Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We boya kumbe unakuwanga na akili mob sumtymskisha ukiituma ntaipost kw account yangu ya fb ikae hko tu....ndio nisiipoteze tena...
nimekuelewa...thats y nikasema kuna mwenye yuko nyuma ya pazia..anauma na puliza tuUkisoma vizuri utagundua hii habari ni politically motivated, its more about the disarmament of police reservists than the armoured vehicle .........
1. The artle starts by saying armoured vehicleS, as in plural, alafu kinachoongelewa ni gari moja.....
quote: A vehicle allocated to the ASTPU in Chemoe has been grounded for several months for lack of tires,” Baringo North MP William Cheptumo complained. :end quote
One vehicle out of over 500 vehicles inakua habari really! Alafu badala ya police OCPD wa hichi kituo kuongea ni mwanasiasa ndo analalamika, badala ya kulalamikia kamanda wa polisi wa county, au provisional commander au inspector general au waziri wa usalama, jamaa anaenda direct Kwa wanahabari kulalamika kwamba gari liko garage alafu anaanza kusema NPR wasingepokonywa mabunduki..etc
BTW has anyone noticed Hilo gari ambalo linaambiwa halina spare, Yani hakuna mtu ameiona hio spare tire inaning'inia Kwa mlango wa nyuma wa Hilo gari !!!!!!!!!! Besides these tires are the same ones zinazotumika Kwa land cruiser za polisi ambazo kila stesheni ya polisi iko na land cruiser mbili ambazo kila moja iko na spare moja so those are three spare tires already zenye ziko Kwa hio station! Watueleze vizuri walikua wanacheza mchezo gani na Hili gari!
![]()
Alafu Kwa wale wanaosema eti sijui Kenya hakuna pesa, if one station needs 450l a month and diesel/petrol is at least 110ksh/ltr and if there are 500 new vehicles unveiled last year that's ksh 25 million worth of fuel every month , hii NI mbali na repair and maintenance, kama ingekua hakuna pesa habari ingeanza na kusema hakuna mafuta manake hio ndo bidhaa inayotumika kila siku, repair hufanyika mara moja moja Tu... So this is not about lack of money, ni uzembe flani unafanyika hapa au kuna mtu anafanya maksudi, mbona hatujawai sikia gari la mbunge limekwama kwasababu halina spare? Wabunge hutumia ma V8 na hupewa fuel allowance na pia maintenace hulipiwa na serekali ..

Nasikia saa hizi ni asilimia 70% kuna umeme TanzaniaNyerere alipatia sana kuto kuwa mkanda, unaeza ona tuko nyuma ila ukitoka kwa majirani unashukuru tulipo. Sasa hivi na hii REA inavyo sambaa nikisafiri nakuwa proud sana na nchi yangu na kodi nayolipa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Si mchezo, 2022 vijiji vyote vinakua connected, li nchi likubwa ila lote linawaka taa.Nasikia saa hizi ni asilimia 70% kuna umeme Tanzania
ndio maendeleo hayo. siyo yale ya majirani zetu ya kwenye makaratasiSi mchezo, 2022 vijiji vyote vinakua connected, li nchi likubwa ila lote linawaka taa.