Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Kwahiyo polisi wenu wanavyowapiga risasi na kuwauwa hovyo mitaani huko Ndiko kujitolea?. Hahahahahah, hongereni Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo Uhuru wa kwenu ni kukandamizwa na serikali huku ,madiwani na wabunge wakiuawa na kuwekwa korokoroni, watoto kuuawa kule njombe Kwa ajili ya ushirikina na kuchinja na kukula zeruzeru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi gani hyo ambayo haijengi hospitali,barabara...we kubali tu ni refugee katika nchi...imagine...ujamaa umewalemaza sana...

alafu hij pointi yako mbna ya kiboya...hta somalia hoslitali wanajenga na watu hawalipii ardhi kodi
Kama kawaida yenu, point ni kwamba Huku Tanzania ardhi huku Tanzania tunamiliki wananchi wote kama Kenya mnavyomiliki Mombasa port, Mbona Wakenya mkitumia hiyo Mombasa port mnalipishwa hamtumii bure?, lakini pesa unayolipa Mombasa port au JKIA inatumika kuboresha Huduma za kijamii, ni na mali za Wakenya wote, tofauti na mashamba ya wazungu hapo Kenya, pesa ni mali yao. Hahahaha, umeelewa najua Ila wivu umekujaa.

Mlikosa mradi wa bomba la mafuta toka Uganda kwa sababu hiyo hiyo ya ardhi yenu kuwa mikononi mwa watu binafsi, SGR yenu pamoja na kuwa ya kizamani Sana, lakini ni ghali sana, ardhi kuwa ya ghali pia Kumechangia gharama kuwa kubwa, sasa hivi mnakaribia kuwaachia wachina bandari yenu kutokana na dhambi ya "Land injustice"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
heheee...leta ukabila hapa...hehee...watu wanaoana kila kukicha...kwanza wajaluo na wakikuyu wanajazana mimba na kuoana kinoma sana.siku hz...si hko kwenu eti ccm hawez oa mtu wa chadema. .
Hao wanaoandika hizi article ni very educated people, majority are Professors teaching in your Universities, sasa Wewe Kibera man ulieishia darasa la nane unajaribu kuwabishia kwakutumia data za kuuana, nani aliyekuambia kuoana kwa blacks and whites in USA hakutokei, hiyo inatosha kutumia kama Kigezo cha kusema hakuna ubaguzi wa rangi US?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
polisi wako mahakamani...waliomuuwa akwilina wameshawai fikisha hta kw mkuu wa kata...kw upande wa unyama mnaongoza dunia nzima...kwenu askari akiuwa anapandishwa cheo...hku watu wanapelekwa mahakamani...
Taja mtu hapa Tanzania aliyepigwa risasi na kuuliwa na polisi intentionally, ukinitajia mmoja Mimi nitakutajia Wakenya 1009, waliouliwa kwa makusudi na polisi wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

asante sana kw kukubali km ardhi pia ilichangia sgr kuwa ghali...kwanza kuna wazee na vijana wamefaidika sana katika huo ununuzi wa sgr...jamaa wamepiga 70million mpka mia...jamaa walikuwa maskini kinyama...sai wanadunda mitaani na escort...ndii raha na kuwa mmiliki wa ardhi yako...hilo bongo haliwezi tokea...chukua kidogo km hautaki tunainyakuwa...hao wazungu unaowataja...wakiuza mazai wanalipa tax...serikali hawana shughuli na wewe km huifanyii biashara hyo ardhi...haya njoo hko kwenu..hata kibannda cha kuku ubakilipia kodi..mjengo ambao haujakamiliki uanulipia kodi...mtatoka lini kwenye usingizi

kwanza kila kitu tanzania kina milikiwa na serikali...kuanzia mijengo katika miji yenu,ardhi,nyumba uliyoijenga mwnyewe...bwahaaahaa.we kubali tu nynyi ni marefugee....
 
