Kenya's economy expands by 4.9% in the first quarter of this year

Kenya's economy expands by 4.9% in the first quarter of this year

ndio sababu tukasema mzungu anatumia teminology zake katika mambo aliyoyaanzisha yeye,ni wakati kila binaadam kutumia akili.

ndio sababu nikakuuliza tukitoa sifuri moja kwenye kila pesa yetu matokeo yatakuwa kitu gani,lengo langu utumie akili tu.sio unieleweshe naelewa.
Wewe bingwa wa kutumia akili, ebu nieleweshe
 
Wewe bingwa wa kutumia akili, ebu nieleweshe
nikupe mfano mdogo

kuanzia kesho iwe 1ksh=0.21tsh,tumeamua kutoa sifuri mbili kila pesa yetu.note yetu ya mwisho sasa ni 100.

je pesa hii sasa ina nguvu kudhidi ile ya kenya,maana sasa itakuwa mtz mwenye shilingi elfu moja ya tz atakwenda apewe elfu kumi ya kenya.au haitawezekana!!!kwanini??
 
Vipi kwako iwapo shilingi ya kenya imesambaratika mwezi huu na bado hujaifikia? Si masaibu tupu?!
unadanganywa na rates hizo zinakupoteza ndugu.

yen ya japan imezidiwa thaman na shilingi ya kenya,but you know what.............
 
nikupe mfano mdogo

kuanzia kesho iwe 1ksh=0.21tsh,tumeamua kutoa sifuri mbili kila pesa yetu.note yetu ya mwisho sasa ni 100.

je pesa hii sasa ina nguvu kudhidi ile ya kenya,maana sasa itakuwa mtz mwenye shilingi elfu moja ya tz atakwenda apewe elfu kumi ya kenya.au haitawezekana!!!kwanini??
Haiwezekani. Na fedha hizo mtazitumia TZ pekee. Mkija Kenya ama muende nchi nyingine, fedha zenu hazitatambulika. Hio itakuwa na maana mtafanya biashara kwenu tu.

Uamuzi wa shilingi moja ya tz inatoshana vipi na hela nyingine unategemea kitu kinachoitwa demand and supply. Sio kuamua tu.
 
haiwezekani vipi uliza zambia walifanya nini kwa kwacha yao.
 
unadanganywa na rates hizo zinakupoteza ndugu.

yen ya japan imezidiwa thaman na shilingi ya kenya,but you know what.............
Wewe huelewi. Haijazidiwa thamani.

Rates zake ni 100yen = 100.9 ksh. Sina uhakika kama ni nukta 9. Ila kama ukilinganisha Yen 100 na fedha za kenya na upate kuwa fedha za kenya ni nyingi ina maana fedha za kenya ni dhaifu.
 
kwa mfano huu unadhani ni sababu ipi inafanya pesa fulani inakuwa na nguvu zaidi ya nyingine??

mfano huo wa japan na kenya??
 
bwana wee ndio ndugu zetu hawa inabidi tuwasaidie tu[emoji23][emoji23][emoji23].

tutafanyaje sasa!!
Kwa hiyo nyinyi hamuelewi kwamba Zambia ilikuwa na inflation ya juu sana ndo maana wakarebase? Je baada ya kurebase hela zao zilipata nguvu?? Je, ulinganishi wa dola na hela za Zambia kinguvu ni zipi?

Kumbe rebasing of currency ndio inayowachanganya miguu juu. Elewa inflation ni nini hutachanganyikiwa tena.
 
Pia nawe jiulize mbona mtu wa kwa mfano Kenya au Tz anayefanya kazi marekani akituma hela kama elfu za marekani zinafanya ujenzi ambao hela hizo kule marekani haziwezi kutekeleza? Je, hela za marekani ni rahisi kuzipata marekani?

Dola moja ina thamani katika uchumi wa US lakini shilingi moja haina thamani katika uchumi wa kenya. Sasa usiangalie exchange rate tu. Angalia na nguvu ya hiyo pesa katika uchumi wa nchi husika.

Halafu thamani ya pesa haipimwi kwa inflation...bali ni depreciation na appreciation. Inflation inapima nguvu ya pesa katika manunuzi.
 
Back
Top Bottom