Kenyans in the diaspora sent home $244 million (Sh24.82 billion) in December Alone!

Hao wakenya wanatuma hela pesa nyingi kuliko pesa ambazo Tz inapata kwa utallii, ...... yani biashara ya mbuga,hoteli zote mapato yake hayafikii hela zinazotumwa na wakenya nyumbani!!!!!!

Wacha wawatumie juu mtakufa zaidi na njaa.

Wasipotuma unadhani mtaishije??
 
Tourism ya Tz kina mkorinto hawaamini imepitwa na Diaspora remintances to Kenya. Na bado namba mtaisoma.
 
Hehehehe watoto wanakula meffi ya kuku na Mungu aliwabariki na ardhi mnashindwa kuzalisha chakula? Aliyewalaani nyie keshakufa

Ah wapi labda kama unazungumzia huko kwenu,huku haijawahi kutokea.

Mahindi ni mengi mpaka yanaharibika.
 
Ah wapi labda kama unazungumzia huko kwenu,huku haijawahi kutokea.

Mahindi ni mengi mpaka yanaharibika.
Mh! Mahindi! Mnasaga unga mnapatia watoto ugali kavu na uji halafu mnacheka watoto wa kikenya kwa kula ugali kales na spinach??? Asubuhi watoto wanakula mihogo na chai ya mkandaa ilhali wa huko Kenya wanakunywa maziwa.Ndio maana mnaongoza kwa utapia mlo barani afrika!
 
Povu ya nini tena mkuu [emoji846]

Hamna povu hapa najaribu kukupa wasifu wako tu!!!

Hivi umeshindwa kufikiri kwamba hao watoto ni wa familia moja ambayo wazazi wanaumwa??nikuletee maelfu ya mama zako huko turkana wanaokufa kama nzige kwa kukosa kabisa mlo[emoji16][emoji16][emoji16].

Achana na hii vita huiwezi,nitakuvua ngua kabla hujafika bedroom.
 
Weka hisia kando mkuu, hivyo wazazi wakiugua ina maana hamna chakula?
Wako wapi majirani, wawakilishi wa kijiji? Social workers? Haya yote yaliwapita hadi habari zikaja kuwafikia media πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…