Kenyans who eat Monkeys

Kenyans who eat Monkeys

Mngetumia hiyo 'classification' msingewafanyia paka unyama mnaowafanyia kwa kuwamalizia kitoweo chao cha panya. Alafu kula panya ni sawa tu na kula fisi na wale ndege 'vulture'. Wote ni vifagio au ukipenda dry cleaners wa hii dunia yetu. [emoji38] Natania mkuu.

Hamna kaka panya ni watamu kupindukia. Nimewala sana nilivyokuwa Zambia na Msumbiji.

Wale ukienda kwenye classification, ni ndugu na nguruwe maana hao wote ni omnivorous, pia wanafanana na sungura au kalulu kwa sababu wote ni rabbit.
Ahaaa
 
Kuna ule uzi wenu nyie wala panya. Humo ndani ulikiri kula panya, tena live bila ya kushawishiwa na mtu yeyote ule. 😀 Video ya nini wengine wetu tumejionea kwa macho yetu mawili mnavowatafuna 'chamaki nchanga' kule ntwara. Tembea jombaa. Hadi na mikia pia huwa mnaifanyia kweli. [emoji23][emoji23]
Iko wapi hiyo thread ??
 
Hamna kaka panya ni watamu kupindukia. Nimewala sana nilivyokuwa Zambia na Msumbiji. Wale ukienda kwenye classification, ni ndugu na nguruwe maana hao wote ni omnivorous, pia wanafanana na sungura au kalulu kwa sababu wote ni rabbit.
Ahaaa
Dah panya, kitimoto, kaka sungura, na sasa kalulu! Jamani. [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe jamaa bana naona una nia mbaya na kiamsha kinywa changu wakati hata hakijafika kwenye magoti.
 
Monkeys are yummy like any other meat😀😀😀
images
 
Dah panya, kitimoto, kaka sungura, na sasa kalulu! Jamani. [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe jamaa bana naona una nia mbaya na kiamsha kinywa changu wakati hata hakijafika kwenye magoti.

Braza tembea uone, nilipita pande za kongo na zambia wilaya ya nakonde nikakuta watu wanapiga viwavi jeshi shwari kabisa. vingine wanauza kwenye mafungu watu wananunua na nyanya wanaenda kuandaa mboga ya kupigia ugali.

ya viwavi niliipenda sana maana wenyewe kule viwavi wakivamia mashamba hawalalamiki eti wanaharibu mazao. wenyewe wanamshukuru mungu kuwa kawaletea neema kama vile tu sisi wahenga enzi zetu tulikuwa tunakula kumbikumbi. kwa hiyo kule hamna sijui serikali itafute helicopter ya kunyunyizia dawa mashamba yaliyovamiwa na wadudu.
 
Back
Top Bottom