iam_paco
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 408
- 687
Maskini wa tz ni yule wa kijijini mwenye mashamba asiyependa kuwa na cash but awe na mali, ukija dar maskini ni yule anaemiliki nyumba na kiwanja chake hana income ya kutosha kurepare na kumiliki gar. Ukienda kenya ukiona maskin bas hana kibarua hana.ardhi. but mabat na maboksi. [emoji23][emoji23][emoji23] atleast wamasai wa keenya wana mifugo japo wanakufa kwa ukame. So kwenye rank za umaskini tz tutakua juu sio kwasababu ni maskin zaid ya kenya bali tumewazid population na maskin wetu wanategemea kilimo kwa sana co mchele plastic wa china