Kenyans: Do you know 20b USD to build 6000MW Coal Power Plant?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Leo ninataka kuongelea uzalishaji wa umeme.

Kumekuwa na migongano ya kimawazo kati ya Watanzania na Wakenya kuhusu uzalishaji wa umeme. Huku Wakenya wakijidai kwamba wanaweza wakajenga wind power plant au Thermal power plant.

1612872005468.png

Leo ninataka kuongelea potential ya makaa ya mawe(Coal) yaliyopo Tanzania.

Kwanza kabisa Tanzania ipo na Reserve ya Tone 5B za coal. Kwa leo nataka kuongelea Power Plant yenye uwezo wa kuzalisha 6000MW
Kwanza kabisa kuzalisha 1000MW inahitajika 9000 Tone za coal. Kwahiyo kuzalisha 6000MW zinahitajika 54,000T per day.
Sasa tukichukua.

5,000,000,000 ÷ 54,000 = 92,593 days
92,593 ÷ 365 = 254 Years

Kwahiyo Tone 5B za coal kwa kuzalisha umeme wa 6000MW itatumia miaka 254 kuisha.

COST OF BUILDING COAL PLANT
Kwa sasa coast ya juu kabisa ya kutengeneza Coal Power Plant ni $2B kwa 600MW
Kwahiyo kwa MW 6000 itatumia $20B ambayo ni sawa na Tsh 4.64T

Tanzania tunaweza hebu tuanze kwa nguvu zote.

TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
 
Kwanini hayo makaa ya mawe yakawa na matumizi mchanganyiko! Kwann coal hiyo isitengeneze bidhaa za chuma? Yaani tuitengenezee yote umeme waiting tuna vyanzo jadidifu vingi?
 
Hiyo inawezekana. Hata hivyo bado kuna uwezekano wa kupata coal zaidi ya hiyo.

Hapo nimeongelea Mchuchuma pekee. Bado kuna reserve ya Ngaka.

Liganga kuna Reserve kubwa sana ya Chuma sijajua kwanini project hiyo inasua sua. Maana ni miaka sasa. Wakati makaa ya Mawe yapo Karibu tu pale mchuchuma
 
Leo ninataka kuongelea uzalishaji wa umeme.

Kumekuwa na migongano ya kimawazo kati ya Watanzania na Wakenya kuhusu uzalishaji wa umeme. Huku Wakenya wakijidai kwamba wanaweza wakajenga wind power plant au Thermal power plant.

Leo ninataka kuongelea potential ya makaa ya mawe(Coal) yaliyopo Tanzania.

Kwanza kabisa Tanzania ipo na Reserve ya Tone 5B za coal. Kwa leo nataka kuongelea Power Plant yenye uwezo wa kuzalisha 6000MW
Kwanza kabisa kuzalisha 1000MW inahitajika 9000 Tone za coal. Kwahiyo kuzalisha 6000MW zinahitajika 54,000T per day.
Sasa tukichukua.

5,000,000,000 ÷ 54,000 = 92,593 days
92,593 ÷ 365 = 254 Years

Kwahiyo Tone 5B za coal kwa kuzalisha umeme wa 6000MW itatumia miaka 254 kuisha.

COST OF BUILDING COAL PLANT
Kwa sasa coast ya juu kabisa ya kutengeneza Coal Power Plant ni $2B kwa 600MW
Kwahiyo kwa MW 6000 itatumia $20B ambayo ni sawa na Tsh 4.64T

Tanzania tunaweza hebu tuanze kwa nguvu zote.

TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
Kind make sense according na calculation zako![emoji848] Swali la haraka haraka apo why ilichaguliwa kujenga bwawa kule mto rufiji kwa 6+ Trillions TSH linalozalisha 2115 MW na sio plan ya makaa ya mawe ambayo gharama zake ni 4+ trillions TSH inayozalisha 6000 nawaza kwa saut tu apo[emoji16]
 
Back
Top Bottom