KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
Hamuwezi kufanya lolote lile dhidi ya Tanzania, tunaweza kuwafanya vyovyote tunavyopenda na hamna uwezo wa kulipizia, mtabaki kulalamika tu na kusema iko siku mtalipiza, jaribuni kulipiza ndiyo mtajua kwamba nchi za kusini mwa Africa tulizikomboa sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Why draw in third parties if you can tackle your affairs with such arrogance! Jaribuni,ndio mtajua hamjui!