Kadoda11: sijui nikusaidie kujibu, huyu jamaa, shule yake kidogo mnook, so wewe umeona matiti tu kwa huo wimbo na haujaangalia context iliyotumika.
so which song between the two is more explicit?
Nini chafu kwa hio wimbo?kwa hiyo ile ya nyegezi ya wasafi iko sawa?
binafsi sina titizo na mashahiri ya wimbo,i'm ok with it.ok, so wewe umeona matiti tu kwa huo wimbo na haujaangalia context iliyotumika.
so which song between the two is more explicit?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kadoda11: sijui nikusaidie kujibu, huyu jamaa, shule yake kidogo mno
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna baadhi ya madem huvutiwa zaidi na wanaume wanao talk dirty.Betty Kyalo amefurahi sana venye anaambiwa atafinywa. Atafinywa kwa airport na kwa kiti. She is a certified poko who couldn't last in her marriage for six months. She cheated on Dennis Okari with Joho.
mi ninaona shida ni kumshirikisha Betty Kyalo kwenye hio clip. otherwise hio nyimbo nilishawai kuisikiliza kitambo sana alipokuwa anamwimbia gf yake na hakukuwa na uproar ya aina yoyote.binafsi sina titizo na mashahiri ya wimbo,i'm ok with it.
shida yangu ni baadhi ya wakenya kulalamikia mashahiri yake wakati mashahiri ya nyegezi wali support.
Unajua hilo neno kupiga miti lilianzia Bongo! Kwakua mnasikiliza bongo fleva sana tuna influence kiswahili chenu. Wakina otile na Khaligraph wanachota maneno mapya na wenyewe wana yaimba ili waende na trend.Two old gay geezers. Kupiga miti ni sheng, inamaanisha kurarua punani sio huo ushetani wenu.
Ata mimi nimemwambia ilianza "ukuni" then ikaja "miti" kitambo sana kipindi hiko ata sijui what is BiologyLOL sasa unamfundisha mtanzania maana ya kupiga miti? Hilo neno nimeanza kulisikia from the my beginning inaonekana Kenya limepata umaarufu recently
Miti maana yake kwa kiswahili cha kihuni ni trees (dicks)
Kupiga miti, 'kusaksua', 'kuthiokora', siku hizi wanasema 'kunyandua'. Sheng sio lugha constant, kila siku maneno mapya yanaibuka.Unajua hilo neno kupiga miti lilianzia Bongo! Kwakua mnasikiliza bongo fleva sana tuna influence kiswahili chenu. Wakina otile na Khaligraph wanachota maneno mapya na wenyewe wana yaimba ili waende na trend.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nyingine sawa zime originate kwenye viunga vya Nai ila kupiga miti origin yake ni Bongo.Kupiga miti, 'kusaksua', 'kuthiokora', siku hizi wanasema 'kunyandua'. Sheng sio lugha constant, kila siku maneno mapya yanaibuka.
Sisi huku kwa kiswahili fasaha tubaita misimu yaani maneno yanayozuka na kufa na Mara nyingi hukutumika kwa watu was jamii na rika fulaniKupiga miti, 'kusaksua', 'kuthiokora', siku hizi wanasema 'kunyandua'. Sheng sio lugha constant, kila siku maneno mapya yanaibuka.
Sijaongea kuhusu kiswahili, kuna tofauti kubwa sana kati lugha ya kiswahili na sheng.Sisi huku kwa kiswahili fasaha tubaita misimu yaani maneno yanayozuka na kufa na Mara nyingi hukutumika kwa watu was jamii na rika fulani
Umenipata mkenya
Njoo tuwapige "msasa" kiswahili chenu kinyooke .
Sent using Jamii Forums mobile app