Sasa kwa hiyo matairi hayakuchomwa huko Korogocho kwa sababu Zambia wamefunga mpaka, au?
Mabwana zenu huko uingereza wamelegeza masharti, sasa igeni nyinyi vikaragosi wao kama kawaida yenu. Yaani "bendea fuata upepo".Fanyeni jitihada mchukue tahadhari, imebaki mfungiwe na Msumbiji pia...
Mabwana zenu huko uingereza wamelegeza masharti, sasa igeni nyinyi vikaragosi wao kama kawaida yenu. Yaani "bendea fuata upepo".
Mcheki huyo askari nguo alizo vaa mabwanga ya kutisha hata mgambo watz wanapendeza kuwazidi
#Akilizahandshake#
CC: kikihboy Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Kama watz wengi tumeambukizwa korona na Leo ni karibia miezi miwili basi ujue ugonjwa umesha tuzoea maana vipimo vinaonyesha tunaumwa ila wenyewe atusikii kitu chochote ,huu ugonjwa umesha tutii watzSisi tumechukua tahadhari, muhimu na nyie mkaichukua, acheni kukaidi la sivyo mtaponza majirani zenu wote na ndio maana mnafungiwa.
Mataifa yote haya tunategemeana, nyie mumekaidi mpaka SADC na EAC wanafanya vikao bila kuwahusisha. Huu ukaidi nahisi mumepoteza dira..... madereva 18 wanaibuka Zambia kama wameathirika corona, kote walikotokea wametema mbegu, fahamu kila muathirika mmoja anaambukiza watu takriban watano, na hao watano wanaambukiza huko mbele na huko mbele wanaambukiza mbele yao, yaani mtandao hatari sana, nyie mnaendelea na ligi za uchama kwenu hamtaki kuwaskliza upinzani.
Hamna lolote nyie wakenya, mmeshafulia.Sisi tumechukua tahadhari, muhimu na nyie mkaichukua, acheni kukaidi la sivyo mtaponza majirani zenu wote na ndio maana mnafungiwa.