Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Sio sisi tunasemaWakenya wa humu jf wako bize na kusema nairobi inakaribia GDP nzima ya tz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sisi tunasemaWakenya wa humu jf wako bize na kusema nairobi inakaribia GDP nzima ya tz.
Bora umeelwa the message bruv.Mnakuwaga...sio ......kuwanga.
Ni ya kupunguza makali ya huu uziHii post ina hisia nyingi kweli..lkn punguza jazba jomba...
Kwani wamedanganya? Huo Ni ukweli mtupu😂😂😂Wakenya wa humu jf wako bize na kusema nairobi inakaribia GDP nzima ya tz.
Kama mimi ningekuwa mwalimu na wewe ni mwanafunzi na umeniandikia hiki kinyesi kama composition ningekupa 0 out of 40. Tragic gramatical errors. Atrocious spelling mistakes and disgusting grasp of basic sentence construction.Umasikini nilio uona Kenya Nairobi , I confident to say I never ,ever seen in this modern world nimetembea nchi nyingi dunian lakin Kenyans slums residents which approach to more than 1,200 000millions , kuna umasikini wa kutisha jaman Kenya acheni , Kenya na India kwenye level za umasikini wapo level sawa tu aisee , nilizani India ,Bangladesh na Congo DRC ndio kuna umasikini ,dah kumbe majirani nishida , can u imagine watu wanaishi kwenye mabanda ya mabati no electricity, no running water # kuna slums south Africa ,Namibia but there better off ,full of good and basic infrastructure as well as social service's #ITS shameful for a someone to called himself a Kenyans @in other side Kenya is good and a very small country ,full of private investment, full of democracy , full of freedom of press,
Amna kuna time unatakiwa ufocus on the perimeters, hizo statistics zinaweza kukwambia 1 KES is 20 TSH lakini in reality hiyo sio Hoja sana, ukitaka kujua the reality unatakiwa kuchunguza ni kipi naweza nunua Kenya by 1 KES na kipi naweza nunua Tanzania by 1 KES hapo ndio unapata msawazo mzuri wa tafiti and how easy one could acquire such amount.I can rely on them more than I can rely on opinion of say a Kenyan about Tanzania or a Tanzanian on Kenya. Unajua wako more unbiased. Sijakataaa kuna extremely poor Kenyans, but when in comes to poverty, Tanzania mnakuwanga kwa zile extremely poor countries
😂😂😂 Uliona ile clip?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Uliona ile clip?
Hahaha yule Kenya ni pedesnjsheee ndama mtoto ya cow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji202][emoji230]
😂😂😂😂😂😂😂 UwiiiiiiNiliona kwa geah [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kuwa sherehe haziishi uswahilini.
Ulianza na wabongo Leo umegeukia jirani...Wakati wazoefu wakisema kuhusu slums Za Nairobi wewe ulidhani Ni story za vijiweniUmasikini nilio uona Kenya Nairobi , I confident to say I never ,ever seen in this modern world nimetembea nchi nyingi dunian lakin Kenyans slums residents which approach to more than 1,200 000millions , kuna umasikini wa kutisha jaman Kenya acheni , Kenya na India kwenye level za umasikini wapo level sawa tu aisee , nilizani India ,Bangladesh na Congo DRC ndio kuna umasikini ,dah kumbe majirani nishida , can u imagine watu wanaishi kwenye mabanda ya mabati no electricity, no running water # kuna slums south Africa ,Namibia but there better off ,full of good and basic infrastructure as well as social service's #ITS shameful for a someone to called himself a Kenyans @in other side Kenya is good and a very small country ,full of private investment, full of democracy , full of freedom of press,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uwiiiiii
Uswazi pochi nene babu[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni ya kupunguza makali ya huu uzi
Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.
Top 10 Richest Cities In Africa By Lorine Towett September 15, 2019 For a long time, South African cities have dominated the top 10 list of Africa’s richest cities. According to the 2019 wealth report compiled by AfrAsia Bank, four of the top ten positions have been taken by cities from South...www.jamiiforums.com
Maisha ya uswazi Tanzania ambayo ndio yanachukuliwa kama maisha ya chini kabisa ni aheri mara million kuliko maisha ya mkenya kwenye hizo slums
Kuna video ilikua ikitrend juzi kati, huko uswazi uswazini mke kafanya sherehe kubwa kachoma mbuzi, vinywaji vya kila design na kukodi bendi kisa mmewe kaachana na hawara [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia ile social status ya kule uswazi halafu uilete huko kwenye slums zilizotapakaa Nairobi nzima utajua tu mlalahoi wa Tanzania, Kenya ni Middle class citizen [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unataka hiyo video sema
Na bado watafungua zingine ila wembe Ni ule ule.Bwahahaaa!!huaga wakipigwa za uso wanakasirika...
Matokeo yake nyuzi kibao za chuki huzifungua...facts mara kutoka youtube[emoji23][emoji23][emoji23]
What is your problems bro?Ungeandika tu kwa kiswahili badala ya kujitia aibu hivi na lugha usioelewa
Haya tumekubali !!!! Wahi kulusha fly toilet ni zamu yakoSio sisi tunasema
View attachment 1213029
Nimesem ungeandika tu kwa kiswahili, bado tungekuelewa. Ni dhahiri Kiingereza kinakupiga chengaWhat is your problems bro?