heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 920
- 526
- Thread starter
- #41
Vipochopocho kama kuwauzia vijana wenu wa kiume na wakike vipo ila sio kingine. Na hali hii haitawaacha salama na vizazi vyenu vya hapo baadaeSisi mlima tunauona kwa macho maana hatuna haja nawo, ni kama nyie waswahili mpo mpo tu na kila siku mnauona au kuusikia lakini ni wachache sana kati yenu ishawajia akilini kwamba mwende mkaukwee kama wafanyavyo watalii.
Sasa pia, watalii wanaokuja kuukwea tunawaelekeza wavuke mpaka japo ni wachache, kuna kundi kubwa la watalii tumewaandalia mambo matamu matamu ya kuja na kutulia kwetu huku wakiutazama maana hawana haja ya kuukwea.
Nyie wazembe mnasubiri hadi waje hao wanaotaka kukwea, hamjitumi kuandaa vipochopocho pembeni kwa wale wanaotaka kuuona tu.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app