KENYANS AVOID RAILA ODINGA

KENYANS AVOID RAILA ODINGA

Binafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.

Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.

Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.

Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Kwenu hamkamati ila upotevu wa watu kwa njia za utatanishi zimezidi kupita tawala zote za Kenya. Kuanzia mashahidi wa fujo za uchaguzi 2007, mpaka waandishi wa habari, mawakili mpaka juzi tumemzika yule kiongozi wa juu wa serikali. Sasa sijuwi nani ana afadhali, kupotea au kuweka sehemu salama.?
 
Hivyo kila anayeaga dunia wakati wa kampeni lazima atakua ameuawa kisiasa. Kwa mantiki hiyo itakua Mtikila mlimuua na haikuwa 'ajali' ya kawaida.
 
kumbe una account mbili okay.... Nina imani msumari umekuingia hata kama utakataa shame on you kabla hujaandika fikiria mara mbili kwanza itaonekana wa maana
Retired and CHUAKACHARA ni a/c ya MTU mmoja, desperate nyumbu. Ndio maana unakuta threads za kumcrush Magu zinajaa sana ilhali za kupongeza ni chache.
 
Hivyo kila anayeaga dunia wakati wa kampeni lazima atakua ameuawa kisiasa. Kwa mantiki hiyo itakua Mtikila mlimuua na haikuwa 'ajali' ya kawaida.
Mtikila hakufunga seat belt, na nani amuue wakati hakuwa threat, nyinyi juzi hapa kuna campaign manager wa some NASA candidate ameuliwa, one amongst many, kisa Siasa, huwezi kuta hiyo tabia Tz. Alafu mnajisifu na demokrasia na katiba bora duniani
 
Birds of the same feathers fly together, KENYANS, who is the best friend of Raila in East Africa presidents? RAFIKI WA RAILA NI NANI KATIKA MARAIS WA EAST AFRICA. AVOID RAILA!

Ni kwanini Magufuli ndiye amuinfluence Raila katika style yake ya uongozi, mbona isiwe the other way round?
Magu kwanza mdogo wa Raila, hamuinfluence kivipi?

Most likely kila mmoja wao atabakia na style yake ya kuongoza taifa kulingana na circumstances na sheria ya nchi yake, bila ya muingiliano wowote.

Sheria ya Kenya imemnyima mamlaka nyingi rais. Maneno ya rais wa Kenya sio sheria kama ilivyo hapo Tanzania ati Magu anaweza toa amri kiwanda hiki kifungwe na hilo litendeke.

Uamuzi wa serikali Kenya lazma upitie mkondo fulani.
Mf: Kibaki mwaka wa 2010 alitoa amri jeshi la Kenya kuingia Somalia. Ile katiba ya zamani ilimpa mamlaka hiyo.
Lakini kwa sasa hilo haliwezekani. Kuna bunge, bunge la senate, mahakama....zote hizi ndizo zitahalalisha maamuzi makuu kama haya ya rais na serikali yake.

Kwahivo hata kama Magu angekuwa rais wa Kenya leo hii, hizo mamlaka anazo huko ya kutoa amri ati wanafunzi waliopata uja uzito wasikubaliwe tena kurudi shuleni ingejadiliwa kwanza kwenye hizi bunge mbili. Ikipitishwa kwenye hizo bunge wenye pingamizi wangekimbilia mahakama, nayo mahakama ikisema 'NO' ni hivyo sasa. Sheria hiyo lazma itaangaliwa upya.
 
Hivyo kila anayeaga dunia wakati wa kampeni lazima atakua ameuawa kisiasa. Kwa mantiki hiyo itakua Mtikila mlimuua na haikuwa 'ajali' ya kawaida.
Hii sio wakati wa kampeni tuu, nimekuabia watu wengi wamepotea wakati wa utawala huo mlio nao kuliko tawala zote za nyuma. Nenda Mombasa ukaulize familia zilivyo vurugwa, na wao wakihoji mtu anapotea mpaka wanaona isiwe tabu acha tukae kimya.
 
Ni kwanini Magufuli ndiye amuinfluence Raila katika style yake ya uongozi, mbona isiwe the other way round?
Magu kwanza mdogo wa Raila, hamuinfluence kivipi?

Most likely kila mmoja wao atabakia na style yake ya kuongoza taifa kulingana na circumstances na sheria ya nchi yake, bila ya muingiliano wowote.

Sheria ya Kenya imemnyima mamlaka nyingi rais. Maneno ya rais wa Kenya sio sheria kama ilivyo hapo Tanzania ati Magu anaweza toa amri kiwanda hiki kifungwe na hilo litendeke.

