mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mliona aibu kutuomba tungewapa tu.mbona hamkutupatia nyinyi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mliona aibu kutuomba tungewapa tu.mbona hamkutupatia nyinyi?
Endelea kujiliwazamarekani mtu anafanya kazi saa moja ya usafi analipwa $ 10,ambayo kule labda atanunulia chakula mlo mmoja tu.
kwa mchakato huu unaweza ona ni jinsi gani mzunguko wa pesa US ni mkubwa sana,mpaka kuchangia hilo.practically kuipata dollar marekani ni jambo jepesi sana,kuliko kuitafuta 2300 tz.
ndio sababu ya huu mjadala dhidi ya ksh,ni pesa iko na dilema nyingi sana[emoji16].
hatupo kuliwazana hapa,kama umechukia pole.Endelea kujiliwaza
Sawa mkuu! Tatizo kupinga jambo linalojulikana kote dunianihatupo kuliwazana hapa,kama umechukia pole.
kujulikana duniani sio tatizo,tatizo ni uhalisia,leo dunia sehemu kubwa inajua kilimanjaro ni mlima uliopo kenya,ila uhalisia sio hivyo.Sawa mkuu! Tatizo kupinga jambo linalojulikana kote duniani
Kwa hiyo Tz hamjaeleweka tu kiuchumi. Nyinyi ni hatari sana. Hongera zenukujulikana duniani sio tatizo,tatizo ni uhalisia,leo dunia sehemu kubwa inajua kilimanjaro ni mlima uliopo kenya,ila uhalisia sio hivyo.
huwezi amini,ila nakwambia hivyo.Kwa hiyo Tz hamjaeleweka tu kiuchumi. Nyinyi ni hatari sana. Hongera zenu
Uongo ndo mgumu kuelewekahuwezi amini,ila nakwambia hivyo.
Tumia mfano wa nyumba ya familia ya tajiri na walokole. Maisha ya tajiri bila shaka itahitaji hela nyingi. Nakubaliana nawe kwa kiwango.
An ignorant mi
Another ignorance on steroids from Tz! It is always cheaper to purchase daily goods from a poorer country, especially when exchange rate favours a stronger currency. Have done that in Uganda n Tanzania, ksh1000 will buy more goods in Tz and in Uganda than in Kenya, same $10 will buy more retail goods in East Africa than in the US., reason is more to the economy. Tz is small economically in comoarison to Kenya with also a weak currency. Shabiki za kupuzi uwache. Tz is extremely poor, with cooked data, world bank, imf na pia the economist wamegundua propaganda za CCM.
Kwa nini ni expensive kuishi Switzerland?Wewe ni lofa! Kwenye nchi masikini kutakuwaje tena na maisha rahisi? Halafu nchi tajiri kuwe na maisha magumu? Mbona unakuwa mjinga namna hiyo kijana? Acha kujishalilisha bhana kwa arguments za kipumbav...
Kwa nini ni expensive kuishi Switzerland?
Kwa raia bila shaka . Manake cost of living index ni yapata 122 . Ina maana mambo ya rent, vyakula nk havipatikani kwa urahisi au bei ipo juu. Na kwa sababu uswizi pia economy yao ipo juu basi anayezuru huko pia huathirika vivyo.Ni expensive kwa raia wa Switzerland au kwa mgeni anaekwenda Switzerland?
Kwa raia bila shaka . Manake cost of living index ni yapata 122 . Ina maana mambo ya rent, vyakula nk havipatikani kwa urahisi au bei ipo juu. Na kwa sababu uswizi pia economy yao ipo juu basi anayezuru huko pia huathirika vivyo.
SawaKwa raia ya uswizi hawana maisha magumu ndugu, na hata wale jobless wanapata hela toka serikalini za kujikimu. Huo ndio uchumi mkubwa na wenye faida kwa wananchi wa uswisi. Sio nchi inakuwa na uchumi mkubwa ila maisha magumu kwa wananchi. Kwa wageni ndio wanahangaika huko uswis.
kwa Hela zetuMngekuwa na pesa msingekuwa mnapangishwa foleni kwenye jua kali kupokea kibaba cha unga na maharage.
itabadirika = itabadilikanilielewa tokea mwanzo hukuwa na haja ya kutafsiri kwa mara ya pili mkuu.vyema.
haya narudia swali kwako,kwa tafsiri hii ya nguvu ya pesa,tukiondoa sifuri kila pesa moja ya tz nguvu ya ksh dhidi ya tsh itabaki na sura hii hii au itabadirika??
Umeolewa???itabadirika = itabadilika
kalb hayawan
weye bwege,shillingi moja yanunua , pilipili ,pipi,n.k ,husijidanganye.Dola moja ina thamani katika uchumi wa US lakini shilingi moja haina thamani katika uchumi wa kenya. Sasa usiangalie exchange rate tu. Angalia na nguvu ya hiyo pesa katika uchumi wa nchi husika.
Halafu thamani ya pesa haipimwi kwa inflation...bali ni depreciation na appreciation. Inflation inapima nguvu ya pesa katika manunuzi.