Kenya's 2018/2019 fiscal budget to hit 29 bln USD -7 bln USD more than Nigeria

emoji23.png
emoji23.png
yaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...🙁🙁🙁 as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..🙂🙂 nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
Acacia lazima tupambane nao, it's time to do it! better late than never.

Kuna nchi nyingi hazina everything and they are doing fine! Cha ajabu hapo kenya mashamba yote ambayo ni arable yako mikononi mwa mabwanyenye
 
Liar! Minerals mnazo, mnaibiwa na wazungu kama sisi before Magufuli. Wanasiasa wanawadanganya kuwa hamna minerals.
Which minerals are these?? Smh!!! Kazi tu ni kutapa tapa
 
Nyie mnasema mna uchumi mkubwa, kwa nini msianzishe kilimo cha umwagiliaji kama Egypt?

Last time mlipewa mahindi from Israel!, Una taarifa kuwa kale ka nchi ka Israel kanalingana na eneo la turkana na ni jangwa na mawe kila sehemu?

Hebu ondoeni aibu hii ya kujiita uchumi mkubwa huku watu wanalala njaa kila siku!
Egypt wanatumia mto Nile bwana...hamna mto kule northern and north eastern kenya ambayo inaweza ikatumiwa kwa unyunyuziaji wa ardhi...ni desert my friend...ushawahi skia Garissa ama Mandera? very dry..pengine kule galana river
 
Kwani lazima tufananishe na vilivyopo tz? Kinachoonelewa hapa ni uwepo wa madini
titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
 
Egypt wanatumia mto Nile bwana...hamna mto kule northern and north eastern kenya ambayo inaweza ikatumiwa kwa unyunyuziaji wa ardhi...ni desert my friend...ushawahi skia Garissa ama Mandera? very dry..pengine kule galana river
Mnaweza kuchukua maji kutoka kisumu, au kwenye lake turkana ambalo liko huko North! Shida ni ipi hapo labda?
 
titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
Ndo maana nakwambia shida yako ni comparison! Labda ujue chanzo cha hiyo hoja ya madini ni kipi!

Kuna mtu kasema kenya hakuna madini, ndo nikamwuliza kwale hakuna madini?

Wapi hapo nimesema titanium ya kenya ilinganishwe na madini yaliyopo tz?

Nenda ulale kaka akili imechoka utarudi kesho!

BTW, hapa unalalama eti madini kidogo, wakati mpango wa serikali yenu ni kukusanya 10% ya GDP kutoka mining sector!

Halafu sio lazima kuwa na madini ndo muendelee, Ethiopia sector ya madini inachangia 1% pekee lakini wako matawi ya juu
 
Mkuu umefika Nairaland ukaona wanigeria walivo na povu na chuki dhidi ya watu wa E.Afrika? Afu ni majamaa zero brain hawajui historia wala chochote kuhusu waafrika wenzao? Yaani niliyoyaona huko, acha tu. Tz ni watani wetu wa kweli, ukijaribu wanigeria utatamani uonane na mtz baada ya hiyo yaani hata kumkumbatia utamkumbatia tu! E.Afrika tusijidharau. Tz, Ke, Ug, Rw, Br ni combination ya ajab iliyo na waafrika wa kweli ndugu yangu!

inategemea exposure yako. Mimi binafsi sijaona tofauti ya east West South hata north Africa. waAfrika ni wale wale tu.
huku niliko nikionana na msenegali mkongo mkameruni m'south Sudan naona wote ni ndugu.

People from Botswana ndiyo pekee nawapigia salute. they are not longer belongs to our claster. wengine wote ni kelele tu.
 
Ndo maana nakwambia shida yako ni comparison! Labda ujue chanzo cha hiyo hoja ya madini ni kipi!

Kuna mtu kasema kenya hakuna madini, ndo nikamwuliza kwale hakuna madini?

Wapi hapo nimesema titanium ya kenya ilinganishwe na madini yaliyopo tz?

Nenda ulale kaka akili imechoka utarudi kesho!

BTW, hapa unalalama eti madini kidogo, wakati mpango wa serikali yenu ni kukusanya 10% ya GDP kutoka mining sector!

Halafu sio lazima kuwa na madini ndo muendelee, Ethiopia sector ya madini inachangia 1% pekee lakini wako matawi ya juu
kuwa mpole...umaskini wote huo wa ethiopia unasema matawi ya juu kwa lipi.au juu ya gdp???alafu kenya kila kitu chetu tunajipush to the maximum ndio hio sababu ya 10% na hata kama hatutafikia huko tutaikaribia.I think thats the main difference between you and us..you r blessed guys just accept it lakini mmelala
 
emoji23.png
emoji23.png
yaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...🙁🙁🙁 as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..🙂🙂 nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
Habari za Acacia zushaisha, sasa n mambo mengine tu mazr ndi yanaendeleapp
 
titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
Huko ndo tunakoelekea kuwa na level za SA. tumeshachuchuka, hatutoruhusu wadwanzi watuibie tena. Kwanza watalipa chote walichotuibia
 
kuwa mpole...umaskini wote huo wa ethiopia unasema matawi ya juu kwa lipi.au juu ya gdp???alafu kenya kila kitu chetu tunajipush to the maximum ndio hio sababu ya 10% na hata kama hatutafikia huko tutaikaribia.I think thats the main difference between you and us..you r blessed guys just accept it lakini mmelala
FYI, sa hz mko 1%, tunasubiri hiyo mipango tuone!

Halafu naona unataka kucheka Ethiopia, Hujui kenya kinachowabeba ni hiyo GDP yenu pekee,

Maisha ya mtu mmoja mmoja ni magumu sana
Gape kati ya tajiri na maskini ndo usiseme
Huduma vijijini mbovu kuliko maelezo
Njaa mda wote!

Mbali ya hiyo GDP kenya mna kipi cha kujivunia labda hadi uwacheke Ethiopia?
 
Huko ndo tunakoelekea kuwa na level za SA. tumeshachuchuka, hatutoruhusu wadwanzi watuibie tena. Kwanza watalipa chote walichotuibia
hahaa..sasawa.hiyo ndio tunahitaji kama wana e.africa au nyinyi ni wa s.africa?
 
FYI, sa hz mko 1%, tunasubiri hiyo mipango tuone!

Halafu naona unataka kucheka Ethiopia, Hujui kenya kinachowabeba ni hiyo GDP yenu pekee,

Maisha ya mtu mmoja mmoja ni magumu sana
Gape kati ya tajiri na maskini ndo usiseme
Huduma vijijini mbovu kuliko maelezo
Njaa mda wote!

Mbali ya hiyo GDP kenya mna kipi cha kujivunia labda hadi uwacheke Ethiopia?
hilo siezi kataa..gap iko juu sana kenya but usiseme ethiopia wako matawi..hata ukatumia kenya kama benchmark still bado wako hoi taabani..and to be honest, i think everybody has to struggle with his life,there is so much for everybody out there and I wont blame anyone for my poverty......hii ya gap mimi hainipi tumbo joto
 
Ndo maana huwa tunawaambia hizi takwimu zenu ni za kwenye makaratasi hazina uhalisia mnakataa! Unataka mtu astruggle hata kujitaftia umeme?
 
Back
Top Bottom