Taja mtu hapa Tanzania aliyepigwa risasi na kuuliwa na polisi intentionally, ukinitajia mmoja Mimi nitakutajia Wakenya 1009, waliouliwa kwa makusudi na polisi wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
santa sana...leo ninekubali km nyinyi ni wajinga...yani umeamini km ile risasi iliyompiga yule mwanadas wenu ilipigwa angani ikakata kona na kuingia kwenye daladala...santa sana...

tundu lissu naye ilikuwa polisi wanajidefend kw sababu lile gari lilitaka kuwagonga ikabidi wampige risasi 20 na kitu hv....bwhahahaha...wewe ni kilaza...case closed
 
Kwa hivyo Uhuru wa kwenu ni kukandamizwa na serikali huku ,madiwani na wabunge wakiuawa na kuwekwa korokoroni, watoto kuuawa kule njombe Kwa ajili ya ushirikina na kuchinja na kukula zeruzeru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia watu wanaouliwa na polisi, acha kulete matukio ya uhalifu, nitaleta issue ya terrorism kama utaendelea kutaja crime events, remember Tanzania is 100 times safer and peaceful than Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we si umesema kuna ukabila kila kukicha...alafu wakiona wanaishi kwa upendo...

alfu usinifanye mimi sijui hao blacks wanaolewa na wazungu sijui visa vyao...wanabaguliwa kinyama katika familia(both families)...ni kujilazimisha tu...nimeona story nyingi sana watu kuachana kisa familia zimeawatelekeza...mimi niko na beste yangu mkalenjini...anapiga punyeto toto la kikikuyu sana...mpka mwisho kalitia mimba..na mpango wa ndoa unaendelea
 
Tunazungumzia watu wanaouliwa na polisi, acha kulete matukio ya uhalifu, nitaleta issue ya terrorism kama utaendelea kutaja crime events, remember Tanzania is 100 times safer and peaceful than Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwhyo akwilina lilikuwa tukio la uhalifu sio na wala sio polisi waliomuuwa..yuele dereva wa lorry....usitufanye hatuijui nchi yenu
 
wacha kuruka ruka hapa...wkenya hawakai vijiweni...unakaa kijiweni alafu utakula nini...huo ni uvivu wenu wa kutojituma...msituambukuze
 
Umeona umuhimu wa kuwa na mali za serikali?, leo hii Kenya mnategemea Mombasa port na JKIA, mkisikia Mombasa port inabinafsishwa wote mnakasirika, sasa hivi kuna sakata LA KQ kukabidhiwa JKIA, wananchi wote wanapinga kwasababu KQ ni largely private.

Kuhusu wachache waliofaidika kwa kuuza ardhi kwa bei kubwa kupisha ujenzi wa SGR, matokeo yake nchi imebebeshwa mzigo mkubwa wa Deni, wananchi wa kipato cha chini wanabebeshwa mzigo mkubwa wa kodi wakati waliofaidika ni watu wachache sana, hiyo ndio hasara ya ubepari "Man eat man society "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kujidanganya wakenya inawezekana hata hiyo namanga boda yenyewe hamuijui mpo mpo tu hapo kibera,washukuru mungu aliwapa akili ya kutokuvuka ile kibanda ya boda maana ffu hawanaga akili kabisa mngerudi kenya side mkitambaa
polisi wenu walipigwa tu...unafikiria wakenya wanaogopa viibomu vya kutoa machozi...hzo hku ukirusha inarudisha...haki tena policcm hawatorudi tena maishani mwao...hao ffu mbna wachanga tu...si ni wale huwtishia watu wazembe na waoga wakupindukia hko bongo...wakenya hta risasi hawaogopi...itakuja virungu
 
Wewe acha kuzungumza kuhusu Isolated cases, kuna couples za black and whites zipo poa na nyingi zina matatizo, kama ilivyo hapo Kenya, kuna couples za Jaluo na Kikuyu zipo poa, lakini nyingi zina matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acha kuzungumza kuhusu Isolated cases, kuna couples za black and whites zipo poa na nyingi zina matatizo, kama ilivyo hapo Kenya, kuna couples za Jaluo na Kikuyu zipo poa, lakini nyingi zina matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwhyo wana matatizo ya ukabila hao wengine...manake wale wazungu matatizo yao ya ndoa katika familia nyngi ni ubaguzi wa rangi...na ukiona wenye wame settle vizuri wameamua kukaa mbali na familia zao...

sasaw niletee hao wajaluo na wakikuyu wanaokosana kisa ukabila...jiongeze bro...bibi mjaluo bwana nimkikuyu..siku ya kura wanadunda wote mpka katika kituo cha kupigia kura kila anampigia mtu wake..wakirudi nyumbani mapenzi ni yale yale
 
Niletee couple ya black na white yenye matatizo ya ubaguzi wa rangi na mimi nitakuletea couple ya Kikuyu na Jaluo yenye matatizo ya Ukabila, "Hii inaitwa lete nilete"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…