandikwa 'Mimi Ni Omba Omba Kutoka Tanzania". Hiyo sii ustaarabu.
ila waliwaweka kwenye main stream media na kuwatangaza nchi nzima yet hawakuonyesha a proof kwamba ni Watanzania! uache upumbavu wa Kinyang'au!
 
ila waliwaweka kwenye main stream media na kuwatangaza nchi nzima yet hawakuonyesha a proof kwamba ni Watanzania! uache upumbavu wa Kinyang'au!

That was relevant to the news and those were real Tanzanians and there were so many of them. Again if you watched the news, the emphasis was not on the fact that they were Tanzanian like it is here.
 
Kuna kasema wanapenda sana kujitangaza wanatangaza hata visivyo vya kwao so tumewasaidia kuwatangaza, kua pande zile wapo na wezi pia watalii waende wakajionee! Ahahahaha mbavu zangu.
 
Hahahahah huyo yupo very lucky maana kaiba sehemu iliostaarabika, angejikuta kudokoa mitaa ile yenye raia waliopigika kisawasawa na wanaojua uchungu wa kutafuta maisha kwa mvua na jua it would be a different story by now.
Afterall wizi is an immoral and a very worst thing that any person can do hivyo sitetei hilo kwa namna yeyote ile,mwizi ni mwizi tu hata angekuwa mzungu kumfanya ajutie kosa lake ni pie!
 
Nyie wabongo this is too low for a proper comment. Jirekebisheni. Disgusting.
 
Back
Top Bottom