eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Mngetumia hiyo 'classification' msingewafanyia paka unyama mnaowafanyia kwa kuwamalizia kitoweo chao cha panya. Alafu kula panya ni sawa tu na kula fisi na wale ndege 'vulture'. Wote ni vifagio au ukipenda dry cleaners wa hii dunia yetu. [emoji38] Natania mkuu.
Hamna kaka panya ni watamu kupindukia. Nimewala sana nilivyokuwa Zambia na Msumbiji.
Wale ukienda kwenye classification, ni ndugu na nguruwe maana hao wote ni omnivorous, pia wanafanana na sungura au kalulu kwa sababu wote ni rabbit.
Ahaaa