Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday 11, 2020

Fanyeni jitihada mchukue tahadhari, imebaki mfungiwe na Msumbiji pia...
Mabwana zenu huko uingereza wamelegeza masharti, sasa igeni nyinyi vikaragosi wao kama kawaida yenu. Yaani "bendea fuata upepo".
 
Sisi tumechukua tahadhari, muhimu na nyie mkaichukua, acheni kukaidi la sivyo mtaponza majirani zenu wote na ndio maana mnafungiwa.
Mataifa yote haya tunategemeana, nyie mumekaidi mpaka SADC na EAC wanafanya vikao bila kuwahusisha. Huu ukaidi nahisi mumepoteza dira..... madereva 18 wanaibuka Zambia kama wameathirika corona, kote walikotokea wametema mbegu, fahamu kila muathirika mmoja anaambukiza watu takriban watano, na hao watano wanaambukiza huko mbele na huko mbele wanaambukiza mbele yao, yaani mtandao hatari sana, nyie mnaendelea na ligi za uchama kwenu hamtaki kuwaskliza upinzani.
 
Kama watz wengi tumeambukizwa korona na Leo ni karibia miezi miwili basi ujue ugonjwa umesha tuzoea maana vipimo vinaonyesha tunaumwa ila wenyewe atusikii kitu chochote ,huu ugonjwa umesha tutii watz

Send by APOLO 1
 
Sisi tumechukua tahadhari, muhimu na nyie mkaichukua, acheni kukaidi la sivyo mtaponza majirani zenu wote na ndio maana mnafungiwa.
Mataifa yote haya tunategemeana, nyie mumekaidi mpaka SADC na EAC wanafanya vikao bila kuwahusisha. Huu ukaidi nahisi mumepoteza dira..... madereva 18 wanaibuka Zambia kama wameathirika corona, kote walikotokea wametema mbegu, fahamu kila muathirika mmoja anaambukiza watu takriban watano, na hao watano wanaambukiza huko mbele na huko mbele wanaambukiza mbele yao, yaani mtandao hatari sana, nyie mnaendelea na ligi za uchama kwenu hamtaki kuwaskliza upinzani.
Hamna lolote nyie wakenya, mmeshafulia.
 
Back
Top Bottom