Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday 11, 2020

Wameshaanza kuchoma matairi huko Korogocho. Na huu ni mwanzo tu, bado mafuriko ya Baringo na nzige wanaoendelea kuzaliana kwa maelfu. Nyie wakenya hebu tokeni hapa na mrudi kwenu haraka sana mkafie huko huko.

Mnazidi kutengwa

 
Mnazidi kutengwa

uzuri corona haihitaji unafiki[emoji16][emoji16].

huko kenya naskia mnasoma takwimu kwa nationality,eti 15 kenyans,5tanzanians.

huu unafiki corona inaupenda sana,subiri hakuna lugha mtaacha kuongea,hawa nao tunafurahi watufungie,ili ngoma ikianza kunoga kisawa sawa,wafanye kama nyinyi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watnzania 18 wamekutwa nacho Zambia, nyie sasa hivi manogopwa na kila jirani Watanzania 18 waingia na Corona Zambia, jameni Wakenya mipakani tuwe makini - JamiiForums
 
Acha urongo, bongo watu wametoka Dar kwenda vijijini kupumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuandika hujui sijui shule ulienda kusomea ujinga

Kwani ww binafsi umewahi kuandika? Si unakopi na kupesti alichoqndika b.....sha wako musiba...
Wasalimie hamhuri ya watu wa chato
 
"The logistics in quarantine are tricky and in fact, I can't rule out that you can be infected in the quarantine centres," Ochuodho said

Unaweza ondoka Dar mzima, ukaenda uenda pata COVID kwa karantini Nai
 
Warudi tu wanatumalizia hewa yetu
 
Hebu niache kwanza unanuka mdomoni!!
Nanuka mdomoni kwa sababu nakula maharage kila siku coz nyie wahuni ccm mmesababisha maisha mabaya kwa kila mtz (EXCEPT NYIE PRAISE TEAM) miaka yote mitano iliyopita......ww unanukia mdomo wako lkn unanuka huko chini mpaka umekosa mke mpaka leo hujaona....Jinga sana wewe
 

Tena waondoke haraka sana utafikiri wanakoenda hakuna gonjwa [emoji56][emoji56][emoji56]. Halafu niwaeleze wakenya pamoja na kupima na kuonekana hauna gonjwa haina maana hautaupata tena, unaweza ukapima na ukajiamni na mwisho wa siku utaupata tena, so be careful to concentrate on the other country while you have not eliminated your own problems
 
Waondoke,Corona haitudumu milele,watanzania hawatokufa taifa zima.
Yapo ya kujifunza.
 
Waondoke,Corona haitudumu milele,watanzania hawatokufa taifa zima.
Yapo ya kujifunza.
Don't worry muda ni funzo, kwa jinsi ninavyoona kinachoendelea zaidi ya kupima na Xenophobic announcements kwa Tanzania, sioni chochote cha maana kinachoendelea kule Kenya!
 
Don't worry muda ni funzo, kwa jinsi ninavyoona kinachoendelea zaidi ya kupima na Xenophobic announcements kwa Tanzania, sioni chochote cha maana kinachoendelea kule Kenya!
Kuna mengi yamejificha nyuma ya huu ugonjwa,muda utaongea vyema sana,kuna wakati mmoja unasubiriwa kwa hamu sana,yatatimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…