Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Leo ninataka kuongelea uzalishaji wa umeme.
Kumekuwa na migongano ya kimawazo kati ya Watanzania na Wakenya kuhusu uzalishaji wa umeme. Huku Wakenya wakijidai kwamba wanaweza wakajenga wind power plant au Thermal power plant.
Leo ninataka kuongelea potential ya makaa ya mawe(Coal) yaliyopo Tanzania.
Kwanza kabisa Tanzania ipo na Reserve ya Tone 5B za coal. Kwa leo nataka kuongelea Power Plant yenye uwezo wa kuzalisha 6000MW
Kwanza kabisa kuzalisha 1000MW inahitajika 9000 Tone za coal. Kwahiyo kuzalisha 6000MW zinahitajika 54,000T per day.
Sasa tukichukua.
5,000,000,000 ÷ 54,000 = 92,593 days
92,593 ÷ 365 = 254 Years
Kwahiyo Tone 5B za coal kwa kuzalisha umeme wa 6000MW itatumia miaka 254 kuisha.
COST OF BUILDING COAL PLANT
Kwa sasa coast ya juu kabisa ya kutengeneza Coal Power Plant ni $2B kwa 600MW
Kwahiyo kwa MW 6000 itatumia $20B ambayo ni sawa na Tsh 4.64T
Tanzania tunaweza hebu tuanze kwa nguvu zote.
TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.