Kenyans with Mt Kilimanjaro

Kenyans with Mt Kilimanjaro

Sisi mlima tunauona kwa macho maana hatuna haja nawo, ni kama nyie waswahili mpo mpo tu na kila siku mnauona au kuusikia lakini ni wachache sana kati yenu ishawajia akilini kwamba mwende mkaukwee kama wafanyavyo watalii.
Sasa pia, watalii wanaokuja kuukwea tunawaelekeza wavuke mpaka japo ni wachache, kuna kundi kubwa la watalii tumewaandalia mambo matamu matamu ya kuja na kutulia kwetu huku wakiutazama maana hawana haja ya kuukwea.

Nyie wazembe mnasubiri hadi waje hao wanaotaka kukwea, hamjitumi kuandaa vipochopocho pembeni kwa wale wanaotaka kuuona tu.
Vipochopocho kama kuwauzia vijana wenu wa kiume na wakike vipo ila sio kingine. Na hali hii haitawaacha salama na vizazi vyenu vya hapo baadae

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
I think there is a need you guys to get to understand how you degrade yourselves before the truth by always claiming this nonsense.
Let you try understand the reality coz you can't change the truth that is clear to smart minds

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mi nasemaga kama wanautaka waje wauchukue na sisi tuchukue pwani yetu kuanzia Malindi Lamu Mombasa na kadhalika. Wale watu wa kule ni wabongo 100%
 
Kenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
 
Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.

Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
tortilis-camp-amboseli20.jpg
Chunga maneno yako sasa Tz tuko kwenye enzi mpya mwambieni huyo rais wenu akohoe kwamba kilimanjaro ni yenu muuone kitakachotokea waulizeni uganda walichokipata na waulizeni malawi joto la jiwe walilotaka kulionja ....endeleeni kupambana na al-shabab msiwashe mto ambao hamtakuwa na uwezo wa kuuzima
 
Mi nasemaga kama wanautaka waje wauchukue na sisi tuchukue pwani yetu kuanzia Malindi Lamu Mombasa na kadhalika. Wale watu wa kule ni wabongo 100%
Yaani iwe win win situation sio?

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Kenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
Do it ASAP Buddy, we are eagerly waiting for u

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Yaani iwe win win situation sio?

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ndio. Huko pwani ya Kenya tayari kuna hawa watu wanajiita "Mombasa Republican Council" slogan yao kuu ni "Pwani Si Kenya".
Nahisi serikali ya Tanzania iwape support hawa majamaa (kifedha, intelligence, logistics etc) taratibu pwani yote ya Afrika Mashariki itarudi Tanzania.
Huu mchezo hauhitaji hasira!
 
Kenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
Mkiendelea na such suggestions Tanzania nayo itarespond in kind. We'll fund Mombasa Republican Council alafu tuone who'll be first to cry foul.
 
Ndio. Huko pwani ya Kenya tayari kuna hawa watu wanajiita "Mombasa Republican Council" slogan yao kuu ni "Pwani Si Kenya".
Nahisi serikali ya Tanzania iwape support hawa majamaa (kifedha, intelligence, logistics etc) taratibu pwani yote ya Afrika Mashariki itarudi Tanzania.
Huu mchezo hauhitaji hasira!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ile bandari ya lamu wanatujengea[emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.

Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
tortilis-camp-amboseli20.jpg
You must be kidding guys,
Kenya should Annex that mountain ASAP as Russia did with Crimea...there will be little or no resistance from Danganyika.
Rudi kwa kesi yenu na Ug pale migingo before thinking of Kilimanjaro

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Mmewaandalia mambo matamu matamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Leo umeishiwa kabisa! Wazungu hawahitaji kuona kwa macho wakiwa mbali, wao wanataka kuweka rekodi za kuapanda mlima

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.

Ndio maana pamoja na kwamba mna kila kivutio cha utalii lakini nyie maskini wa kutupwa, maana mumekaa hapo kizembe mkisubiri watalii waje kuupanda. Inafaa iwaingie sio kila mtalii anawaza kukwea mlima. Kuna wale wanataka kuwa na good time on the backdrop of mount Kilimanjaro, na ndio wengi. Hivyo unawapa vifurushi/packages ili waje na kufurahia, hawa ndio huwa tunawakula hela, tunawaambia waje pale Amboseli na kupata raha.

Huo mlima tunaupigia hela sana na mtalalamika milele lakini wajanja hatulali maana wazembe nyie, mna liinchi lenye kila baraka lakini mumelala usingizi wa pono. Nilishangaa baada ya kung'aka ng'aka kuhusu madini halafu mnaishia kuogeza asilimia 2% tu za mirahaba.
 
Hebu lete rekodi za mwaka huu za utalii tulinganishe na mwaka jana!

Usinambie eti uchaguzi ndo sababu ya kushuka maana hiyo ni shida yenu binafsi, nchi nyingine zinafanya uchaguzi kwa amani!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
tatzo wakenya wanajitekenya na kucheka wenyew, tangia lini mlima kilimanjaro kuwa Kenya, may be mlima al-shababuuu

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] mlima alshababu
 
Hebu lete rekodi za mwaka huu za utalii tulinganishe na mwaka jana!

Usinambie eti uchaguzi ndo sababu ya kushuka maana hiyo ni shida yenu binafsi, nchi nyingine zinafanya uchaguzi kwa amani!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.

Rekodi unataka ya nini, kwa vivutio mlivyo navyo mnafaa kuongoza Afrika na sio kushindana na nchi ndogo na kame kama Kenya. Nyie mumeshinda hadi Afrka Kusini kwa vivutio bora, nchi yenu ni muungano wa nchi mbili na cha kushangaza mpo maskini balaa kwenye LDC.
 
Anhaaa kumbe hutaki rekodi, basi kaa sindano ikuingie!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
lets u start thinking of planning ur sojourning early as august looms around! post election alongside shababs gosh am beggining to elewa when CNN called u "" A hot bed of terror"" whenever u here Kenya ur mind think of Horiffic things, tribal tensions,regional tensin,always insecure where in Kenya can a Tourist feel secured? ur currently Marathon games! USA,CANADA,UK,USTRALIA cancelled due to security reasons! u may fool tourist by lieng much end of the day they want to visit where peace and tranquil prevails and thats Tz!
Gosh haya Mpeketoni recently the coast of the natorious shabab!
 
Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.

Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...
tortilis-camp-amboseli20.jpg
Mtakula sna kwa mijicho ila kuupanda msahau

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Nimewauliza ni Mkenya mgani ana haja ya kuupanda, au hata nyie waswahili, yaani leo Mzaramo uwaze kusafiri ukakwee mlima Kilimanjaro. Sisi tunakula hela kutoka kwa watalii tunaowaleta wafurahie pale Amboseli huku wakitazama mlima.
 
Kama vipi wauchukue tu na mkoa wa Kilimanjaro maana haiwezekani wachukue mlima watuachie akina mbowe

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom