kenyans and their mistrusted hypocritical behavior

Hiyo kitu ni simple Sana, msamiati miengine na maneno mengine Yana nguvu zaidi kuliko maneno mengine kulingana na jamii .... Kwa mfano mtoto wa dadngu hutumia neno 'makalio' Kwa sentensi, hatamaliza siku kabla aingize Neno makalio Kwa sentensi na hakuna mtu hua anashida naye, lakini pale anapojisahau na kusema 'matako' anakanywa mbio mbio na kuambiwa asitumie Hilo Neno....
Vile vile hio nyimbo ya nyege ya diamond, yanayosemwa hayana nguvu huku tofauti na huko Tanzania , lakini hio nyimbo ya khaligraph inasumbua watu zaidi kwavile anaimbia huyo mwanahabari Betty kyalo na mistari explicit.....
And speaking of Nyege, nakumbuka kuna wakati flani Gavana wa Nairobi aki piga kampeni ya kupigana Kura alimtukana Ester passaris Kwa kudai ana Nyege nyingi Hadi akipewa cheo atabaki akizunguka akitafuta wanaume ---- Na hayo maneno yalionyeshwa Kwa habari za jioni!!!!!!

Ni kama vile mtu akutukane kum@mako na mwengine akutukane motherfucker .... Yote yanamaanisha kitu kimoja lakini Hilo la Kiswahili Lina nguvu zaidi kwasababu ya kule tunakoishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…