Acacia lazima tupambane nao, it's time to do it! better late than never.yaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...πππ as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..ππ nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
Which minerals are these?? Smh!!! Kazi tu ni kutapa tapaLiar! Minerals mnazo, mnaibiwa na wazungu kama sisi before Magufuli. Wanasiasa wanawadanganya kuwa hamna minerals.
What abt the kwale mines?Which minerals are these?? Smh!!! Kazi tu ni kutapa tapa
Egypt wanatumia mto Nile bwana...hamna mto kule northern and north eastern kenya ambayo inaweza ikatumiwa kwa unyunyuziaji wa ardhi...ni desert my friend...ushawahi skia Garissa ama Mandera? very dry..pengine kule galana riverNyie mnasema mna uchumi mkubwa, kwa nini msianzishe kilimo cha umwagiliaji kama Egypt?
Last time mlipewa mahindi from Israel!, Una taarifa kuwa kale ka nchi ka Israel kanalingana na eneo la turkana na ni jangwa na mawe kila sehemu?
Hebu ondoeni aibu hii ya kujiita uchumi mkubwa huku watu wanalala njaa kila siku!
kwale kuna kipi cha maana unachoweza kukifananisha na vile mko navyo huko tzWhat abt the kwale mines?
Ama mnachimba chumvi ya magadi kule?
Kwani lazima tufananishe na vilivyopo tz? Kinachoonelewa hapa ni uwepo wa madinikwale kuna kipi cha maana unachoweza kukifananisha na vile mko navyo huko tz
titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SAKwani lazima tufananishe na vilivyopo tz? Kinachoonelewa hapa ni uwepo wa madini
Mnaweza kuchukua maji kutoka kisumu, au kwenye lake turkana ambalo liko huko North! Shida ni ipi hapo labda?Egypt wanatumia mto Nile bwana...hamna mto kule northern and north eastern kenya ambayo inaweza ikatumiwa kwa unyunyuziaji wa ardhi...ni desert my friend...ushawahi skia Garissa ama Mandera? very dry..pengine kule galana river
Ndo maana nakwambia shida yako ni comparison! Labda ujue chanzo cha hiyo hoja ya madini ni kipi!titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
Mkuu umefika Nairaland ukaona wanigeria walivo na povu na chuki dhidi ya watu wa E.Afrika? Afu ni majamaa zero brain hawajui historia wala chochote kuhusu waafrika wenzao? Yaani niliyoyaona huko, acha tu. Tz ni watani wetu wa kweli, ukijaribu wanigeria utatamani uonane na mtz baada ya hiyo yaani hata kumkumbatia utamkumbatia tu! E.Afrika tusijidharau. Tz, Ke, Ug, Rw, Br ni combination ya ajab iliyo na waafrika wa kweli ndugu yangu!
kuwa mpole...umaskini wote huo wa ethiopia unasema matawi ya juu kwa lipi.au juu ya gdp???alafu kenya kila kitu chetu tunajipush to the maximum ndio hio sababu ya 10% na hata kama hatutafikia huko tutaikaribia.I think thats the main difference between you and us..you r blessed guys just accept it lakini mmelalaNdo maana nakwambia shida yako ni comparison! Labda ujue chanzo cha hiyo hoja ya madini ni kipi!
Kuna mtu kasema kenya hakuna madini, ndo nikamwuliza kwale hakuna madini?
Wapi hapo nimesema titanium ya kenya ilinganishwe na madini yaliyopo tz?
Nenda ulale kaka akili imechoka utarudi kesho!
BTW, hapa unalalama eti madini kidogo, wakati mpango wa serikali yenu ni kukusanya 10% ya GDP kutoka mining sector!
Halafu sio lazima kuwa na madini ndo muendelee, Ethiopia sector ya madini inachangia 1% pekee lakini wako matawi ya juu
Habari za Acacia zushaisha, sasa n mambo mengine tu mazr ndi yanaendeleappyaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...πππ as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..ππ nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
Huko ndo tunakoelekea kuwa na level za SA. tumeshachuchuka, hatutoruhusu wadwanzi watuibie tena. Kwanza watalipa chote walichotuibiatitanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
FYI, sa hz mko 1%, tunasubiri hiyo mipango tuone!kuwa mpole...umaskini wote huo wa ethiopia unasema matawi ya juu kwa lipi.au juu ya gdp???alafu kenya kila kitu chetu tunajipush to the maximum ndio hio sababu ya 10% na hata kama hatutafikia huko tutaikaribia.I think thats the main difference between you and us..you r blessed guys just accept it lakini mmelala
hahaa..sasawa.hiyo ndio tunahitaji kama wana e.africa au nyinyi ni wa s.africa?Huko ndo tunakoelekea kuwa na level za SA. tumeshachuchuka, hatutoruhusu wadwanzi watuibie tena. Kwanza watalipa chote walichotuibia
Sisi tuko kote, EA na SAhahaa..sasawa.hiyo ndio tunahitaji kama wana e.africa au nyinyi ni wa s.africa?
hilo siezi kataa..gap iko juu sana kenya but usiseme ethiopia wako matawi..hata ukatumia kenya kama benchmark still bado wako hoi taabani..and to be honest, i think everybody has to struggle with his life,there is so much for everybody out there and I wont blame anyone for my poverty......hii ya gap mimi hainipi tumbo jotoFYI, sa hz mko 1%, tunasubiri hiyo mipango tuone!
Halafu naona unataka kucheka Ethiopia, Hujui kenya kinachowabeba ni hiyo GDP yenu pekee,
Maisha ya mtu mmoja mmoja ni magumu sana
Gape kati ya tajiri na maskini ndo usiseme
Huduma vijijini mbovu kuliko maelezo
Njaa mda wote!
Mbali ya hiyo GDP kenya mna kipi cha kujivunia labda hadi uwacheke Ethiopia?
ndio maana hua tunawaambia hamna msimamo kila siku hapa jf mnavimba....amueni mnataka wapi mtulie tu hukoSisi tuko kote, EA na SA
Ndo maana huwa tunawaambia hizi takwimu zenu ni za kwenye makaratasi hazina uhalisia mnakataa! Unataka mtu astruggle hata kujitaftia umeme?hilo siezi kataa..gap iko juu sana kenya but usiseme ethiopia wako matawi..hata ukatumia kenya kama benchmark still bado wako hoi taabani..and to be honest, i think everybody has to struggle with his life,there is so much for everybody out there and I wont blame anyone for my poverty......hii ya gap mimi hainipi tumbo joto