Kenyans one among of the poorest people in the world

Maskini wa tz ni yule wa kijijini mwenye mashamba asiyependa kuwa na cash but awe na mali, ukija dar maskini ni yule anaemiliki nyumba na kiwanja chake hana income ya kutosha kurepare na kumiliki gar. Ukienda kenya ukiona maskin bas hana kibarua hana.ardhi. but mabat na maboksi. [emoji23][emoji23][emoji23] atleast wamasai wa keenya wana mifugo japo wanakufa kwa ukame. So kwenye rank za umaskini tz tutakua juu sio kwasababu ni maskin zaid ya kenya bali tumewazid population na maskin wetu wanategemea kilimo kwa sana co mchele plastic wa china
 
This is one reason why they're still poorer bcoz they follow ma-feelings zao instead of dispassionate evidence and objective approach ,facing harsh reality and swallowing one's foolish pride.

Bado wako kwa "ujamaa thinking " where its everyone else's duty to solve all the problems of society na hiyo inaleta uvivu wa kifikra aka lacking mental fortitude.Umaskini is 90% mental.
 
These guys are still reeling from the failed oil pipeline, bagamoyo, koroshow, actl, wakombozi wa satafrica etc fiascos.. so please kenyans just stay away from their coping mechanisms they will create a hundred threads about kenya to deflect their own ccm failures as they clap for themselves by wanking thier own d*cks, we have our own independent news media that does its job so don't even mind.... Im very entertained by thier feeble attempts
 
Kama mimi ningekuwa mwalimu na wewe ni mwanafunzi na umeniandikia hiki kinyesi kama composition ningekupa 0 out of 40. Tragic gramatical errors. Atrocious spelling mistakes and disgusting grasp of basic sentence construction.
Hahaha well put brathee,i thought i was the only one who had an allergic reaction to the stinky essay.If he can't grasp simple grammar rules and spellings atawezaje kuelewa complicated economics kweli?
 
We si ndo ulikuwa unakesha kuisifia nairobi,mapicha yalikuongopea leo umejionea mwenyewe the slum hub of africa
 
Mbona jamaa unahangaika sana kujitetea na stats za years ago!!!..kwani unateseka??
 

Hawezi elewa ye hudhani stats come from heaven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…