REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Unajichekesha kweli, umeshajumlisha na hotels, flights, gifts, foods, donations, fees, etc? Kuna zaidi ya billion nyingine 2.4$ zinazoingia kwenye circulation ambazo sio hizo direct government collection.2018 tourism earnings za TZ was 2.4 billion, while Kenya diaspora remittance 2018 ni 2.7 billion.
Case closed!
Tanzania earns $2.44 billion from Tourism in 2018
Yaani kwenye utalii kaa mbali kabisa na Tanzania.