Kenyans one among of the poorest people in the world

Hii post ina hisia nyingi kweli..lkn punguza jazba jomba...
Ni ya kupunguza makali ya huu uzi
 
Hakuna siku nyani (Sana sana za kibongo) ataona kundule
 
Kama mimi ningekuwa mwalimu na wewe ni mwanafunzi na umeniandikia hiki kinyesi kama composition ningekupa 0 out of 40. Tragic gramatical errors. Atrocious spelling mistakes and disgusting grasp of basic sentence construction.
 
Amna kuna time unatakiwa ufocus on the perimeters, hizo statistics zinaweza kukwambia 1 KES is 20 TSH lakini in reality hiyo sio Hoja sana, ukitaka kujua the reality unatakiwa kuchunguza ni kipi naweza nunua Kenya by 1 KES na kipi naweza nunua Tanzania by 1 KES hapo ndio unapata msawazo mzuri wa tafiti and how easy one could acquire such amount.

So sio hoja kiviile hayo makabrasha yanaelezea uhalisia, sivyo.
 
Pwahahahaa, Hii mbwa hata haijawahitoka nje ya mipaka ya wilaya ya Temeke. He is a cheat, a liar and a dog green with ENVY
 
Niliona kwa geah [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kuwa sherehe haziishi uswahilini.
[emoji23][emoji23][emoji23] Uliona ile clip?
Hahaha yule Kenya ni pedesnjsheee ndama mtoto ya cow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji202][emoji230]
 
Jamaa si tu masikini wa mwili wana umasikini wa akili na hata kiroho
 
Ulianza na wabongo Leo umegeukia jirani...Wakati wazoefu wakisema kuhusu slums Za Nairobi wewe ulidhani Ni story za vijiweni
 
Bwahahaaa!!huaga wakipigwa za uso wanakasirika...
Matokeo yake nyuzi kibao za chuki huzifungua...facts mara kutoka youtube[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heheeee!!!middle class area sio...
Sasawa
 
Bwahahaaa!!huaga wakipigwa za uso wanakasirika...
Matokeo yake nyuzi kibao za chuki huzifungua...facts mara kutoka youtube[emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado watafungua zingine ila wembe Ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…