Kenya's economy expands by 4.9% in the first quarter of this year

Kenya's economy expands by 4.9% in the first quarter of this year

Hilo liko wazi na ndio nililokuwa nakwambia toka mwanzo ila unajifanya kichwa ngumu. Tsh ina purchasing power kubwa kuliko Ksh. Hilo hata wakenya wenzako wanalijua. Shopping wanayokuja kufanya huku sio sababu ya exchange rate, ni ile purchasing power ya Tshs.
hAHAHAHAHAH, Kubwa jinga hili,

Nimeitembelea Tanzania na shilingi ya Kenya iliniwezesha kununua vitu vingi sana na kuongeza muda wangu hapo kwenu.
Nilipoibadilisha kutoka Ksh kuenda Tsh ,hata husiseme,ilikua kituko, mihela ya madafu hayo yenu.
Yaani teksi tu ilikua maelfu na maelfu, hapa KE teksi haifikii elfu moja kamwe ,labda uwe unaenda safari ya mji mmoja hadi mwingine.
 
Back
Top Bottom