Uamuzi wa serikali Kenya lazma upitie mkondo fulani.
Mf: Kibaki mwaka wa 2010 alitoa amri jeshi la Kenya kuingia Somalia. Ile katiba ya zamani ilimpa mamlaka hiyo.
Lakini kwa sasa hilo haliwezekani. Kuna bunge, bunge la senate, mahakama....zote hizi ndizo zitahalalisha maamuzi makuu kama haya ya rais na serikali yake.

Kwahivo hata kama Magu angekuwa rais wa Kenya leo hii, hizo mamlaka anazo huko ya kutoa amri ati wanafunzi waliopata uja uzito wasikubaliwe tena kurudi shuleni ingejadiliwa kwanza kwenye hizi bunge mbili. Ikipitishwa kwenye hizo bunge wenye pingamizi wangekimbilia mahakama, nayo mahakama ikisema 'NO' ni hivyo sasa. Sheria hiyo lazma itaangaliwa upya.
Good, basi kuna checks and balance zenye nguvu. Strong institutions are working in Kenya. LAKINI, UWEZEKANO WA KUIGA UDIKITEITA NI MKUBWA IN ORDER TO CONSOLIDATE POWER! .....to become supreme aggressive of power----UNAJIULIZA KWA NINI EAST AFRICA ALMOST KOTE KUNA MADIKITEITA? ....SAVE KENYA
 
Mtikila hakufunga seat belt, na nani amuue wakati hakuwa threat, nyinyi juzi hapa kuna campaign manager wa some NASA candidate ameuliwa, one amongst many, kisa Siasa, huwezi kuta hiyo tabia Tz. Alafu mnajisifu na demokrasia na katiba bora duniani

Aha!! Ya kwenu inakua eti Mtikila hakufunga mkanda, ikitendeka kwetu kauliwa, unafiki uliokithiri. Nyie hapo kwenu hamna hata chembe chembe za demokrasia, kwanza kule Zanzibar ndio usipime, huwa muwajazia wana usalama mpaka basi.
 
Binafasi mimi sio shabiki wa Raila na wala sitampigia kura, lakini maamuzi ya kumpigia au kutokumpigia hayatatokana na matukio ya nchi majirani zetu au urafiki baina ya maswahiba. Huo utakua unafiki, vipi leo hii rais Uhuru ana uswahiba na Kagame, ina maana kwa jinsi tunaskia sifa mbovu za Kagame, hivyo tumsusie Uhuru au vipi.

Kwa kweli nimeona taarifa za jinsi Magufuli anaendesha Tanzania, japo ana maamuzi mazuri kiuchumi lakini kisiasa anakandamiza kabisa, nimeona amezidisha kamata kamata na lockup kwa wapinzani. Juzi kamkamata kiongozi wa upinzani bwana Tundu Lissu kisa amemuita 'dikteta'. Kwa Kenya ni vigumu sana kufika huko maana tunaongozwa na katiba mpya ambayo ni bora zaidi ya nyingi Afrika.

Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.

Kwa kifupi hata Raila akifaulu kuwa rais wetu, hatoweza kufanya hayo anayofanya rais wenu. Atadhitiwa kwa kila hatua....
Naona umeandika vizuri, lakini kuna vitu haviko sawa hapo, nitafafanua kwa kina.

Japokuwa katiba ya Tz ni mbovu, lakini imekuwepo miaka yote chini ya marais wanne waliopita, kinachoendelea sasa ni utawala mbovu ambao hautaki hata kuheshimu katiba iliyopo sasa.
Kuwa na Katiba ni jambo moja, kuheshimu katiba ni jambo limbo lingine kabisa.

Kinachoendelea sasa kisiasa Tz chini ya utawala huu huenda kingefanywa hivyo hivyo Kenya kama mtu type ya huyu angekuwa rais wa Kenya. Tatizo lililopo sasa Tanzania ni kubwa zaidi ya Katiba. Mbele ya Sizonje, Katiba sio kitu kwake. Anafanya chochote anachotaka pasipo kuangalia katiba inasema nini.

Jambo pekee ambalo nina uhakika nalo kwa Kenya kama wakiongozwa na mtu type ya huyu Sizonje ni wao kuanza kupachimbisha, yaani patachafuka vibaya, wakenya sio kondoo wa kupelekeshwa tu, ni werevu na jasiri sana. Wana uzoefu katika hayo.
 
