Mngetumia hiyo 'classification' msingewafanyia paka unyama mnaowafanyia kwa kuwamalizia kitoweo chao cha panya. Alafu kula panya ni sawa tu na kula fisi na wale ndege 'vulture'. Wote ni vifagio au ukipenda dry cleaners wa hii dunia yetu. [emoji38] Natania mkuu.
Mbwa sawa lakini sio monkey.Wachina wanaka ata mbwa sijaskia mkiwabeza....
Kumbe wala ngedere tuna ndugu zetu kwenye kila kona ya dunia? π Alhamdulilahi! πHata huko Ruvuma wilaya ya Mbinga kabila la Wamatengo wanakula NYANI
Iko wapi hiyo thread ??Kuna ule uzi wenu nyie wala panya. Humo ndani ulikiri kula panya, tena live bila ya kushawishiwa na mtu yeyote ule. π Video ya nini wengine wetu tumejionea kwa macho yetu mawili mnavowatafuna 'chamaki nchanga' kule ntwara. Tembea jombaa. Hadi na mikia pia huwa mnaifanyia kweli. [emoji23][emoji23]
Dah panya, kitimoto, kaka sungura, na sasa kalulu! Jamani. [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe jamaa bana naona una nia mbaya na kiamsha kinywa changu wakati hata hakijafika kwenye magoti.Hamna kaka panya ni watamu kupindukia. Nimewala sana nilivyokuwa Zambia na Msumbiji. Wale ukienda kwenye classification, ni ndugu na nguruwe maana hao wote ni omnivorous, pia wanafanana na sungura au kalulu kwa sababu wote ni rabbit.
Ahaaa
Dah panya, kitimoto, kaka sungura, na sasa kalulu! Jamani. [emoji23][emoji23][emoji23] Wewe jamaa bana naona una nia mbaya na kiamsha kinywa changu wakati hata hakijafika kwenye magoti.
Monkeys are yummy like any other meatπππ
Endeleeni kuwakula panya sisi tutakula hata tumbili..πππhiyo kula peke yako. sisi wengine hatupendi kula ndugu zetu.
Ahaaa haaa
Mbwa sawa lakini sio monkey.
Sasa mbona nyie mnawala nyani tena wengi hadi imekua kero Ulaji wa nyani Tanzania watishia utalii Morogoro
cc: eliakeem
Picha hii imetoka kwenye 'album' yako. Bisha! πIko wapi hiyo thread ??
Picha hii imetoka kwenye 'album' yako. Bisha! πChamaki nchanga. [emoji38][emoji38]
Kastama. Ukileta Tzshs elfu moja mia tano nakupa familia nzima. Panya kumi na nne. [emoji38]Ukipata panya buku ni shidaa. Huyo tudogo SANA.