Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Kwa hivyo Uhuru wa kwenu ni kukandamizwa na serikali huku ,madiwani na wabunge wakiuawa na kuwekwa korokoroni, watoto kuuawa kule njombe Kwa ajili ya ushirikina na kuchinja na kukula zeruzeru.Kwahiyo polisi wenu wanavyowapiga risasi na kuwauwa hovyo mitaani huko Ndiko kujitolea?. Hahahahahah, hongereni Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app