kenyans and their mistrusted hypocritical behavior

kenyans and their mistrusted hypocritical behavior

meanwhile[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_2019-01-11-20-29-16-345_com.twitter.android.jpeg
 
Khaligraph the OG. Nani kama yeye. Hatuwezi mfungia nyimbo kwa vitu za kipuuzi...............mtajua ni mazishi.
 
LOL sasa unamfundisha mtanzania maana ya kupiga miti? Hilo neno nimeanza kulisikia from the my beginning inaonekana Kenya limepata umaarufu recently

Miti maana yake kwa kiswahili cha kihuni ni trees (dicks)
Your beginning? Ilikuwa lini hiyo, ulipoamka leo asubuhi au?
 
Khaligraph the OG. Nani kama yeye. Hatuwezi mfungia nyimbo kwa vitu za kipuuzi...............mtajua ni mazishi.
kwa hili hata mimi naku-support.

i have no issues with the music that's performed by kenyan artists.

"nakuja kukupiga miti". [emoji16][emoji16]
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Screenshot_2019-01-11-20-53-01-503_com.twitter.android.jpeg
 
bila shaka mnakumbuka tukio la baraza la sanaa nchini tanzania(basata) kufungia wimbo wa nyegezi ulioimbwa na mwanamziki rayvanny ft diamond platnumz.

basata imewapiga marufuku diamond platnumz na rayvanny kutoimba wimbo wa nyegezi mahali popote pale wanapo tumbuiza kutokana mashahiri yake kutozingatia maadili.

baada ya siku chache, mamlaka ya kenya inayohusika na ku control maudhui ya kazi za sanaa ikatoa tamko la kuutambua wimbo huo na kudai kwamba mashahiri yake hayana shida yoyote.

kwa maana hiyo diamond platnumz na rayvanny wapo huru kuuimba kwenye majukwaa ya kenya kama walivofanya hivi karibuni kwenye tamasha lao sikukuu za mwisho wa mwaka.

jana mwanamziki wa kenya khaligraph jones ambaye binafsi huwa nakubali sana ngoma zake, alipost video fupi kwenye ukurasa wake wa instagram ikimuonyesha akimuimbia mtangazaji wa tv betty kyallo mashairi ya wimbo wake wa "nataka kukupiga miti".

wakenya walewale waliodai wimbo wa nyegezi hauna shida yoyote, wame react kwa hasira kumlaumu khaligraph jones kwamba mashahiri ya wimbo wake wa "nataka kukupiga miti" hayana maadili.
kwa kweli huu ni unafiki wa hali ya juu sana.

tafadhali wakenya, mwacheni khaligraph jones afanye kazi yake. mkiendelea kumsumbua, tutamshawi ahamie tanzania.
huwa hatushwindwi kitu.

na kwa kuonyesha jeuri, tutamkabidhi 100 hectares of land for free ili afanye investment yoyote ile atakayojisikia.

tunajua moja ya kero kubwa miongoni mwa wakenya ni ukosefu wa ardhi kutokana na ardhi kubwa kunyakuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara wachache.
View attachment 991903View attachment 991904

Wololo yaye. Hii ni uchafu gani sasa. Unawezaje linganisha hii wimbo iliyojaa tabia mbaya na wimbo wa Diamond ambayo haikuwa na uchafu mwingi. There is no hypocrisy, hii wimbo ni chafu, period. Shetani ashindwe, Riiswaaa, fukuza mapepo yote.
 
Shindwe Saitan. Hii ni uchafu gani sasa. Unawezaje linganisha hii wimbo iliyojaa tabia mbaya na wimbo wa Diamond ambayo haikuwa na uchafu mwingi. There is no hypocrisy, hii wimbo ni chafu, period. Shetani ashindwe, Riiswaaa, fukuza mapepo yote.
acha wivu...khaligraph is on fire bro.
 
Namtambua Khaligraph sana. My number one artist. Hiyo nyimbo iko sawa. Wanaopinga sikubaliani nao
 
Nyegezi is a name of a place. Yes or No?
yes..but even matiti is a name of place somewhere in western kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_2019-01-11-21-49-42-206_com.google.android.apps.maps.jpeg
 
yes..but even matiti is a name of place somewhere in western kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 992083
yes..but even matiti is a name of place somewhere in western kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 992083
ok, so wewe umeona matiti tu kwa huo wimbo na haujaangalia context iliyotumika.
so which song between the two is more explicit?
 
Back
Top Bottom