Good, basi kuna checks and balance zenye nguvu. Strong institutions are working in Kenya. LAKINI, UWEZEKANO WA KUIGA UDIKITEITA NI MKUBWA IN ORDER TO CONSOLIDATE POWER! .....to become supreme aggressive of power----UNAJIULIZA KWA NINI EAST AFRICA ALMOST KOTE KUNA MADIKITEITA? ....SAVE KENYA
Ndio, naelewa ya kwamba power is sweet, and the temptation to consolidate power can be really overwhelming, usifikiri Uhuru ni mtu mwema kivile, hata yeye anatamani kuwa na that authority ya Kimagufuli au Museveni.
Hata mimi 😀

In his first months in power, Uhuru alianza na fujo tu, kutoa amri hapa na pale, kufanya hili na lile bila ya kuconsult institutions zilizopo kwa mujibu wa kisheria, kelele zikawa nyingi na akapata kuaibishwa na bunge pamoja na mahakama.

Ntakupa mifano ya Anti-terrorism law na Media law ambazo alitaka kupitisha kimabavu style ya Kibaki na Moi.
Upinzani, mahakama, hasasi za raia na bunge zikampa "Red card". Akafyata.

Nchi hizi zote za EA zina serikali mithili ya kidikteta kwasababu katiba za nchi zao (ambazo wao wenyewe ndio walitunga) zimewapa mamlaka hizo, na pia raia hawahusishwi katika kutunga na kutekeleza sheria za nchi.

Katiba ya Kenya...hatusemi ni perfect, lakini wananchi wako involved sana katika uongozi wa nchi. Ili hata kubadili kipengee fulani ya katiba ni lazma wananchi kuhusishwa.
 
Kwetu rais hana uwezo wa kuamrisha amrisha hizo kamata kamata, maana taasisi zina uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa. Siku za mwanzo rais Uhuru alijitoa ufahamu akajaribisha hizo sera za kizamani, lakini aliishia aibu maana apingwa kwa kila hatua isiyoendana na katiba hadi akafikia hatua ya kuwa makini kila anapofanya maamuzi.
Kenya ndio nchi inayoongoza kwa extra judicial killings
Unataka tumwage mchele?malizeni uchaguzi wenu kwanza kabla ya kujifanya mnachambua siasa za Tanzania
 
upuuzi huu...urafiki ndio nini sasa? pengine uwaambie wakenya wam avoid Raila na uwape sababu ambazo zina mshiko...
 
Kenya ndio nchi inayoongoza kwa extra judicial killings
Unataka tumwage mchele?malizeni uchaguzi wenu kwanza kabla ya kujifanya mnachambua siasa za Tanzania
Uko na evidence? Just bcos our media is intrepidly reporting these cases does not mean that Kenya is leading in Extra- judicial killings, it happens all over the region.
It is only that the media in these other countries are afraid of falling foul of the govt, or its agencies such as the police or the military which are responsible for this illegal killings.
 
Tanzania media is under lockup, a simple mistake you get two years ban.
 
Rwanda killed 37 petty criminals, Human Rights Watch says - BBC News

Just look for that story on the Rwandan press. If it exists at all it would be about denying the report. The Rwandan govt furiously denied and condemned the BBC and the HRW for highlighting those killing. So, would the local media really dare to report that?

Even in Tanzania criminals are being killed by the police. I read about an incident in which some robbers were killed in some place I cant recall in Tanzania by the mob, and the police were present and did nothing to stop them. They tacitly permitted the lynching.
 
Ndio, naelewa ya kwamba power is sweet, and the temptation to consolidate power can be really overwhelming, usifikiri Uhuru ni mtu mwema kivile, hata yeye anatamani kuwa na that authority ya Kimagufuli au Museveni.
Hata mimi 😀

In his first months in power, Uhuru alianza na fujo tu, kutoa amri hapa na pale, kufanya hili na lile bila ya kuconsult institutions zilizopo kwa mujibu wa kisheria, kelele zikawa nyingi na akapata kuaibishwa na bunge pamoja na mahakama.

Ntakupa mifano ya Anti-terrorism law na Media law ambazo alitaka kupitisha kimabavu style ya Kibaki na Moi.
Upinzani, mahakama, hasasi za raia na bunge zikampa "Red card". Akafyata.

Nchi hizi zote za EA zina serikali mithili ya kidikteta kwasababu katiba za nchi zao (ambazo wao wenyewe ndio walitunga) zimewapa mamlaka hizo, na pia raia hawahusishwi katika kutunga na kutekeleza sheria za nchi.

Katiba ya Kenya...hatusemi ni perfect, lakini wananchi wako involved sana katika uongozi wa nchi. Ili hata kubadili kipengee fulani ya katiba ni lazma wananchi kuhusishwa.
Perfect, nimeona comment zote toka Kenya zina ujumbe mmoja mkubwa. " kama hakuna strong checks and balances, it is easy one to adapt to dictatorship"! Thank God Kenya has strong checks and balance institutions.
 
Back
Top Bottom